Kosa la Rugemalira ni nini ?

Kosa la Rugemalira ni nini ?

Km ndo hivyo sarakasi zote znazofanyika dodoma kiti cha moto kwa majizi yooote nini chanzo chake,na vipi jr agawe pesa zake halali ktk tuhuma hzi pia jr ni mfanyabiashara toka zaman mbona hakugawa miaka ya 2000???

Kauza hisa zake kwa faida nzuri shida iko wapi?Mbona hata sisi siku ukizikamata vzuri labda biashara zako zimekwenda vzuri ama mazao yameita shamba, unapga pombe washikaji hadi mbuzi unachinja?
 
75mil usd
Ukaguzi wa CAG wa akaunti ya Tegeta Escrow umebainisha kuwa Tanesco ililipa capacity charges zaidi ya kiwango kinachotakiwa kulipwa.

Tenesco walipaswa kurejeshewa Tshs 321 Bilioni zilizolipwa ziada kwa IPTL kati ya mwaka 2002 - 2012. Kwa hiyo fedha zote za akaunti ya Escrow Bilioni 306 ni mali ya Tanesco na bado wanaidia IPTL Bilioni 15.

Unazijua hizi habari mkuu?
 
Ndo tatzo letu waswahili,na hii inafanywa makusudi kupotosha ukweli.Raia hawajui wao wanaimba James,James tu.
Bora mngekaa kimya tu kwenye ili mnazidi kumzamisha jamaa yenu.

James Rugemalira wa VIP Engineering and Management (VIPEM) na Harbinder Sing Sethi, wa Pan Africa Power (PAP) kwa kushirikiana na viongozi wa serikali wameitapeli na kuibia serikali fedha zote zilizochukuliwa toka akaunti ya Tegeta Escrow.

Mkuu kaa kimya.
 
Ukaguzi wa CAG wa akaunti ya Tegeta Escrow umebainisha kuwa Tanesco ililipa capacity charges zaidi ya kiwango kinachotakiwa kulipwa.

Tenesco walipaswa kurejeshewa Tshs 321 Bilioni zilizolipwa ziada kwa IPTL kati ya mwaka 2002 - 2012. Kwa hiyo fedha zote za akaunti ya Escrow Bilioni 306 ni mali ya Tanesco na bado wanaidia IPTL Bilioni 15.

Unazijua hizi habari mkuu?

usipotoshe, haikuwa kazi ya CAG kubaini kama kulikuwa na overpricing.Swala hlo ndo lilipelekea akaunti hyo kufunguliwa na laiti lingekuwa limeisha basi hela hyo ingekwisha hamia akaunti 9a TANESCO siku nyngi.
 
Hizo nazijua, lakini zinahusiana vipi na kuuzwa kwa hisa za James rugemalira? IPTL ikidaiwa na Tanesco mwanahisa wa IPTL anazuiwa kuuza hisa zake? Yoyote aliyenunua IPTL anawajibika kwa madeni ya IPTL! Sioni kivipi haya mambo yanaingiliana mkuu.
 
Bora mngekaa kimya tu kwenye ili mnazidi kumzamisha jamaa yenu.

James Rugemalira wa VIP Engineering and Management (VIPEM) na Harbinder Sing Sethi, wa Pan Africa Power (PAP) kwa kushirikiana na viongozi wa serikali wameitapeli na kuibia serikali fedha zote zilizochukuliwa toka akaunti ya Tegeta Escrow.

Mkuu kaa kimya.

je 70% ya IPTL ni nani aliyeuza? Mbona huyo "mwizi" hamumtaji?
 
FACTS:

1. James rugemalira alikuwa anamiliki 30% ya IPTL kupitia kampuni yake ya VIP. Asingeziuza hizo hisa, mpaka leo angekuwa bado anamiliki 30% ya IPTL KIHALALI kabisa, hivyo kuwa mbia mwenza wa PAP.
2. James rugemalira aliuza hizo share zake kwa kampuni ya PAP kwa dola milioni 75. Uuzaji wa hizi hisa ulifuata taratibu zote kisheria including ulipaji kodi.

MASWALI:
1. Huyu ndugu anaitwa mwizi kivipi? Amelipwa fedha kutokana na kuuza hisa, tatizo liko wapi hapo? Kisheria angeweza kumuuzia yoyote yule tofauti na PAP hizo hisa kama wangeafikiana bei! PAP wamefikia dau na yeye kawauzia, where is the problem hapo? IPTL sio kampuni ya umma, PAP sio kampuni ya umma, VIP sio kampuni ya umma. This is purely a private sector transaction. Mbona Rostam aliuza share zake vodacom kwa mabilioni tena kupitia nje ya nchi lakini hakuitwa mwizi (kwa kukwepa kodi among other things), badala yake akasherehekewa kwa front-page news? Naomba kufahamishwa kwa hoja tafadhali, uharamia wa James Rugemalira upo wapi.
Hakuna Facts kwenye ili bandiko lako mkuu.
 
Hakuna Facts kwenye ili bandiko lako mkuu.

Okay so kichwani kwako iko hivi: James rugemalira HAD NO 30% STAKE IN IPTL, James rugemalira DID NOT SELL THE SAID STAKE (WHICH HE DID NOT HAVE) TO PAP FOR 75MIL USD. correct?
 
Sasa majibu unayo tayari. Unachotafuta ni kipi. Wewe kusanya tu tusubiri mwalim asahihishe.
 
Hizo nazijua, lakini zinahusiana vipi na kuuzwa kwa hisa za James rugemalira? IPTL ikidaiwa na Tanesco mwanahisa wa IPTL anazuiwa kuuza hisa zake? Yoyote aliyenunua IPTL anawajibika kwa madeni ya IPTL! Sioni kivipi haya mambo yanaingiliana mkuu.
Hapo kwenye ununuzi wa hisa ndipo kwenye wizi mkubwa hakuna hati halisi za hizo shere certificaties walifanya udanganyifu mkubwa zilizuiwa na mahakama, na kwenye kodi walitoa nyaraka za uwongo kukwepa kodi.
 
usipotoshe, haikuwa kazi ya CAG kubaini kama kulikuwa na overpricing.Swala hlo ndo lilipelekea akaunti hyo kufunguliwa na laiti lingekuwa limeisha basi hela hyo ingekwisha hamia akaunti 9a TANESCO siku nyngi.
Subiri ripoti ya CAG isomwe ndio utafahamu vizuri game ilivyo.
 
Hapo kwenye ununuzi wa hisa ndipo kwenye wizi mkubwa hakuna hati halisi za hizo shere certificaties walifanya udanganyifu mkubwa zilizuiwa na mahakama, na kwenye kodi walitoa nyaraka za uwongo kukwepa kodi.

Wewe unazungumzia mechmar vs piperLink vs singh sethi. ila mada yangu ni James Rugemalira sio PiperLink .Transaction ya James rugemalira with PAP haina utata wowote ule, labda hii ya PAP na Mechmar sijui piperLink, ndio ambayo obviously wamekwepa kodi kwa kutumia classic tactics,! James rugemalira is innocent of any wrong doing.
 
Mkuu soma vizuri bandiko langu si nimekutajia hapo na kampuni yake pia Singh Sethi wa PAP.

sijakupata you mean sing sethi kajiuzia mwenyewe hisa zake au? twende taratibu, swali langu ni hili:
james rugemalira had 30% of IPTL, 70% zilikuwa za nani? Mbona yeye aliyemuuzia sethi 30% anaitwa "mwizi" lakini aliyemuuzia sethi 70% hata kutajwa ni nani hatajwi?
 
Back
Top Bottom