Kosa la Rugemalira ni nini ?

Kosa la Rugemalira ni nini ?

FACTS:

1. James rugemalira alikuwa anamiliki 30% ya IPTL kupitia kampuni yake ya VIP. Asingeziuza hizo hisa, mpaka leo angekuwa bado anamiliki 30% ya IPTL KIHALALI kabisa, hivyo kuwa mbia mwenza wa PAP.
2. James rugemalira aliuza hizo share zake kwa kampuni ya PAP kwa dola milioni 75. Uuzaji wa hizi hisa ulifuata taratibu zote kisheria including ulipaji kodi.

MASWALI:
1. Huyu ndugu anaitwa mwizi kivipi? Amelipwa fedha kutokana na kuuza hisa, tatizo liko wapi hapo? Kisheria angeweza kumuuzia yoyote yule tofauti na PAP hizo hisa kama wangeafikiana bei! PAP wamefikia dau na yeye kawauzia, where is the problem hapo? IPTL sio kampuni ya umma, PAP sio kampuni ya umma, VIP sio kampuni ya umma. This is purely a private sector transaction. Mbona Rostam aliuza share zake vodacom kwa mabilioni tena kupitia nje ya nchi lakini hakuitwa mwizi (kwa kukwepa kodi among other things), badala yake akasherehekewa kwa front-page news? Naomba kufahamishwa kwa hoja tafadhali, uharamia wa James Rugemalira upo wapi.

Only the court of law can give best answers to your questions! Again , is Tanzania judiciary credible?
 
"Kwa upande wake, Ofisa Mtendaji Mkuu wa RITA, Philip Saliboko, alimwambia mwandishi wetu; “Nilisikia kuna waliotaka kununua IPTL miezi minne iliyopita, lakini baada ya hapo sikusikia chochote. Sina hizo taarifa.
“Lakini kama kuna mchakato wa kuuzwa IPTL ni jambo la furaha, kwa sababu suluhisho la suala hilo lipo katika maeneo mawili. Kwanza ni njia ya Mahakama, pili ni kuuzwa kwa IPTL. Kwa hiyo kama kuna mchakato wa kuuza ni jambo zuri."
- See more at: Raia Mwema - Camel Oil wakwama kuinunua IPTL-

sidhani kama kampuni kuwa under receivership kunazuia wanahisa wasiuze hisa zao, ninachojua kuna restrictions katika assets zake sio hisa.

Umejipanga kuja kuongeza hasira za watu! bila shaka ni sababu ya nguvu ya hiyo hela vinginevyo tutakuja na version ya Rugemalira baada tu yahili la watumisi wetu kukaa sawa.
 
Kumbuka kila mtu ana haki ya kutetewa!James sio mwizi,maharamia ni viongozi wenu mliowachagua.Kumbuka kujiandikisha daftari la wakaazi vingenevyo next zinapgwa toka kapu la hazina kuu ya serikali tena safari n zle za kwenu haswa.

Wewe utakuwa hujitambui unshitaji maombi ki ukweli
 
Hakuna asiye jua kuwa majizi kama JR hujipanga kabla ya kuiba na ndio maana unaona alijitahidi kuhakkisha kuwa ushiriki wake hauwi wa moja kwa moja. Hata kama alitumiwa na wakubwa katika taasisi zetu kama third party lazima atashughuikiwa.
 
FACTS:

1. James rugemalira alikuwa anamiliki 30% ya IPTL kupitia kampuni yake ya VIP. Asingeziuza hizo hisa, mpaka leo angekuwa bado anamiliki 30% ya IPTL KIHALALI kabisa, hivyo kuwa mbia mwenza wa PAP.
2. James rugemalira aliuza hizo share zake kwa kampuni ya PAP kwa dola milioni 75. Uuzaji wa hizi hisa ulifuata taratibu zote kisheria including ulipaji kodi.

MASWALI:
1. Huyu ndugu anaitwa mwizi kivipi? Amelipwa fedha kutokana na kuuza hisa, tatizo liko wapi hapo? Kisheria angeweza kumuuzia yoyote yule tofauti na PAP hizo hisa kama wangeafikiana bei! PAP wamefikia dau na yeye kawauzia, where is the problem hapo? IPTL sio kampuni ya umma, PAP sio kampuni ya umma, VIP sio kampuni ya umma. This is purely a private sector transaction. Mbona Rostam aliuza share zake vodacom kwa mabilioni tena kupitia nje ya nchi lakini hakuitwa mwizi (kwa kukwepa kodi among other things), badala yake akasherehekewa kwa front-page news? Naomba kufahamishwa kwa hoja tafadhali, uharamia wa James Rugemalira upo wapi.
Mkuu jMali,
Braza Ruge tunambana hapa!
  • Mosi, yeye ni mtu anayeifahamu IPTL in and out kwa sababu amekuwa nao kwenye biashara kwa muda mrefu. Ushahidi unaonesha wazi kwamba PAP imepata 70% ya hisa za IPTL kwa magumashi. Inasemekana baada ya Singh kuingia nchini, Ruge alimpinga huyu bwana... Aidha, kuna kila dalili kwamba hata hiyo PAP yenyewe ni ghost company. Pamoja na yote hayo, bado Braza Ruge akawauzia PAP hisa zake 30%. Sasa ikiwa Ruge alikuwa anaifahamu IPTL na Menchmar in and out to the point kwamba ilikuwa ni rahisi kwake kama kufumba na kufumbua kufahamu ikiwa kweli PAP waliuziwa 70% za Menchmar ambazo inaonesha kwamba hawakuuziwa ama wameuziwa kimagumashi.... sasa je, huoni Ruge nae ameuza hisa zake kwa mtu ambae bila shaka alifahamu kwamba ni mwizi tu na bado akawa tayari kufunika kombe... PAP wachukue pesa zetu zilizokuwa Escrow wakati anafahamu haikuwa sahihi?
  • Umwagaji wake pesa kwa viongozi na watendaji wa serikali na wale ambao walipata kuitumikia serikali ni jambo ambalo halipaswi kuachwa hivi hivi. Ni kweli, pesa ni zake na ana haki za kutumia apendavyo lakini inapoonekana kwamba wengi wa waliolipwa wanatoka sekta ile ile ya nishati huku wengine wakiwa hawapo tena kwenye system, lakini ile tu kuwa walipata kuwamo MEM, tayari nao anawapa mamilioni ya pesa... hili si jambo dogo... Si hivyo tu, hata wale ambao ni wahusika katika mikataba ya serikali, AGs... Chenge ambae ameshastaafu kwenye hiyo nafasi long time ago lakini nae kamegewa mzigo wa kutosha! Kuna yule wa RITA ambae RITA ndio wanahusika kwenye masuala mazima ya ufilisi huku Braza Ruge nae alipeleka kesi mahakamani kutaka IPTL ifilisiwe... hili ni jambo ambalo hutakiwi kulipuuza hata kidogo! Kama nilivyosema hapo awali, pesa ni zake na ana haki ya kutumia apendavyo lakini anapomwaga mamilioni kwa watendaji wa serikali ambao kwa kiasi kikubwa wanahusika na IPTL in one way or another... NO PLEASE, tunahitaji maelezo yasiyopinda pinda na atuambie amefanya nao biashara gani! ALWAY, I repeat, ALWAYS, there's only one money related business between government officials and business executives especially if such transaction isn't done on public... what's the business? The answer is simple: CORRUPTION! Here's the Theory: "To Every Corrupt Government Official, There's a Corrupt Business Executive Behind Him!"
 
Last edited by a moderator:
FACTS:

1. James rugemalira alikuwa anamiliki 30% ya IPTL kupitia kampuni yake ya VIP. Asingeziuza hizo hisa, mpaka leo angekuwa bado anamiliki 30% ya IPTL KIHALALI kabisa, hivyo kuwa mbia mwenza wa PAP.
2. James rugemalira aliuza hizo share zake kwa kampuni ya PAP kwa dola milioni 75. Uuzaji wa hizi hisa ulifuata taratibu zote kisheria including ulipaji kodi.

MASWALI:
1. Huyu ndugu anaitwa mwizi kivipi? Amelipwa fedha kutokana na kuuza hisa, tatizo liko wapi hapo? Kisheria angeweza kumuuzia yoyote yule tofauti na PAP hizo hisa kama wangeafikiana bei! PAP wamefikia dau na yeye kawauzia, where is the problem hapo? IPTL sio kampuni ya umma, PAP sio kampuni ya umma, VIP sio kampuni ya umma. This is purely a private sector transaction. Mbona Rostam aliuza share zake vodacom kwa mabilioni tena kupitia nje ya nchi lakini hakuitwa mwizi (kwa kukwepa kodi among other things), badala yake akasherehekewa kwa front-page news? Naomba kufahamishwa kwa hoja tafadhali, uharamia wa James Rugemalira upo wapi.

Go deep you are trying to ask light questions for serious problem.issue si kuuza share.hicho ni kitu cha kawaida kabisa kwa wale wanaojua mambo fedha.Tatizo linaanzia tanesco ambalo ni shirika la umma.tanesco na iptl wana mkataba wa kuuziana umeme.Regemalila yuko ndani ya iptl na akaunti yake imetumika ktk kukwapua pesa benki kwenye account ya escrow.sasa basi ebu jiongeze mwenyewe kuanzia hapo au fuatilia vizuri huo mjadala bungeni utajua nn kimefanyika
 
tena james ameuza hisa zake 30% tu lakini anafuatiliwa kweli kweli, hatusikii chochote juu ya aliyeuza zile 70%!!!

Ndugu usishangae sana kuhusu sisi Watanzania na mimi nikiwemo. Na tunadhihirisha na tafiti zilizofanywa tukaonekana Tanzania tuna watu wa IQ ndogo sana na ndio maana badala ya kujadili issue tunajadili watu . Badala ya kujiuliza zile 70% of shares zilikuwa halali kuuzwa TZS6m? Was due process followed to the letter? Badala yake tunaletelwa list ndefu ya majina tena tunashupalia yale ambayo tunayajua kwa maana ya judges na mawaziri. Inakuwaje mmiliki wa 30% aliyeuza share kuahalali mchana kweupe katika jua la utosi na kulipa kodi ndio tunataka kumsulibisha. Tumeruka toka kwenye fedha kuchukuliwa na singasinga sasa tunataka kutundika wa 30%. Tumeama badala ya kuagnalia due process tunajadili majina kuwa wamegawiwa pesa kama njugu. Is this really our concern? Do we have a process that governs monetary transactions. is it viable? Does it need improvement? Is the country protected? Are our local investors protected by laws and policies? Watanzania lets think bigger. Wakati wa Richmond tudanganywa na wanasiasa kwa sababu ya chuki zao za kukosa vyeo. Bwana Lowasa wakati anakubali kujiuzuru alitoa speech lakini hatukuagalia context yake kuwa " shida ni uwaziri mkuu" . Sote ni mashahidi baaada ya kumtosa yuleyule aliyeliazisha Samwel Ssita kasema mjadala umefungwa yeye akaja kuuendeleza nje ya bunge baada ya jinamizi la Dowans na kuamuliwa kuwa lazima tuwalipe. Haya yote yanatokea na kwa hii Escrow yatatokea maana we are discussing people and not the process neither the issue
 
kuhamishwa kwa fedha toka escrow kwenda PAP hakukuwa siri, TANZANIA NZIMA ILIJUA kuwa fedha zimehamishwa. BOT wenyewe si ndio waliosaini? sasa hapo utalazimishaje kuwa fedha za PAP ziwe za wizi?

Hapa kuna kamchezo kachafu: km si yeye basi wapigaji waliomba mzigo upitie kwake then afanye ditribution as if yeye anatoa msaada. mtanzania wa leo anagawa bilions of money km hisani. mara Andrew Chenge _______, tibaijuka ______ mwanasheria wa serikali_____, katibu wa wizara_______ mawaziri__________ atueleze hiyo furaha aliyokuwanayo kuwa mipesa bure kwa watu alikusudia nini. ndiyo maana tunataka katiba mpya itamke kuwa ukipewa zawadi kwa nafasi uliyonayo basi zawadi hiyo iende serikalini.
 
Hakuna asiye jua kuwa majizi kama JR hujipanga kabla ya kuiba na ndio maana unaona alijitahidi kuhakkisha kuwa ushiriki wake hauwi wa moja kwa moja. Hata kama alitumiwa na wakubwa katika taasisi zetu kama third party lazima atashughuikiwa.

Mbona hamuwataji Mkuya na Ndulu wangali wao ndo walikuwa na fungua za stoo yenye hzo hela?AMA MNA CHUKI BINAFSI NA RUGE?
 
Mbona hamuwataji Mkuya na Ndulu wangali wao ndo walikuwa na fungua za stoo yenye hzo hela?AMA MNA CHUKI BINAFSI NA RUGE?

Soma vizuri! Umeambiwa watumishi wetu ikiwa ni pamoja na hao unaowataja. Wapo wengi hatuna haja ya kurudia kuwataja.
 
Kuna tatizo lazima. Si rahisi Mkaguzi wa Hesabu za Serikali na Taasisi ya Kuzuia Rushwa kuzusha jambo na kulipeleka Bungeni. Mnadhani wanaweza kufanya hivyo kwa faida gani??

Jambo la msingi, kuna wenzetu wenye akili wataanza kulijadili suala hili Bungeni Dodoma na Ukweli hautajificha. Mfano, bado sioni kiasi cha fedha kilichonunua hisa, ninaona tu fedha zilizolipwa na BOT. Jingine, ni kweli IPTL Manunuzi yake yalikuwa na utata? Kwamba bei haikuwa sawa, pia hii service charge siyo kuwakosea haki watanzania kwa kuwa wahusika wanamahusiano na viongozi serikalini? kwa vyovyote itakavyokuwa, Walio na Mungu watashinda na Walio na shetani wataumbuka si baada ya muda mrefu.
 
Mbona hamuwataji Mkuya na Ndulu wangali wao ndo walikuwa na fungua za stoo yenye hzo hela?AMA MNA CHUKI BINAFSI NA RUGE?

Soma vizuri! Umeambiwa watumishi wetu ikiwa ni pamoja na hao unaowataja. Wapo wengi hatuna haja ya kurudia kuwataja. Na ushiriki wa hawa haumuondoi JR katika hili
 
yeye hakupokea fedha kutoka kwenye mfuko wa pap bali amepokea fedha zilizoibiwa bot huku yeye mwenyewe akijua kuwa zinaibiwa

Ndugu umesahau kua rugemalila aliitahadharisha serikali juu ya wizihas a hat I mix a Wa escrow account na aliwatahadharisha wasilipe izo pesa kwa PAP kwa kua PAP walikua hawajatimiza mashart na hawajamlipa pesa zake za mauziano ya share??? Ebu refer mahojiano ya rugemalila na cag alikua anahojiwa .aliionya serikali kwa barua kbisaa kua kuna watu wanataka kuchota izo pesa.BT serikali ifumba macho
 
Wizi wa Rugemalila ni kupewa pesa kutoka ESCROW TEGETA account ya uma badala ya kulipwa kutoka kwa singasinga upo hapo???
ni njama ya wizi mkubwa kati ya maofisa wakuu serikalini wawekezaji wanasiasa na wanasheria. makosa ya ruge yanahitaji kubainishwa wazi ili ashtakiwe. upo ushahidi tele wa kutoa rushwa na taarifa za uongo.
 
Mkuu,

Soma hapa ndo utaelewa:

Facts on IPTL deal ahead of the tabling of escrow scam report - National - thecitizen.co.tz

Back
Top Bottom