KLM yatambulisha Boeing 777 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KLM yatambulisha Boeing 777

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yona F. Maro, Oct 26, 2008.

 1. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #1
  Oct 26, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Ni usiku wa baridi kali sana , vijana na vikundi mbali mbali vya sanaa viko hapa uwanjani , uwanja umerembwa kidogo katika baadhi ya maeneo haswa yale ya watu kuingilia na sehemu ya wageni maarufu

  Watu kwa makundi wanapiga picha na vijana hawa wanaopiga ngoma na kuonyesha sanaa zingine za mtandao , kila mtu anafuraha yake moyoni

  furaha hizi hazijaletwa na kingine bali ni ujio wa ndege nyingine toka kwa shirika la ndege la uholanzi aina ya Boeng 777 , ndege hii safari zake ndio zinazinduliwa usiku huu katika uwanja wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere .

  Baada ya serikali kuamua kuitupa ATCL kwa Wachina na kusikika tetesi za shirika la ndege la Community kurudi tena hewani KLM wakaamua watuletee vitu vya uhakika na sasa kuna 777 ambayo ndio itaanza safari zake katika ya Tanzania na sehemu zingine za dunia kuanzia usiku wa leo
  [​IMG]
   
 2. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  ......ok....................
   
 3. deny_all

  deny_all JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2008
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 428
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  OK ...wameamua kuretire MD-11 nini....
   
 4. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Tusije wekewa vitu feki vya kichina kwenye ndege zetu kwa kuwa tunapenda feki...unaweza kuta hata maziwa ya milo feki ya kichina kwenye ndege hiyo.

  Kila la heri KLM....Mie na Community yangu dar mpaka mwanza..leo leo....
   
 5. M

  Masatu JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Shy una maana KLM route ya Dar wamebadili aircraft badala MD 11 wanaleta Boeing 777?
   
 6. Ladslaus Modest

  Ladslaus Modest JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2008
  Joined: Jun 27, 2008
  Messages: 638
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu Shy,
  Hiki kiswahili "Klm yaambulisha boing 777" kimekuwa kigumu kwangu, hebu kifanye kiwe rahisi zaidi.
  Asante.
   
 7. N

  Njimba Nsalilwe JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2008
  Joined: Mar 23, 2008
  Messages: 251
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Masatu jibu ni ndiyo,

  Walisambaza huu ujumbe kwa ma frequent flyers:

  Quote:

  Fly with KLM on the State-of-the-art Boeing 777-300er
  Above the clouds, Relax in style, Unwind in space, Lounge in luxury and make time fly! Come fly with us and enjoy the luxury that our new operation to Tanzania brings with the Boeing B777-300er! Equipped with the latest e-enabled facilities to support the operational management, the B777-300er features new more comfortable seats in both business class and economy offering the most interactive and personal audio/video-on-demand. This aircraft will operate on Fridays and Sundays from Kilimanjaro and Dar es Salaam to Amsterdam every week!


  Hope this helps!

  Njimba
   
 8. Kuntakinte

  Kuntakinte JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2008
  Joined: May 26, 2007
  Messages: 704
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkubwa mbona hii inaeleweka tuu labda kama unamengine ni matatizo mambyo kila mwanadamu ambaye sie kamili linatokea.

  Naiweka sawa sasa kwa niaba ya Shy: KLM YATAMBULISHA BOEING 777 Amani iwe nawe.
   
 9. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Una hakika ?

  Aliposema KLM yaambulisha angeweza kumaanisha KLM imetupa nafasi kuambulia huduma ya Boeing 777.

  Wametupa benefit, opportunity, ama ka nafasi ka kupata huduma ya madege ambayo sisi wenyewe hatumiliki, na hatujawahi kupata hata za wenzetu kutua hapa, kubwa kama 777.
   
 10. Ladslaus Modest

  Ladslaus Modest JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2008
  Joined: Jun 27, 2008
  Messages: 638
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wakuu Kuntakinte na Kuhani,
  Tungemuachia Mkuu Shy anyambulishe mwenyewe hili neno maana nanyi 'waalimu wangu wa kiswahili':) mnapingana pia.
   
 11. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2008
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280

  Njimba,
  Huu ujumbe wako ni kweli. Ila ukiingia gazeti la Arusha Times, ujumbe huu ni wa mwaka 2006 yaani zaidi ya miaka miwili iliyopita. Hivyo alichokiandika SHY sidhani kama ni hiki.
  Local News
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280
  Mbona atcl iliponyambulisha airbus yake hatukuja na uzawa kama huu jamani!!!!!!!!!!!!!loh@####
   
 13. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2008
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  I say, I just came back home on that plane. It is one monster of a plane. The captain introduced the fact to the passengers that that particular Boeing 777-300 has been named "Serengeti" by KLM.
  Wazungu kama kawaida yao, tena wamama wa Kimarekani waliokuwa nyuma yangu wakaanza kuosha vinywa oh, wanajuaje kama viwanja vya TZ vitaweza kumudu hiyo ndege kubwa, wameshafanya test landing? Na mambo kama hayo
  Kusema kweli ni ndege kubwa, takes 425 passengers, was completely full on that day. I disembarked at KIA and where we were met with fireworks and the usual Tanzanian ngoma much to the amusement of the 400 tourists (there were roughly 25 TZanians/ foreigners residing in TZ) and were given some KLM memorabilia.
  Ila pia leg room kule kwa walala hoi hamna kabisa I say!!
  But big up to KLM, they are really helping bring the tourists in (and taking the flowers out!!)
   
 14. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2008
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  I say, I just came back home on that plane. It is one monster of a plane. The captain introduced the fact to the passengers that that particular Boeing 777-300 has been named "Serengeti" by KLM.
  Wazungu kama kawaida yao, tena wamama wa Kimarekani waliokuwa nyuma yangu wakaanza kuosha vinywa oh, wanajuaje kama viwanja vya TZ vitaweza kumudu hiyo ndege kubwa, wameshafanya test landing? Na mambo kama hayo
  Kusema kweli ni ndege kubwa, takes 425 passengers, was completely full on that day. I disembarked at KIA where we were met with fireworks and the usual Tanzanian ngoma much to the amusement of the 400 tourists (there were roughly 25 TZanians/ foreigners residing in TZ) and were given some KLM memorabilia.
  Ila pia leg room kule kwa walala hoi hamna kabisa I say!!
  But big up to KLM, they are really helping bring the tourists in (and taking the flowers out!!)
   
 15. Jambazi

  Jambazi JF-Expert Member

  #15
  Sep 9, 2016
  Joined: Jan 18, 2014
  Messages: 14,445
  Likes Received: 12,623
  Trophy Points: 280
  Noma sana!
   
 16. k

  kaka Robert Member

  #16
  Sep 10, 2016
  Joined: Aug 23, 2016
  Messages: 6
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Nafikiri kama kumbukumbu zangu zipp saww Emirate wamesha wahi kuleta boing777-300ER several times
   
 17. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #17
  Sep 10, 2016
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Aisee wasomi wa Tanzania wanaongoza kwa umbumbu..... Chagua lugha moja ya kutumia... Kama ni Kiswahili ama Kiingereza..
   
 18. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #18
  Sep 10, 2016
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  mwaka 2008
   
 19. muhomakilo jr

  muhomakilo jr JF-Expert Member

  #19
  Sep 10, 2016
  Joined: Jul 28, 2013
  Messages: 10,146
  Likes Received: 3,248
  Trophy Points: 280
  Duu uzi wa kitambooo...
   
 20. kidadari

  kidadari JF-Expert Member

  #20
  Sep 10, 2016
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 2,350
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  duh
   
Loading...