Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,882
- 221,228
Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania , ni miongoni mwa Taasisi za Kidini zilizojitokeza mbele ya kamati ya Bunge kutoa maoni kuhusu miswada ya sheria za Uchaguzi .
Kanisa hilo limewakilishwa na Askofu Shoo , ambaye pamoja na mambo mengine ameitaka kamati hiyo ya Bunge kuhakikisha maoni mazuri yanayotolewa na wadau yafanyiwe kazi haraka ili kuhakikisha Uchaguzi unakuwa huru na Haki .