KKKT lahaha kumsafisha Askofu Malasusa

KKKT lahaha kumsafisha Askofu Malasusa

Yesu Kristu aliyajua haya ndio maana katika mitume wake 12, hakuwepo hata mwanamke mmoja.

Msifikiri kwamba enzi hizo wanawake hawakuwepo au Yesu hakuwaona wanawake.

kama Askofu Dr Malasusa anabisha hakuwa na mahusiano ya kingono na Mchungaji Leita Ngowi kiasi cha kumzalisha watoto 3. Basi akubali kwenda kupima DNA muone kama hajaumbuka kama former IGP ..... aliyempa mimba house girl wake halafu akataka kukacha kumtunza mtoto.
Kristu ndio nini
KRISTU[emoji777]
YESU KRISTO[emoji736]
 
Hayo ni maisha binafsi ya huyo mchunga kondoo wa bwana .Kamwe yasihusishwe na kanisa.
 
Naogopa, mmmmh, Napata kigugumizi hadi nasikia mkojo.
 
Bwana Mimi nilikuwa Mchungaji kanisani ''ondoka kwangu sikutambui''.

Hakika siku ya Mwisho kutakuwa na'' kilio na kusaga Meno''.
 
Malasusa is not made of steel.ana feelings.kama ni kweli walutheri wana utaratibu wao jinsi ya kumuadabisha .
 
Kwa nini yeye mwenyewe asiueleze umma nini kinachoendelea na aache kutumia pesa ya Kanisa kuharibu familia ya mwenzake, lakini pia asijihusishe kwa namna yeyote na familia ya huyo muumini wake aliyepeleka malalamko, vinginevyo wananchi na waumini tutachukua hatua
 
Haki Huinua Taifa Lakini Dhambi Ni Aibu Kwa Watu Wote.
 
Bwana Mimi nilikuwa Mchungaji kanisani ''ondoka kwangu sikutambui''.

Hakika siku ya Mwisho kutakuwa na'' kilio na kusaga Meno''.
aah wapi,hawa maaskofu wana siri nzito,
wanajua haya mambo ya dini ni hekaya tu,na mbinu ya kutengeza hela,kwahiyo vitendo vyao wanajua havina madhara kwao
 
janisa limesema habari hizo si za kweli..

askofu hajaongea lolote kuhusu shutuma hizo.

askofu anaongoza kanisa,watu wake na taasisi zake.

kama vipi,hizi habari zichunguzwe vizuri na wadau then watuletee hapa ili na sie wanajf tutoe waraka kuhusu tuhuma za askofu dr malasusa.
 
aah wapi,hawa maaskofu wana siri nzito,
wanajua haya mambo ya dini ni hekaya tu,na mbinu ya kutengeza hela,kwahiyo vitendo vyao wanajua havina madhara kwao
Mkuu kama ni hekaya Mwenyezi Mungu asingetuletea Musa na Manabii.
 
Hayo ni maisha binafsi ya huyo mchunga kondoo wa bwana .Kamwe yasihusishwe na kanisa.

Ni kweli haya ni mambo binafsi, na ni lazima yamlenge yeye mtu binafsi...Ila ukiwa ni kiongozi wa kanisa mambo haya hayafai, ni lazima uonyeshe mfano...pamoja na hayo mimi nadhani tuhuma dhidi ya kiongiozi huyu wa kanisa zina harufu ya chuki, fitina, visasi, majungu na kuchafuana...kuna mambo yamejificha katika tuhuma hizi...mimi binafsi nachukia mno fitina, majungu na kuchafuana kwa lengo la kumharibia mtu...and apparently watu wanaochafua wengine huwa hawawezi kudumu, huishia pabaya, what goes around comes around.
 
Kuliko kukaa kimya askofu nae aseme neno moja tu, na roho za waumini zijue upande wake.
 
Back
Top Bottom