MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,279
Nafahamu hilo, Ila ni mangapi pia Yesu aliyamezea? Unakumbuka habari ya WAACHE WAFU WAZIKE WAFU WAO?Yesu alikuwa akijibu kila hoja,pamoja na kutambua kuwa mafarisayo na makuhani ni wanafiki.
Asipo jibu shutuma zitabaki kuwa kweli,na kama ni za kweli akijaribu kujibu ndio atazidi kujichanganya.
Mimi mluteri ila simtetei mtu yeyote hata kama ni askofu,kumbuka kila mtu na mzigo wake.