Haziwezi kuwa porojo na kwa ubaya wa hizo porojo,mtumishi wa kiroho akakaa kimya kiasi cha kutiliwa shaka kubwa.
Porojo hizi zina chembe chembe za ukweli ndani yake na ndiyo maana mchunga kondoo amekubali kuwa kimya ahukumiwe kwa namna yoyote ili YAISHE(YESHEEE)
Mke wa potfa alijibuwaje ne Mfame alipokalamikiwa? Yanjwamba hajustahiki kulalamikiwa jwa Kuwa heshimsnyake imenajisiwa hata Kwa kuwaziwa. Walnut heir wasijaribu kumsaidia Mungu kazi, was he Mungu site Mungu, Mimi siamini kama Kanisa lime toad waraka huu itakua ni kikundi Fulani cha wala be wake. Kanisa hili haliishii masariki Na Pwani, ni la Tanzania Nima, unataka kunipa bias waraka huu unakibali cha madokta wa kweli kina Munga, mwakabana, Mchungaji wa Mungu mastahi, etc wapakwa Mafuta wa Mungu? Wakristo wamekua makapi hawalijui neno, hawana tofauti Na wapagani, wamekua ha kumtetea kristonaliye hai wanahangaika. Hapa Shida sio Usafi wa Mkuu ni jinsijambo hili lilivyoleta confusion
KKKT
ni Dawa Na bahari kila Mtu
anavua anavyitaka
Kwa walutheri wengi watakaoacha Kanisa Kwa kuamuni au kutokujua au kujua ukweli. Na Ndio maana walutheri ni wepesi mno kuhama makanisa, Kwa Kuwa matendo ya namna hii hayatafutiwi Dawa. Makanisa yote map ya ya ayoitwa yakiroho yana way mini wengi toka huko kulijenga kwingine kite. Na ole wake atajayesababisha ksnias la Mungu kuanguka ole ole Kwa maana kuna roho xitakazopotea sababu ya Sakaya hili zikiwemo sole sa familia ya venance, nikiamni ni watu hai Na halisia, Makalamba wapo hata kwenye bib ilia wakina rahabu, lakini walipomgeukia Mungu walipata rehema. Ndugu zangu, Kanisa haliwezi kuepuka katika kashfa hii Kwa kudai Kuwa ni maishani binafsi, ukishakubali Kuwa Kiongozi huna Tena private life, lazima uishi katika Musingi inayokubalika. Kazi ya kulijenga Kanisa ni ya wote, tukemee Kwa nguvu zote ili tusije kuulizwa tulikua wapi wakati haya yanatokea.
Mkuu wajimbo anawajibu wa kufanya ili kumtetea kristo
Hii ni kashfa bila Kujali Nafasi ya mtu. Mhusika anawajibu wa kuliambia kanisa ukweli, Kanisa linyamaze ili Liam uwe ukweli, Kama anajidhihirisha mbele ya Mungu Kuwa kaonewa, basi ajiuzulu ili kutu a hiyo message. Kukaa kimya eti akimuachia Mungu hakulisaidii Kanisa lililokwishalaumiwa kutaka kunsafisha, passport hivyo kanisa litaendelea kupoteza washirika huku dayosisi ikiendelea kupoteza nguvu Yake kiuchumi Na kuendesha kubebwa Na sad aka Za Kimara. Mungu Bairiki Maneno yangu takao ate kimball mbele zako,