KKKT lahaha kumsafisha Askofu Malasusa

KKKT lahaha kumsafisha Askofu Malasusa

Msijidanganye nendeni mkampakazie huyo askofu mambo ambayo hajafanya kama atauchuna kama alivyochuna sasa hvi. Kosa la mseto na mwanahalisi ni lipi? Nyie mngebanduliwa wake zenu mngechekelea? Haya mambo ya kutetea ujinga ifike mahali tuachane nayo, viongozi wa dini kila siku wanasisitiza tuache zinaa wakati wao ndo vinara, aibu yao na kanisa
 
Hapa ndio mtajua Kubenea ni mtu hatari akiamua kukuchafua ....umma ulimuamini miaka mingi kwakuwa huvaa koti la chama chetu pendwa ....tunakoelekea siasa za fitna za kishamba zitakufa ....zitabaki fitna za kisayansi na wataoweza kupona ni wanasiasa wenye akili zao si akili za kushikiwa ....
 
TAMKO limeandaliwa ili kusafisha tuhuma zinazomkabili Dk. Alex Malasusa, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania, (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP), anaandika Josephat Isango.

Taarifa kutoka kwenye kanisa hilo zinaelezwa kwamba, tamko hilo limeandaliwa ili kushawishi waumini wapuuze taarifa zilizoandikwa kuhusu Askofu Malasusa na kwamba, yeye (Malasusa) hatotakiwa kusema lolote kuhusu tuhuma zake.

MwanaHALISI online, limeona waraka unaotarajiwa kusambazwa wakati wowote kuanzia sasa ambao umeelekezwa kwa wakuu wa majimbo, wachungaji, viongozi, wakuu wa vituo na taasisi pamoja na washirika wote.

Wakati kanisa likiandaa tamko hilo, Dk. Malasusa hajaandika wala kukanusha tuhuma zinazoelekezwa kwake wala kuzungumzia sakata la Muhimbili, sakata la watoto watatu ambao walitarajiwa kusafiriwa nje ya nchi.

Mzazi wa watoto hao, Venance Mwakilima aliiomba Mahakama ya Mwanzo Maili Moja kumpa amri kamishana wa uhamiaji azuie watoto wake wasisafiri nje ya nchi kama ilivyodaiwa.

Tamko hilo halijawataja Sijenuna Venance Mwakilima, mwenye hati ya kusafiria Na. AB 524934, Stephania Venance Mwakilima Na. AB 524933, Simon Venance Mwakilima Na. AB 599057 na mama yao Leita Ngoyi Mwakilima Na. AB.524932.

Tamko linasomeka “Wapendwa watu wa Mungu. Habari zilizoandikwa na gazeti la MwanaHALISI na Mseto yanayomilikiwa na kampuni moja ya Hali Halisi Publishers Ltd, kuhusu Askofu wetu sio za kweli,”
ChSlCkLVEAEvXF7.jpg:large

Linaongeza kwamba, “Kanisa limetafakari kwa kina kuhusu habari hizo na malengo ya mwandishi huyo kuandika kwenye magazeti yote mawili kwamba, alilenga kulishambulia Kanisa kwa sababu anazozijua mwandishi na mmiliki wa magazeti hayo.

“Kanisa linapenda kuwaomba waumini wote na jamii kwa ujumla, kuwa wavumilivu na kuendelea kuliombea Kanisa na uongozi wake huku hatua stahiki zikichukuliwa.”

Baadhi ya wachungaji walioongea na mwandishi katika Ibada za Jumuiya leo Jumamosi, wamesema Kanisa halihusiki na tuhuma za mtu binafsi, kwani Kanisa halikuenda Muhimbili, wala halikuandika ujumbe wa simu za kimahusiano na mke wa mtu, wala kutoa maelekezo ya kuwaficha watoto.

“Hilo ni suala lake binafsi, na watu wanapolalamika hawalalamikii Kanisa, wanalalamikia tabia ya mtu,” amesema mchungaji aliyedai kuwa anamfahamu Dk. Malasusa kwa karibu.

Kwa upande mwingine, familia ya Venance Mwakilima wamezungumza na mwandishi na kuahidi kuwa, wanasubiri tamko hilo lakini kama watakuwa na suala la kujibu watasema kwani wao hawana ugomvi na Kanisa bali tabia ya Dk. Malasusa.

“Nimemwandikia Askofu ujumbe mfupi kwa njia ya simu ukisema, Baba Askofu nilikwambia tukae kikao ukadharau, ukanipuuza sasa mambo yalipofika huku ndio unafurahi?”

Amesema Asime Mwakilima, kaka wa mume ambaye ameahidi kuwa, akirejea kutoka Mbeya atazungumza mengi zaidi huku akimlaumu Askofu kwa kutojibu ujumbe wa simu aliomwandikia.

Aidha mume aliyelalamika na kumtuhumu Askofu Malasusa, ameyashukuru magazeti ya MwanaHALISI na Mseto kwani baada ya habari hizo kuandikwa, kesi alizokuwa anabambikizwa zimefutwa zote, na watoto wote walikuwa wamefichwa wamerejea nyumbani leo asubuhi tarehe 30 Aprili 20016.

Askofu Malasusa anatuhumiwa kujihusisha kimapenzi na mchungaji wa kanisa hilo ambaye ni mke wa mtu.

Anayemtuhumu Dk. Malasusa ni Mwakilima, mkazi wa eneo Vikawe, Bagamoyo ambaye ni mfanyakazi wa Shule ya Msingi Dunda.

Dk. Malasusa anadaiwa kuwa na uhusiano na Leita Ngowi, mchungaji na mkurugenzi wa idara ya wanawake usharika wa Azania Front, Jijini Dar es Salaam aliyepandishwa cheo siku za karibuni na askofu huyo.
Pamoja na vijikaratasi visivoeleweka bado Mwanahalisi na huyo Mwakilima hawajathibi:isha ugoni wa Dr Malasusa hadi keo.

Hizi habari za kutungwa na kuhaririwa na kundi fulani, na nina uhakika kwa vile nafahamu, hakuna mchungajibati anaitwa Leita Ngowi!
Halafu hiinjama inasema tuhuma za kufunguliwa kesi za huyu Mwakilima zimeyoyoma!
Tujiulize , ni Malasusa alisababisha huyo mama kupelekwa hospitali, au ilikuwa kipigo cha mumewe Mwakilima.
Mwanahalisi atueleze kuwa kipigi kilikuwepo au hakikuwepo?
Na huyo mama alienda hospitali kunya soda au?
Habari imekaa kama ya mtu mwenye elimu ya hapa na pale!
 
MALASUSA ndio wa Kwanza kuchafuliwa na magazeti ya UDAKU kama MWANAHALISI na MSETO?
Mbona LOWASSA mtumishi wa MUNGU alichafuliwa sana na haya magazeti na bado alikaa kimya? Maandiko kutoka katika Biblia takatifu yanafundisha hekima ya kuwakabili waandishi na mafarisayo wanafiki!
Wakati wote wewe unakuwa upande wa wapumbavu ili kutetea upumbavu ! kwanini lakini !?
 
Kweli pampuch ni noma,yaani baba askofu kadata mpaka anataka kuanzisha bifu la kupora mke wa mtu hadharani........!!
 
Jambo kuu la kujiuliza, ni kwa nini Malasusa hajakanusha au kutoa tamko lolote mpaka leo regardless of tuhuma zote na hadhi aliyonayo kwenye kanisa na jamii? Lakini ni kwa nini Kanisa la KKKT waamue kutoa tamko wakati tuhuma hazijaelekezwa kwa kanisa bali ni kiongozi wao wa dini ambaye tuhuma za uzinzi ni personal? Kuna jambo gani nyuma ya pazia? Je kanisa wam shajua ukweli ila wanaprotect image ya kanisa? Mbona kanisa linahaha namna hiyo? Mbona watoto wamerudi kwa baba yao? Mbona polisi imedrop charges zote dhidi ya mume? Kuna nini hapo kimetokea??? Lakini naamini hata mume bado ana siri kubwa tu pamoja wamefikia hatua hii. Bado maswali yapo kuhusu uadilifu wa Malasusa na utumishi wake kwenye kanisa kiujumla. Sisi wengine ni waumini wa KKKT ndio maana hatupendi kashfa za namna hii lakini hatupendi kanisa lihusike kwenye mambo binafsi sababu ofisi ya askofu haihusiki kujibu tuhuma ambazo ni personal. Lakini jambo la muhimu ni kwamba watoto wamerudi kwa baba yao huyo Ngowi aendelee na tamaa zake
 
Lakini hizi sio tuhuma za kwanza kwa kiongozi huyo wa kiroho... Sasa ni vyema akachunguza mienendo yake kwa sababu baba wa taifa alishawahi kusema, mke wa kaisari hatakiwi hata kutuhumiwa, sembuse kaisari mwenyewe?
 
"Fateni nisemayo,msifate nitendayo"(????????!!!!!!!!!!!!)
Unapowahubiria watu watende yaliyo mema ni vyema nawe uwe ni mtenda mema kwa vitendo.Sitaki kumhukumu mtu lakini kwa mtenda mema halisi ni ngumu sana kuhisiwa jambo zito kama hilo-THERE MUST BE A PROBLEM SOMEWHERE SOMEHOW.
 
TAMKO limeandaliwa ili kusafisha tuhuma zinazomkabili Dk. Alex Malasusa, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania, (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP), anaandika Josephat Isango.

Taarifa kutoka kwenye kanisa hilo zinaelezwa kwamba, tamko hilo limeandaliwa ili kushawishi waumini wapuuze taarifa zilizoandikwa kuhusu Askofu Malasusa na kwamba, yeye (Malasusa) hatotakiwa kusema lolote kuhusu tuhuma zake.

MwanaHALISI online, limeona waraka unaotarajiwa kusambazwa wakati wowote kuanzia sasa ambao umeelekezwa kwa wakuu wa majimbo, wachungaji, viongozi, wakuu wa vituo na taasisi pamoja na washirika wote.

Wakati kanisa likiandaa tamko hilo, Dk. Malasusa hajaandika wala kukanusha tuhuma zinazoelekezwa kwake wala kuzungumzia sakata la Muhimbili, sakata la watoto watatu ambao walitarajiwa kusafiriwa nje ya nchi.

Mzazi wa watoto hao, Venance Mwakilima aliiomba Mahakama ya Mwanzo Maili Moja kumpa amri kamishana wa uhamiaji azuie watoto wake wasisafiri nje ya nchi kama ilivyodaiwa.

Tamko hilo halijawataja Sijenuna Venance Mwakilima, mwenye hati ya kusafiria Na. AB 524934, Stephania Venance Mwakilima Na. AB 524933, Simon Venance Mwakilima Na. AB 599057 na mama yao Leita Ngoyi Mwakilima Na. AB.524932.

Tamko linasomeka “Wapendwa watu wa Mungu. Habari zilizoandikwa na gazeti la MwanaHALISI na Mseto yanayomilikiwa na kampuni moja ya Hali Halisi Publishers Ltd, kuhusu Askofu wetu sio za kweli,”

Linaongeza kwamba, “Kanisa limetafakari kwa kina kuhusu habari hizo na malengo ya mwandishi huyo kuandika kwenye magazeti yote mawili kwamba, alilenga kulishambulia Kanisa kwa sababu anazozijua mwandishi na mmiliki wa magazeti hayo.

“Kanisa linapenda kuwaomba waumini wote na jamii kwa ujumla, kuwa wavumilivu na kuendelea kuliombea Kanisa na uongozi wake huku hatua stahiki zikichukuliwa.”

Baadhi ya wachungaji walioongea na mwandishi katika Ibada za Jumuiya leo Jumamosi, wamesema Kanisa halihusiki na tuhuma za mtu binafsi, kwani Kanisa halikuenda Muhimbili, wala halikuandika ujumbe wa simu za kimahusiano na mke wa mtu, wala kutoa maelekezo ya kuwaficha watoto.

“Hilo ni suala lake binafsi, na watu wanapolalamika hawalalamikii Kanisa, wanalalamikia tabia ya mtu,” amesema mchungaji aliyedai kuwa anamfahamu Dk. Malasusa kwa karibu.

Kwa upande mwingine, familia ya Venance Mwakilima wamezungumza na mwandishi na kuahidi kuwa, wanasubiri tamko hilo lakini kama watakuwa na suala la kujibu watasema kwani wao hawana ugomvi na Kanisa bali tabia ya Dk. Malasusa.

“Nimemwandikia Askofu ujumbe mfupi kwa njia ya simu ukisema, Baba Askofu nilikwambia tukae kikao ukadharau, ukanipuuza sasa mambo yalipofika huku ndio unafurahi?”

Amesema Asime Mwakilima, kaka wa mume ambaye ameahidi kuwa, akirejea kutoka Mbeya atazungumza mengi zaidi huku akimlaumu Askofu kwa kutojibu ujumbe wa simu aliomwandikia.

Aidha mume aliyelalamika na kumtuhumu Askofu Malasusa, ameyashukuru magazeti ya MwanaHALISI na Mseto kwani baada ya habari hizo kuandikwa, kesi alizokuwa anabambikizwa zimefutwa zote, na watoto wote walikuwa wamefichwa wamerejea nyumbani leo asubuhi tarehe 30 Aprili 20016.

Askofu Malasusa anatuhumiwa kujihusisha kimapenzi na mchungaji wa kanisa hilo ambaye ni mke wa mtu.

Anayemtuhumu Dk. Malasusa ni Mwakilima, mkazi wa eneo Vikawe, Bagamoyo ambaye ni mfanyakazi wa Shule ya Msingi Dunda.

Dk. Malasusa anadaiwa kuwa na uhusiano na Leita Ngowi, mchungaji na mkurugenzi wa idara ya wanawake usharika wa Azania Front, Jijini Dar es Salaam aliyepandishwa cheo siku za karibuni na askofu huyo.
 
TAMKO limeandaliwa ili kusafisha tuhuma zinazomkabili Dk. Alex Malasusa, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania, (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP), anaandika Josephat Isango.

Taarifa kutoka kwenye kanisa hilo zinaelezwa kwamba, tamko hilo limeandaliwa ili kushawishi waumini wapuuze taarifa zilizoandikwa kuhusu Askofu Malasusa na kwamba, yeye (Malasusa) hatotakiwa kusema lolote kuhusu tuhuma zake.

MwanaHALISI online, limeona waraka unaotarajiwa kusambazwa wakati wowote kuanzia sasa ambao umeelekezwa kwa wakuu wa majimbo, wachungaji, viongozi, wakuu wa vituo na taasisi pamoja na washirika wote.

Wakati kanisa likiandaa tamko hilo, Dk. Malasusa hajaandika wala kukanusha tuhuma zinazoelekezwa kwake wala kuzungumzia sakata la Muhimbili, sakata la watoto watatu ambao walitarajiwa kusafiriwa nje ya nchi.

Mzazi wa watoto hao, Venance Mwakilima aliiomba Mahakama ya Mwanzo Maili Moja kumpa amri kamishana wa uhamiaji azuie watoto wake wasisafiri nje ya nchi kama ilivyodaiwa.

Tamko hilo halijawataja Sijenuna Venance Mwakilima, mwenye hati ya kusafiria Na. AB 524934, Stephania Venance Mwakilima Na. AB 524933, Simon Venance Mwakilima Na. AB 599057 na mama yao Leita Ngoyi Mwakilima Na. AB.524932.

Tamko linasomeka “Wapendwa watu wa Mungu. Habari zilizoandikwa na gazeti la MwanaHALISI na Mseto yanayomilikiwa na kampuni moja ya Hali Halisi Publishers Ltd, kuhusu Askofu wetu sio za kweli,”

Linaongeza kwamba, “Kanisa limetafakari kwa kina kuhusu habari hizo na malengo ya mwandishi huyo kuandika kwenye magazeti yote mawili kwamba, alilenga kulishambulia Kanisa kwa sababu anazozijua mwandishi na mmiliki wa magazeti hayo.

“Kanisa linapenda kuwaomba waumini wote na jamii kwa ujumla, kuwa wavumilivu na kuendelea kuliombea Kanisa na uongozi wake huku hatua stahiki zikichukuliwa.”

Baadhi ya wachungaji walioongea na mwandishi katika Ibada za Jumuiya leo Jumamosi, wamesema Kanisa halihusiki na tuhuma za mtu binafsi, kwani Kanisa halikuenda Muhimbili, wala halikuandika ujumbe wa simu za kimahusiano na mke wa mtu, wala kutoa maelekezo ya kuwaficha watoto.

“Hilo ni suala lake binafsi, na watu wanapolalamika hawalalamikii Kanisa, wanalalamikia tabia ya mtu,” amesema mchungaji aliyedai kuwa anamfahamu Dk. Malasusa kwa karibu.

Kwa upande mwingine, familia ya Venance Mwakilima wamezungumza na mwandishi na kuahidi kuwa, wanasubiri tamko hilo lakini kama watakuwa na suala la kujibu watasema kwani wao hawana ugomvi na Kanisa bali tabia ya Dk. Malasusa.

“Nimemwandikia Askofu ujumbe mfupi kwa njia ya simu ukisema, Baba Askofu nilikwambia tukae kikao ukadharau, ukanipuuza sasa mambo yalipofika huku ndio unafurahi?”

Amesema Asime Mwakilima, kaka wa mume ambaye ameahidi kuwa, akirejea kutoka Mbeya atazungumza mengi zaidi huku akimlaumu Askofu kwa kutojibu ujumbe wa simu aliomwandikia.

Aidha mume aliyelalamika na kumtuhumu Askofu Malasusa, ameyashukuru magazeti ya MwanaHALISI na Mseto kwani baada ya habari hizo kuandikwa, kesi alizokuwa anabambikizwa zimefutwa zote, na watoto wote walikuwa wamefichwa wamerejea nyumbani leo asubuhi tarehe 30 Aprili 20016.

Askofu Malasusa anatuhumiwa kujihusisha kimapenzi na mchungaji wa kanisa hilo ambaye ni mke wa mtu.

Anayemtuhumu Dk. Malasusa ni Mwakilima, mkazi wa eneo Vikawe, Bagamoyo ambaye ni mfanyakazi wa Shule ya Msingi Dunda.

Dk. Malasusa anadaiwa kuwa na uhusiano na Leita Ngowi, mchungaji na mkurugenzi wa idara ya wanawake usharika wa Azania Front, Jijini Dar es Salaam aliyepandishwa cheo siku za karibuni na askofu huyo.

Chanzo: Mwanahalisionline
 
mmmmmmm...makubwa haya...nimefundishwa kutokusema neno juu ya watumishi wa mungu
 
TAMKO limeandaliwa ili kusafisha tuhuma zinazomkabili Dk. Alex Malasusa, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania, (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP), anaandika Josephat Isango.

Taarifa kutoka kwenye kanisa hilo zinaelezwa kwamba, tamko hilo limeandaliwa ili kushawishi waumini wapuuze taarifa zilizoandikwa kuhusu Askofu Malasusa na kwamba, yeye (Malasusa) hatotakiwa kusema lolote kuhusu tuhuma zake.

Unairudia Thread hii mara mbili, sijui ni kusisitiza tuijadili, au kutafuta ukweli wa jambo hili? Kwa ushauri vema umtafute huyo Josephat Isango asaidie kuthibitisha.
 
kwaiyo Wachunga kondoo, wamekutana wakichunga na kuamua kufanya yao....
 
kumbe wakitoka madhabauni kamti kanatembezwa!hii ni hatariiiiii,na kama nikwer hivi vtendo wanavfanyia wap?ssa kama viongozi wanafanya matendo maovu maumn tufanye nn?yetu masikio.
 
Yesu Kristu aliyajua haya ndio maana katika mitume wake 12, hakuwepo hata mwanamke mmoja.

Msifikiri kwamba enzi hizo wanawake hawakuwepo au Yesu hakuwaona wanawake.

kama Askofu Dr Malasusa anabisha hakuwa na mahusiano ya kingono na Mchungaji Leita Ngowi kiasi cha kumzalisha watoto 3. Basi akubali kwenda kupima DNA muone kama hajaumbuka kama former IGP ..... aliyempa mimba house girl wake halafu akataka kukacha kumtunza mtoto.
 
Back
Top Bottom