SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 7,076
- 6,676
Mimi, system ninayo-elezeya ni Political system.
Na sina mzaha, haya ni mambo yanayomgusa kila m-Tanzania.
Au huijuwi system ni nini?
Ni nini ulichoelezea kuhusu hiyo political system?
Najisalimisha-Tutaendeleza kule kwenye haya. Tatizo langu hapa umekalia kidedea hiyo system kwenye mada isiyo-rudi kule ulipoanza uzomba wa system-ni hilo tu
Asante