Kivuko cha MV Magogoni chaelea baada ya injini kuzima

Kivuko cha MV Magogoni chaelea baada ya injini kuzima

Natamani nielekee hapo kivukoni sasa hivi ila aaah.
 
mbona hayo ni ya kwaida sana kwa tz itawaka tu inawezena imeishiwa diesel hata tren watu wanakwiba mafuta
 
juhudi za kukikwamua zinaendelea.
1488235_10201745346569574_758772667_n.jpg
 
MUNGU wetu mwema awaepushe na mabalaa na hatari! Watoke salama!! Amennnnnn!!
 
Matunda ya utawala wa Chama Cha Mizigo (CCM)
 
Back
Top Bottom