Kivuko cha MV Magogoni chaelea baada ya injini kuzima

Kivuko cha MV Magogoni chaelea baada ya injini kuzima

maisha bora kwa kila mtanzania WAZIRI MAGUFULI upo?wewe ndio unautaka urais sasa uje hapa utuambie kipi kimetokea
 
Breaking News ITV
Mv magogoni imekwama katikati ya bahari ikiwa na abiria wengi pamoja na mizingo na magari

Utaratibu wa kuokoa watu na kuiwasha unaendelea

Sala zako zinahitajika ndugu Mtanzania

update...

sasa pantoni hilo linaelekea mwelekeo wa bandari ya kuelekea zanzibar huku ikivutwa na kamba na rescue boat(boti ya uokoaji).......kuna baadhi ya watu wameshavaa maboya wengine wamekosa kwani yamekwisha!!
 
aiseeee babayangu hapi nadhani itaundwa tume kumtafuta mchawi nani
 
Hizo hela wanazokusanya kila siku mbona hawazitumii kufanya marekebisho ya hzo pantoni??! Tanzania bwana!!!
 
Hivi bado wanapanda tu? Si waliambiwa Wapige mbizi?
 
yote hayo ni mipango ya mungu,tuzidi kuwaombea walioko ktk kivuko hicho watoke salama
 
Katika hali isiyo ya kawaida leo alasiri saa kumi kasoro kivuko cha MV Kigamboni kimezima katikati ya maji wakati kikielekea kigamboni kikiwa kimejaa abiria na magari.

mpaka sasa bado abiria wapo ndani ya kivuko na jitihada za uokoaji zinaendelea. Hakuna kifo kilichoripotiwa

source; ITV & radio one

Vifo vitokee wapi tena?? Si kimezima tu?

Zifanyike jitihada za kuwanasua hapo walipo..

Na wahusika wawajibishwe..
 
mbona nasikia ni kile kidogo cha MV kigamboni? halafu wanasema ni mawimbi na si engine kuzima?
embu ingia chimbo utupe taarifa vizuri
 
dah sijui nakwendaje nyumbani leo oh my dear good god
 
Breaking News ITV
Mv magogoni imekwama katikati ya bahari ikiwa na abiria wengi pamoja na mizingo na magari

Utaratibu wa kuokoa watu na kuiwasha unaendelea

Sala zako zinahitajika ndugu Mtanzania

Mungu ajalie watoke salama!
 
Back
Top Bottom