Kivuko cha MV Magogoni chaelea baada ya injini kuzima

Kivuko cha MV Magogoni chaelea baada ya injini kuzima

Jana nilikuwa ferry nikakisikia sauti ya ajabu, kumbe ndio kilikuwa kinakufa
 
Walishaambiwa wapige mbizi hawasikii..tumewachoka
 
tayari miaka mi 5 imeshapita TEMESA hawana budikukifanyia marekebisho kwa mujibu wa mikataba ya kimataifa,SOLAS 74 .
 
hatima yake ni nin? au bado wanaelea? mtu angepiga mbizi akakifunge mnyororo then wavute
 
Maasi yamezidi.... Pembe za Ndovu ni nzito sana haya ndio matokeo yake
 
Asante kwa taharifa. Huku mafia tupo tayari kupokea wa ufukweni watakao letwa ma maji.
jambo la makini ukileta upuuzi kwa kutania ipo siku itakuja kwako na ndo mwsho utakapo kuwa,hawakupenda hali hyo hao watu ila ww unahisi unamkataba na mungu na unajua kila litokealo mbele yako
 
Back
Top Bottom