Kiukweli Kanumba alikuwa ana mvuto wa kipekee

Kanumba alikuwa super star kuliko wasanii wa sanaa zote hapa nchini kama maigizo, mpira, muziki n.k.

Enzi za uhai wake alikuwa ni kipenzi cha wanawake na watoto wote na hakuwa na mpinzani na hana mpinzani hadi sasa.
Sifa za marehemu
 
A point of no return.
Red valentines

Hizi movies, Kanumba alifanya kweli.
 
Kwenye hii dunia,kuna watu wachache sana duniani hawatakuja kupata replacement mpaka dunia inafika mwishoni.
1.Michael jackson
2..Messi
3.Tupac
4.shahrukh khan
5.Thomas sankara
6.kanumba
 
Japokua mimi Sijawahi kua shabiki wa "bongo movie" hata kidogo lakini yule jamaa alikua ana nyota ya umaarufu Sana, yani humfatilii lakini habari zake zinakufuata huko huko uliko tofauti na sasa hivi hakuna "mbongo movie" ninaekuta taarifa zake kwenye mitandao ni kama jamaa alikufa na "bongo movie" yake
Si nasikia kuna jua kali sijui jua baridi nayo ina wasanii wakali
 
Kwenye hii dunia,kuna watu wachache sana duniani hawatakuja kupata replacement mpaka dunia inafika mwishoni.
1.Michael jackson
2..Messi
3.Tupac
4.shahrukh khan
5.Thomas sankara
6.kanumba
Dkt John Magufuli
Mwl Julius Nyerere.

Waliobaki wote ni majizi matupu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom