Stamina
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 1,029
- 561
yaliyomoyamo hawa watu ni masikini wakutupwa yaani ni mafukara hadi basi.Nimekaa mwanza , Geita, shinyanga na Simiyu,kule bariadi na Maswa, hakuna mikoa yenye watu masikini kama hii. Hadi huruma jamani.
Nimekaa sana mwanza na shinyanga pale kuzumbi, ibinzamata, ndala, buligalila, ngokolo , tinde mpaka kahama na kakola
Kote huko kuna umasikini wakutisha, kuna sehemu unapita na gari hadi unajiuliza huku nako ni Tanzania?! Au Tanganyika?!
Masikini hadi wanakuwa waoga sana.