Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
You know aisee
I don't know aisee
You know aisee
mheshimiwa Masaki ,suala la kujichukulia shria mikononi ni fano mkubwa ambao unaonyesha jinsi gani sheria imeoza nchini,angalia jeshi la police jinsi lilivyokuwa duni hawana communication ya kutosha ,magari na vyombo vingine vya mawasiliano vimeshindikana kupatikana kutoka kwa government hii inachangia sana kwa jeshi hilo kutofanya kazi zake kwa ufanisi zaidi,hapa wa kulaumiwa ni serikali na wla sio hao police kwani kama serikali ikihitaji watu hawa kufanya kazi zao kikamilifu watazifanya.Serkali lazima ifanye investment kubwa sana katika jeshi la usalama wa raia (police)kama walivyoinvest katika jeshi,kama kuna kijinchi kitakachojaribu kutuletea tabu basi9 hapo ndipo mtajionea jinsi gani imewekeza ndani ya jeshi letu,na vivyo hivyo inaweza ikafanyika kwa jeshi la police.Vibaka wote watakapoyeyukia hatutojua.
peace!!!
Wanafundwa wakafundika.
Halafu we hiyo Id kama nakusoma
Inasemekana mapenzi yapo Tanga.
Kigogo mmoja marehemu (R.I.P) alinihadithia "Jamaa mmoja alienda Tanga kikazi kama mwalimu,akapanga chumba,akaelewana na mzee mwenye nyumba,jamaa kama ticha asubuhi anawahi darasani,ila kabla hajaamka ile anaswaki anashangaa kuletewa chai na binti wa mzee,kama kawaida jamaa akazoea kupewa chai ya kila siku asubuhi,Mara anafuliwa nguo,wakaendelea jamaa anachemshiwa maji ya kuoga,Mara dogo kazamia chumbani,jamaa akadata akamtia binti mimba,jamaa akashtuka mzee atamind,mzee akamfuata kijana,"nataka niwaachie hii eneo chukueni kodi we na binti yangu muwe mnanitumia kiasi,ila nataka niende kijijini kule nijengeee nyumba ya bati nina eneo huko,jamaa akamnunulia mzee bati,mzee yupo kijijini anaenjoy,jamaa kaoa bila kujua kamjengea mzee nyumba.
Hiyo story niliyopewa,.....
Rafiki yangu tukiwa chuo alikuwa na hamasa ya kusoma,karibia tunamaliza akakutana na mwanamke wa kitanga,akaniambia viol naacha chuo nimedata na mapenzi,nimekutana na Zai naacha chuo,kaacha chuo kaenda kwa mtanga.
Bwana Misosi kwenye wimbo wake anasema.
"Ndo maana Mwinjuma (mumini)katoka Dar kaja kuoa Tanga,........ukija tanga utajenga mapenzi si limbwata.
Wenye experince na watanga mtuambie mnadatishwaje ??
Je umefeel kitu tofauti kutoka kwenye mapenzi ya kitanga kuliko mapenzi uliyowahi?
Yule aliyesema mapenzi yapo mbeya acha kuzingua.
Mkuu hata Mimi sijui tanga Kupoje,just imagination,twende huko ukishindwa kurudi huku sijui itakwaje
We unapenda nini hasa?hela au penzi?
Wanapiga miguu yote hao...ukija kulia yupo hali kadhalika kushoto....natumai watu wazima tumeelewana
wanaume wakisambaa niwanyenyekevu sana ila hyo foleni kama ya NMB tarehe30 hata kama kakuacha mpaka ujue ni zaidi ya miezi 6/mwaka. hata kama yuko kwa hawara atakuongelesha vizur hutaamin 2.hata akikaa mwezi hakutafuti ukimpigia "hallow mama ,mpenz, mke wangu mtarajiwa sory darl cm yangu iliharibika betry jaman ndo imewaka nmekumisije! baby najipanga nije ngojea nipate hea. ni shida hakuambii hakutukani hata umfumanie. tena kama hujafunguka ubogo anakuweka pending mwaka pozi lakurud akitaka papuchi."mi ndio maana nataka tufunge tu ndoa nataka tuweke mipango mamaa wajua kaa mbalii yachosha huo unyenyekevu kama niwa kanda ya ziwa au kaskazin unajisahau akipata humuoni yahitaji ujasir ndo ujue umeachwa