Kitu gani special mabinti wa Tanga wanayo?

Kitu gani special mabinti wa Tanga wanayo?

Kama wewe ni sex addict, pata mtoto wa Tanga, ila ujue hautapata maendeleo ya kimaisha, wanasema 2 is better than 1, ktk ndoa wategemea wewe kiasi fulani unapiga job, na yeye mkeo angalau awe anaweka mikakati ya maendeleo. Ila bahati mbaya wengi wao hawana mawazo mengine zaidi ya kumridhisha mwanaume kitandani. Na wanaume wajua tulivyo malimbukeni, tukiona ndo hapo tumefika kwenye uroda basi tutatoa pesa zote kwake pasipo kujua zaenda wapi. Pia wanaamini sana mambo ya limbwata, na pia Wengi wa wanawake wa kitanga ni house wives tu. Wanasubiri urudi toka mzigoni, wakupe raha za kimwili, bhaaaas!! Ila kwa kutoa uroda, hawajamboo, maana yasemekana wanafundishwa!!
 
Mungu nijalie demu mpenda pesa asinipende mimi apende verossa sio binti wa kitanga jioni moja kanga binti naye mtaka ni manka wa kichaga jioni ananiuliza umeingiza sh ngapi?

We unapenda nini hasa?hela au penzi?
 
Nakubaliana na wewe mia kwa mia. Ukiona hivyo hata wazazi/walezi wao si watu wanaoyapa kipaumbele maendeleo. Lakini niliwahi kusoma uchambuzi wa mtu mmoja kwenye gazeti, kuhusu wanawake wa Kitanzania. Yeye aligundua kwamba wale woote wanaopigania maendelea, kitandani ni wabovu na ni wababe. Alitoa mfano wa Wachagga na Wapare. Lakini wale woote wanaojua mapenzi kwenye maendeleo ni sifuuri akawataja, Wamakonde, wanawake woote wa Tanga, Wasukuma, wanyamwezi, wazaramo n.k.

Kwahiyo tuwe bize kwenye maendeleo au penzi?
 
Kama wewe ni sex addict, pata mtoto wa Tanga, ila ujue hautapata maendeleo ya kimaisha, wanasema 2 is better than 1, ktk ndoa wategemea wewe kiasi fulani unapiga job, na yeye mkeo angalau awe anaweka mikakati ya maendeleo. Ila bahati mbaya wengi wao hawana mawazo mengine zaidi ya kumridhisha mwanaume kitandani. Na wanaume wajua tulivyo malimbukeni, tukiona ndo hapo tumefika kwenye uroda basi tutatoa pesa zote kwake pasipo kujua zaenda wapi. Pia wanaamini sana mambo ya limbwata, na pia Wengi wa wanawake wa kitanga ni house wives tu. Wanasubiri urudi toka mzigoni, wakupe raha za kimwili, bhaaaas!! Ila kwa kutoa uroda, hawajamboo, maana yasemekana wanafundishwa!!

Dah kweli tanga noma TAFiti wish me a luck nioe tanga
 
Last edited by a moderator:
Hahahah mkuu its just a trial. Kule siwezi oa hata bure

Kurudi nutarudi tu

Mkuu inasemekana ukienda tanga ukadata huku yaani wewe unabaki tu kusifia "watoto wa tanga ni noma"aaaaah tanga tanga tu
 
Back
Top Bottom