Kitu gani special mabinti wa Tanga wanayo?

Kitu gani special mabinti wa Tanga wanayo?

inasemekana mapenzi yapo tanga.

Kigogo mmoja marehemu (r.i.p) alinihadithia "jamaa mmoja alienda tanga kikazi kama mwalimu,akapanga chumba,akaelewana na mzee mwenye nyumba, jamaa kama ticha asubuhi anawahi darasani, ila kabla hajaamka ile anaswaki anashangaa kuletewa chai na binti wa mzee, kama kawaida jamaa akazoea kupewa chai ya kila siku asubuhi, mara anafuliwa nguo, wakaendelea jamaa anachemshiwa maji ya kuoga, mara dogo kazamia chumbani, jamaa akadata akamtia binti mimba, jamaa akashtuka mzee atamind, mzee akamfuata kijana,"nataka niwaachie hii eneo chukueni kodi we na binti yangu muwe mnanitumia kiasi,ila nataka niende kijijini kule nijengeee nyumba ya bati nina eneo huko,jamaa akamnunulia mzee bati, mzee yupo kijijini anaenjoy, jamaa kaoa bila kujua kamjengea mzee nyumba.

Hiyo story niliyopewa.

Rafiki yangu tukiwa chuo alikuwa na hamasa ya kusoma,karibia tunamaliza akakutana na mwanamke wa kitanga,akaniambia viol naacha chuo nimedata na mapenzi,nimekutana na zai naacha chuo,kaacha chuo kaenda kwa mtanga.

Bwana misosi kwenye wimbo wake anasema.
"ndo maana mwinjuma (mumini)katoka dar kaja kuoa tanga,........ukija tanga utajenga mapenzi si limbwata.

Wenye experince na watanga mtuambie mnadatishwaje?

Je umefeel kitu tofauti kutoka kwenye mapenzi ya kitanga kuliko mapenzi uliyowahi?

Yule aliyesema mapenzi yapo mbeya acha kuzingua.
wanatoa goti
 
mimi nimeoa tanga nachoweza kusema hawa mabinti pale kwa 6*6 sikia hivyo hivyo ani hatari mkuu. na kwenye kupika hawapo nyuma. kuhusu maendeleo sijui wengine ila huyu wa kwangu anajitambua sana.
 
kuna aina mbili za mademu wa tanga kuna wale wa tanga mjiniwwale walioathiriwa na utamaduni wa kiaharabu,pia kuna wale wa wilayani walioathiriwa na tamaduni za mjerumani,vitu viwili tofauti watu wanageneralize tu demu wa lushoto au korogwe sio sawa na demu wa pangani au tanga mjini,hwa wa mwisho ndio noma kitandani wa lushoto na korogwe miliani wanajua kulima na ni watiifu hatari
 
Exactly
 
Kweli mkuu siku hizi watu wanasoma elimu inasaidia, watu wanazungumzia Tanga ya zamani, maisha magumu siku hizi wanawake wote wanajikwamua.
mimi nimeoa tanga nachoweza kusema hawa mabinti pale kwa 6*6 sikia hivyo hivyo ani hatari mkuu. na kwenye kupika hawapo nyuma. kuhusu maendeleo sijui wengine ila huyu wa kwangu anajitambua sana.
 
Nyama ya ulimi.

Last edited by a moderator:
Na mimi nitafutieni binti wa kitanga maana mnajitahidi kunishawishi😉
 
Hao wote hajaundwa wala kufundwa kama wewe. Wewe umeundwa mahsusi, we haujui tu, kitumbua sio andazi ingawa vyote vitanwa.
Kapande pale Ohio au hata mama'ko nyumbani si kaundwa? Haya kampande si ameundiwa mtu kama wewe?
 
himidini mahaba tanga utayapata sana tunajua kumlea mume ila sisi twafuata sunnah ya mtume (s.w.a) mwanamke ni pambo la nyumba mume ndio mwenye jukumu la kulea na mwanamke kufanya kazi ni hisani tu na pengine kuwasaidia wazazi wake,hivyo msisimange wasiofanya kazi eti hatupendi maendeleo, sisi hatujui mambo ya 50/50 hayo ni ya kina joyce kiria.
i like this
 
Back
Top Bottom