mvi

MVI stands for Musical Video Interactive, a DVD-based container format for packing audio, video and interactive visual content (for example, lyrics) onto one disk. The first commercial disc released with this technology was Snakes & Arrows by Rush on May 15, 2007.
The audio content is provided in multiple formats, including a high-definition version (a minimum of 24-bit at 48kHz sampling) and an MP3 version for copying to portable audio players. The video content is compatible with DVD video, and can also optionally include high-definition video.
No new MVI releases have been made since 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Hakuna kitu kinaleta Stress kama kuota Mvi au upara halafu bado hujajipata

    Kwema Wakuu! Ni Stress hapa! Ni sonona hapa! Kihoro kinakaba kama pumu huku. Yaani hapa mambo sio mambo. Kuna Watu wanakuambia umri ni number tuu lakini huko ni kufarijiana tuu! Hakuna kitu kinauma na kuleta mfadhaiko na mtagusano kulinafsi kama kuona jua lile linazama halafu wewe mambo...
  2. The Burning Spear

    Kitu gani kimepelekea vijana wa kileo kuota Mvi Mapema?

    GreatThinkers Zamani mvi ilkuwa ni uzee na alama ya kula chumvi nyingi. Laki kuna vizee vilikuwa vinapiga age bila mvi. Hali ya sasa ianatisha vijana wadogo below 40 years mvi kila mahali shida ni nini?
  3. Sanyambila

    Zipi sababu za vijana wa sasa kukumbwa na mvi, hasa za ndevu?

    Wasalam wadau. Dunia ya Sasa imekumbwa na matatizo au changamoto ya vijana wadogo kiumri KUKUMBWA na MVI kidevuni na imekukwa Kama Natural modelling appearance (handsome) ukikutana na vijana kumi wa umri kuanzia 30 Hadi 40 vijana 6 au 7 Wana mvi kidevuni (white hair). Sasa baada ya MAELEZO...
  4. Kizibo

    NADHARIA Mafuta ya nywele ya Body Luxe yanasababisha Mvi za mapema kwa Mtumiaji

    Matumizi ya muda mrefu ya mafuta ya nywele aina ya body luxe (body luxe hair oil) husababisha mvi kuota kwa kasi katika umri mdogo. Hapa nazungumzia haya mafuta ya nywele ya body luxe yenye kopo la pink lenye picha ya mwanamke ana nywele ndefu. Picha: Muonekano wa chupa za mafuta ya Body Luxe...
  5. wa stendi

    Hivi huu upande mwingine nao kunakuwa na mvi?

    Sorry kwa swali kama litawaudhi naomba mnisamehe/kumradhi. Wakati mwingine huwa nawaza katika maisha uzeeni huko mbele sijui itakuja kuwaje,sasa leo nimekaa katika kuwaza likanijia swali. Katika mwili wa binadamu Mungu alituumba na kutuwekea kinga za ndani ya mwili na kinga za nje ya...
  6. Miss Zomboko

    Utafiti: Msongo wa mawazo huweza kusababisha Mtu kuota mvi mapema

    Kulingana na utafiti mpya wa Chuo Kikuu cha Columbia uliochapishwa katika jarida la eLife: wakati chanzo cha mafadhaiko kinapoondolewa, nywele zinaweza kurudi kwenye rangi yake ya kawaida. Kwa miongo kadhaa tumejaribu kuelewa husiano uliopo kati ya msongo wa mawazo na kuota kwa mvi, na huu ndio...
  7. Sigara Kali

    Anaejua dawa ya kuongeza ndevu na mvi anishtue

    Wananzengo salama? Nahitaji dawa ya kuongeza ndevu pamoja na mvi za kichwani na kwenye ndevu Nina mvi chache kwenye ndevu na nyingine kichwani so nahitaji ndevu zote ziwe nyweupe na kichwani pia Kama kuna dawa unaifahamu nambie inaitwaje.
  8. D

    Dawa ya kuondoa mvi kichwani

    Wandugu naombeni dawa ya kuondoa mvi kichwani. Kwani nywele zangu zimejaa mvi. Miaka yangu ni 40+ tu. Kama kuna dawa nipeni.
  9. Delegate

    Nazeeka, naogopa!

    Ndugu zangu, Nafikiri nipo katika wakati mgumu sana, nazeeka na nimeingiwa na hofu, nimegundua nauingia utu uzima, nimechukia, naogopa nahisi maisha ndio basi, kila nikipita nasalimiwa shikamoo, sipendi jamani wengine wananisalimia nawaona kama tunalingana, naogopa sana uzee. Mvi zinabisha...
Back
Top Bottom