Uzao wa Nephillim na utawala wa Illuminati

Joshua justine

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
792
1,007
Watu hawa wanatokea karne nyingi sana nyuma katika maisha ya ulimwengu huu; wanajielewa , wapo very organized dunia nzima na hawabahatishi katika mikakati yao dhidi ya ubinadamu na Mwenyezi Mungu.

Wale wanaoshawishiwa kwa ama tamaa ya mali na umaarufu ama kwa sababu ya dhiki tu kujiunga kwenye kundi hilo ilhali wao ni binadamu wa kawaida tu , mwishoni hutambua makosa yao kwa kuona wanavyotumiwa katika uovu kinyume cha ubinadamu na Mwenyezi Mungu ; nafsi zao zinapowasuta na kujaribu kujitoa kwao mara nyingi hujikita wamechelewa na ni wachache sana hufanikiwa kuwakimbia ( mf. Wacko Jacko na huyo anae tajwa na Zumaridi )

To make the story short, hawa hujipenyeza asubuhi na mapema sana katika jambo lolote zuri linalotokea kwa maslahi ya ubinadamu na kiweka mizizi yao ili kama ikiwezekana baadae waliharibu, kwani wataendelea kulifuatolia bila kuchoka kwa juhudi , huwa hawazembei strategically. Wana watu wao walioandaliwa ama kwa lugha nyingine wanaandaa jamii yao kufit katika kila kipengele kinachohusu maisha ya wanadamu kuanzia siasa, mambo ya imani , mambo ya taaluma , michezo, burudani n.k

Marekani lilikuwa ni taifa lililoanzishwa katika misingi ya kiimani ya Kikristo kabisa; zamani kulikuwa na sala kila shule watoto wanasali asubuhi kwa jina la Yesu , kwa mfano tu, sasa hivi tumeona mtu hata akivaa t- shirt imeandikwa JESUS anazuiwa kuingia public areas kama malls n.k wanasema ni offensive, huwezi kuamini kama ni marekani ile ile iliyoleta uamsho wa injili duniani enzi zile za kina Bill Graham.

California kuna bill inaandaliwa ya kupiga marufuku kitabu cha Biblia kuonekana kinasomwa hadharani, fuatilia kama huamini. Haya yote yametimia kwa kuwa illuminates hawakukaa pembeni, wamelifuatilia taifa kwa umakini , mikakati na mbinu zote wakiwa humohumo ndani na wao kama wazaliwa wa kawaida kabisa.

Utashangaa ilikuwaje katika planning za jiji la Washingtone pale kwenye Whitehouse yao barabara zilikiwa planned kwa mfano wa alama ya. Bikari ama nyota ukiziangalia kwa drone kwa juu sana, yaani hata whitehouse walishaizindika zamani kabisa wakati watu bado wanadhani kila kitu ni chema bado, wao walishapanda mbegu zao watakazozimwagilia na kuzifuatilia kwa miaka yote ijayo ya taifa la Marekani.

The illuminatea wanachuja viongozi kwenye vyama mpaka wanabakia wao ndio potential leaders wa kupokea kijiti cha urais miaka nenda miaka rudi , kama unabisha fuatilia tabia ya J.F Kennedy jinsi alivyokuwa tofauti nao na mpenda haki , ndio alikutana na Nyerere kwa kumualika Marekani na ndio alijitahidi kutaka kuokoa uhai wa Patrice Lumumba wa. Zaire ( DRC). Walipoona no way, walimuua Kennedy na kuleta story za kitoto eti kapigwa risasi na mtu tu ambae aliuawa haphapo, ikabaki hivyo.

CIA pamoja na Belgium ndio waliomuua Lumumba na kuidistabilize DRC kwa miongo yote 6, ni damu kiasi gani, ni watu wangapi wamefariki humo kwa miaka 60, kisingizio kikiwa ni kujichotea utajiri, lakini sio hilo peke yake, damu za watu na miili ya wanadamu wanayokula kuzimu kila siku kama ugali inatokea wapi kama wasipoendesha vurugu zisizoisha duniani.

Angalia Libya ya Gadafi na Iraq ya Sadam Hussein zilivyokuwa na zilivyo sasa, ofcourse wote walitaka kuidrop petroldollar scheme lakini tunaona kiwango cha uongo ambao ni asili ya shetani na ukatili wa kipepo wa kutokujali hizo nafsi na damu za wanadamu zitakazoteseka na kumwagika. Mabomu yanaangika mpaka walipo watoto majeruhi kwenye red cross facilities, hao ndio viongozi wa taifa la Kikristu?

Angalia Ukraine ya leo, kule ni Urusi, ni ardhi ya iliyokuwa USSR zamani , huwezi kusogeza NATO huko na uweke nuklia na maabara za biological weapons halafu utegemee aliyekiwa na eneo lake , hasimu wako atulie tu asubiri umalize uje umuangamize, haiwezekani. Habari za frontline zinasema kwa sasa jeshi la Ukraine kama Ukraine lilishakwisha , na wengine wamekimbia sasa wanakamata na kulazimisha vijana wadogo ndio waende askari wa miguu wakati wao nato na u.s wanatumia vifaru na zana nzito nzito kama mandege wanayoanza kuyapeleka sasa vitani. Hawa vijana wanatolewa kama kafara , wao hawajali,hawana utu wala hawana mswalie mtume.

Hawa ndio waliokuwa wanasupport wale Arpatheid regime enzi zile, hebu kadiria tu walisaidia damu kiasi gani imwagike pale ya waafrika kusini wasiokuwa na hatia yoyote , waliokuwa ndani ya ardhi yao wenyewe ? Ukikumbuka ukatili wa makaburu kuwasakizia watu majibwa makubwa ya wararue , achana na waliopogwa risasi, utapata picha hawa sio binadamu bali ni uzao wa mashetani hasa.

Sasa wameshafikia hatua huko kwao kutoa mimba ni legal, mabinti wanamwaga damu za vichanga na hawajui ni uuaji kama uuaji mwingine, na kwa sababu ni legal , inafanyika hospitali kabisa , wana takwimu kabisa yaani watakuambia kuwa mwaka 2022 zimetolewa mimba laki kadhaa, yaani hayo ni mauaji rasmi na mbaya zaidi hizo dead featus kwa illuminatea na freemason ni kama nyama ya kuku vile , maana ndio pure bado hawana dhambi.

Sasa wanasimamia Gay movement duniani, jambo lililoleta gadhabu kuu ya Mwenyezi Mungu katika miaka yote lilipotokea kuanzia Gharika ya Nuhu, mpaka Sodoma na Ghomora na ndio litakaloifunga chapter ya dunia hii, maana Yesu ndio alisema siku za mwisho zitakuwa kama Sodoma na Ghomora, yet wanaolisimamia tukio hilo ni wao wao. Huko kwao kwenyewe jambo hilo japo limepitishwa kisheria lakini kijamii wengi tu wanalipinga , hivyo tayari jamii yao wameishaigawanya kimitazamo sio United tena kama zamani,

Uovu wa viongozi hao , wakishirikiana na matajiri wao mabepari wakubwa ni wakutisha nahuuandiki kwa ufupi hivi ukamaliza, ni kitabu kizima kabisa. Hao sio watu ni mashetani hasa kina Rockefeller, Rothschild, Billgates, George Bush family na wengine wengi wengi ambao ndio wamekamata uchumi ma siasa za uongozi wa taifa lile.

Pesa zao za misaada zinachuruzika damu za watu, maana wanazipata maeneo kama Congo na kwengine wanakopora kwa kumwaga damu za wenzetu, hatuwezi kula damu za wenzetu, wanadamu wenzetu halafu tukabaki tunafurahia eti ni misaada, how stupid have we become?

Hayati Magufuli alituonyesha nuru, na kweli alipokataa misaada hiyo angalia jinsi pesa yetu wenyewe isiyokuwa na damu ilivyofanya miujiza kwa muda mfupi na kisha linganisha hiyo pesa ya wachawi, yenye damu ambavyo tumepokea miaka na miaka kutoka mataifa ya magharibi lakini tukawa tunagalagala kwenye ufukara tu ! Hatukuwahi hata siku moja kuota hata kujenga madaraja tu, can you imagine !?

CODED EVENTS
Utawajua tu, kwani matukio yao mengi yanatekelezwa ndani ya code zao za freemasonic, baadhi ya namba zao ni 11, 13 na 6 kwa haraka haraka, ipo pia 33. Sasa angalia tarehe ya siku hii ya tarehe 30/03/2023.

3+0+0+3+2+0+2+3= 13

Ndio siku ya mazungumzo na kufunga mikataba katika vyumba vya ndani ikulu. Sio kila lililozungumzwa huko utaambuwa kupitia vipaza sauti we raia wa kawaida. Washaona vurugu zenu.

Africa is shouting against America alll over, everywhere. Ila utambue kuwa ukiipokea mbegu yoyote ile ujue ipo siku itaota tu nakujitokeza hata kama uliifunika na kuificha udongoni, when the right conditions comes ita germinate, kwa hiyo ukishaweka mbegu unaweza ukasubiri right conditions zije naturally ama ukazofascilitate mwenyewe mpaka mbegu ikachipuka na kumea na kukua na kukua na kuwa mmea mkubwa nao ukazaa. Waombeeni sana kwa imani zote hawa viongozi wetu wasijekuingizwa mtegoni.

NB: Wale wenye damu ya nephilim na wachawi wanacooperate sana ndio ufalme wa giza huohuo, kwahiyo wakitukana na kukashifu hapa kama we sio mmoja wao wapotezee, jiwe gizani.
 
Uongo mtupu.

Marekani sio Taifa lililoanzishwa katika misingi ya Kikristo, wanaoitwa founding fathers wake walitaka dini iwekwe mbali kabisa na masuala ya serikali na wakaiweka hiyo katika First Amendment ya Katiba yao.

Wakristo wenye msimamo mkali baadaye sana ndio walioanzisha hiyo propaganda kwamba Taifa lao lilianzishwa katika msingi wa Kikristo, ila waanzilishi wenyewe wa taifa hilo wengi wao dini ni jambo ambalo halikuwa na umuhimu kabisa kwao. Wengi walikuwa Wakristo vuguvugu, wengine deists.

Marekani imeanzishwa kwa mauaji ya Wahindi wekundu zaidi ya milioni 10, imeanzishwa utumwa wa mtu mweusi ukiwa unatambulika rasmi/ mtu mweusi akiwa hatambuliki kama binadamu kamili na wanawake wakiwa hawaruhusiwi kupiga kura. Je, Huu ni msingi wa Ukristo?
 
Habari za kufikirika na kuunganisha matukio ili kuihalalisha.

Ila umejitahidi kukusanya data.
Uzuri sasa hivi dots zinaungana zenyewe, miaka 20 iliyopita watu walikuwa wanaunganisha dots, sasa hivi hata wasiojua wanaona dots zinavyoungana zenyewe, sasa leo hii nani asiyejua nana ni ma advovocates wa ushoga duniani ? Mfano hai mmoja tu huo,
 
Hii Conspiracy ya kwamba John F Kennedy aliuwawa kwa sababu alitaka kumuokoa Lumumba ndio nimesikia leo, kifo cha Kennedy kina conspiracy theories nyingi sana!

Ila fahamu Kennedy alianza kuwa Rais January 20, 1961, Lumumba aliuwawa January 17, 1961. Labda ungatafuta Rais aliyekuwepo kabla ya Kennedy umpe hizo sifa.
 
Hujaelewa , Kennedy aliposhinda alisema Lumumba asiuawe ila avuliwe tu uongozi, kabla hajaapishwa kuwa rais wakaona wamuue Lumumba fasta, hiyo sio sababu iliyosababisha Kennedy kuuawa ila ni moja ya viashiria kwanini aliuawa, alikuwa tofauti na waovu ambao hakujua kuwa ni waovu.
 
Uvamizi wa Russia huko Ukraine una nyuzi kama elfu moja hapa jukwaani, kazipitie utajifunza mengi. Uzi wako ni riwaya ya fiction mbovu sana.
We dunderhead kweli, kama unadhani vitu vya wazi kama hivyo tunajifunzia humu jukwaani, idiot,
 
Uzi wako ni wa hovyo

Back
Top Bottom