Kwa Mataifa yenye kuwekeza kwenye military tech sidhan km hizi stealth 5th generation fighter jets hawazipatia counter measures zake......Mfano nchi ambazo zinawekeza tech ya stealth ni US,RUSSIA,CHINA,JAPAN,IRAN lazima tu watakua na uwezo wa kuzishusha....Na BTW hizi F-35 zimekua zikikabiliwa na software glich ndo maana hazijawa inducted kwenye US airforce japo zinatengenezwa i can say these F-35s are impontent stealth craft....Kama Israel wangepewa F-22 Atleasthizi zime prove combat capability compared to F-35.....F-117,F-22,F-35,RQ-175 SENTINEL DRONE hizi zote ni stealth lakin tunakumbuka RQ-175 iliweza kucheza na Anga ya *PAKISTAN* kwa miaka yote hiyo wakimtafuta OSAMA lakin walipo mess IRAN kwenda kupata image nzuri za upelelezi wa airdefence batteries na vinu vya nuclear wote tulishuhudia waliiona na kuicontrol wenyewe hadi IRAN na sasa wapo kwenye reverse engineering ya hiyo ndege so tech wanayo ndugu labda nchi za kawaida...US alivyombabe unafikiri asingepeleka hizo ndege ktk Space ya Russia,IRAN au CHINA kwenda kucheck km itaonwa?