Kitu F-35 stealth ndani ya Israel

Kitu F-35 stealth ndani ya Israel

Hiyo ni Nguvu yake mungu mwenyewe maana Aliapa kuilinda Israel yke hadi mwisho,,

Kila Aibarikie Israel atabarikiwa na kila Ailaanie Israe pia Atalaaniwa,,

Ni kiapo kikubwa sn hiki,, kwa Lugha rahisi unaweza kusema ,,kila Aipendae Israel naye Atapendwa na Mungu na kila atakaye thubutu kuipiga Israel basi Atachakazwa na Mungu mwenyewe kwa kutumia mkono ule ule wa mwanadamu,,

Shime tuipende sote Israel taifa letu la Tz nalo libarikiwe na Mungu wetu.
Kweli dini upofu, Mungu anaapa kuilinda Israel kwa kumkhofia nani? Yeye ndio mungu sasa anaogopa kiumbe gani kuiangamizA Israel? Muwe mnauliza na maswali sio mnaitikia tu
 
Hasa wale watoto watu, dah Israel ina watoto wazuri si mchezo! Sasa sisi na polisi wetu je?
linganisha mtoto wa kipalestina na wakiisrael,utaona mademu wa kiisrael hawana mvuto kabisa,wamechanganya mno damu,unakuta binti wa kigiriki nae anajiita myahudi,au mu ukraine,hadi DNA zao zilishachange maana sio semite tena,wamechanganya na uzao wa japhet,wakati wapalestina ni pure uzao wa shem,hawajachanganya
 
Hizo ni story za kipropaganda.
Hizo trillion 32 cubic meters za Tamar na Leviathan sio dili
Hizo ni 10% tu ya reserve iliyopo saudArabia ambayo ni ya tano duniani nyuma ya marekani kuwa na reserve yA kutosha. Wakati Egypt katika bahari ya Mediterranean imegundulika gesi iliyovunja record kwa wingi.
Hiyo story ya ulaya na us kuuziwa hicho kiwango cha gesi na mafuta kwa miaka hiyo ni kahawa,hiyo ni kama 5% ya reserve ya gesi iliyopo us
halafu sehemu ya hiyo gase iko katika maji ya lebanon,sasa ili visima visishambuliwe israel anapanga kutoa contract kwa kampuni ya kirusi ndo ichimbe na kwa hali hiyo watakuwa na uhakika vitabaki salama kwani hezbollah watajizuia kushambulia interest za mrusi
 
Kweli dini upofu, Mungu anaapa kuilinda Israel kwa kumkhofia nani? Yeye ndio mungu sasa anaogopa kiumbe gani kuiangamizA Israel? Muwe mnauliza na maswali sio mnaitikia tu
ndo mambo ya imani hayo,ni kama lile andiko linasema waasyria waliuzingira mji wa jerusalemu wakitaka kuuteka,basi mungu wa israel akatuma malaika usiku wa manane na kuwapiga,walipoamka asubuhi walijikuta wamekufa wote...
Wakati ukweli ni kuwa mfalme wa yudah alikuwa kajiweka chini ya asyrian empire kwa maana ya kuwa analipa kodi kwa asyria,then akaasi na kujielekeza kwa egypt empire ,ambao walikua adui wa asyrian,mfalme wa asyrian akaanzisha vita na yudah na akateka miji mingi na ikafikia kaizingira jerusalem,mfalme hezekiah kama sikosei akawa kasalimu amri na kurudi upande wa asyria na kukubali kulipa kodi kama kawaida,
jeshi la waasyria lililokuwa limezingira jerusalem wakaambia kupull out na kuelekeza mashambulizi misri na kufanikiwa kuuangusha utawala wa misri wa wakati huo
 
Kweli dini upofu, Mungu anaapa kuilinda Israel kwa kumkhofia nani? Yeye ndio mungu sasa anaogopa kiumbe gani kuiangamizA Israel? Muwe mnauliza na maswali sio mnaitikia tu
Huyo 'mungu' wao muoga,anashindwa kuwalinda waIsrael,mpaka awatafutie ndege za vita.
 
Hiyo si stealth

Una maana iyo f-35 ni stealth fighter sio kama f-117 iliyoangushw serbia au ile aina ya B-2 iliyonekana kwenye rada maeneo ya nevada.hapo nimekuelewa mkuu kweli marekani wanatisha wanatengeneza mpaka stealth aircraft
F 117 stealth yake haikuwa programable ilikuwa imetengenezwa in such a way light ndo inabend ila hizi za sasa ni stealth kwa programable pamoja na paint
 
WaIsrael lazima wajilinde Mkuu. Yaani wamezungukwa na maadui pande zote. Kuna Palestina, Jordan, Lebanoni, Syria hao wote ni maadui zake. Ndio maana wanajitahidi kuwekeza ktk kila technolojia. Ndo maana pamoja na kuzungukwa na adui kila kona lakini hawaguswi.
Six day war
 
Hata marekan alitengeneza ndege kama hiyo isio onekana na rada yyt kwa kipindi cha miaka miwili safar ya kwanza tu kwenda iran wakaishusha wacha tuone na hiyo
Ile ilikuwa drone na ilianguka yenyewe ila haikutunguliwa
 
Back
Top Bottom