Kitu F-35 stealth ndani ya Israel

Kitu F-35 stealth ndani ya Israel

Embu tuletee na matatzo ya ile ya Russia PAK-FA Zyenye majanga kibao mpk warusi wenyew wanaikataa kijanja walitaka wanunue 200 wakapugunguza had 50 na Sasa wanataka 12 tyu....had wahind kila siku wanalalamika mpk wakataka wajitoe kwenye hyo program ndo Urusi wakawabembeleza KWA na India kutoa mashart kwamba ili waendelee kubak kweny program Urusi wanatakiwa wawape India technology waliyoitumia kuunda hyo ndege mwanzo mwisho...wakt hyo F-35 unayoisema ilkua na matatzo kibao frm hardware to software na kila siku yanapunguzwa na mpk hiv juz tyu wameongeza mfumo mwngne wa kisasa na kipekee kuifanya iweze kucontroll drones ili kuweza kuichanganya SAM....hyo technology inaipa uwezo F35 wkt wa kushambulia inaweza ikawa inacontroll drones ht mia kuichanganya SAM then wanaidestroy kirahc kbsa km unanawa
Tuletee source ya habar yako.maana Pak fa(T-50) ni program ya urusi pekee sasa uyo india katokea wapi?
 
Wahindi itakuwa walipewa export version,
hata hivyo project za silaha kama hiyo lazima tu matatizo yawepo,ndo maana hata F-22,F-35 wamehangaika sana mpaka sasa hatimae zimeanza kufanyiwa majaribio
 
hiyo kazi ya kujam inaweza kufanywa pia na mig-35,kama ujuavya mrusi kwa electronic warfare anatisha sana kwahiyo hizo F-22 na F-35 sio kitu cha ajabu sana,hata stealth feature zake haziisaidii isionekane katika phased array rada.
Hizo ndege kwa kuzionea nchi ambazo hazina uwezo mkubwa zinatosha lakini,
ila bahati mbaya sikuhizi watu wamekuwa sugu na mashambulizi ya ndege,chukua mfano ISIS wanashambuliwa na ndege na mataifa karibu 15 ila wapo tu,sanasana mashambulizi ya ndege ni mazuri kwa kuharibu majengo tu na wala si kushinda vita kwahali ya sasa
Mwambie russia awauzie hizo ndegw waarabu, kisha waone mziki wa f-35 wa tel viv..

Nakwambia kama ni silaha za mrusi wayahudi wangekua wamepoa duniani miaka mingi,
 
Tuletee source ya habar yako.maana Pak fa(T-50) ni program ya urusi pekee sasa uyo india katokea wapi?
Ht nduguyo Elungata kaelekezea tayar km Hyo PAK-FA ni project ya pamoja kat ya India na urusi kudevelop fifth generation fighter jet....km huamin naona Google ni rafk yko embu nenda kamsalimie Mara moja
 
Wahindi itakuwa walipewa export version,
hata hivyo project za silaha kama hiyo lazima tu matatizo yawepo,ndo maana hata F-22,F-35 wamehangaika sana mpaka sasa hatimae zimeanza kufanyiwa majaribio
Ndo nilichokua namweleza Huyo jamaa hpo juu kwamba matatzo kwenye project yyte ile ni lzma nikamwelezea na matatz ya f35 yalivyokua meng mpk hv sasa yamepungua KWA kiac kikubwa na yanaendlea kupungua
 
Mwambie russia awauzie hizo ndegw waarabu, kisha waone mziki wa f-35 wa tel viv..

Nakwambia kama ni silaha za mrusi wayahudi wangekua wamepoa duniani miaka mingi,
marekani anaogopa kuwauzia wasaud hizo ndege kwa kuhofia israel itapigwa.
Nimeanza kuifuatilia F-35 miaka kumi iliyopita tangu ikiwa ni joint project ya nchi za umoja wa NATO,kipindi kile ikiitwa F-35 Jointstrike.
Baadae mataifa ya ulaya wanachama wa NATo walijitoa katika mpango huo baada ya kuona hailipi,project ikabaki na wamarekani,
kuna mpango wa baadhi ya nchi za NATO kuanza kuitengeza ikiwemo uturuki,japo kwasasa uturuki wanatengeza multirole stealth fighter yao.

Vilevile nadhani utakuwa huna taarifa kuwa israel kishaanza kuelekea zaidi Russia baada ya wamarekani kuonekana kuanza kuchoka kuwapa hela,ndo maana Netanyau hazipiti wiki mbili yuko moscow na wanapanga kufanya mazoezi ya kijeshi na moscow hivi karibuni.

Pia utakuwa huna habari kuwa katika kipindi cha miaka 20 marekani ndo wamekuja na ndege 2 tu,wakati wenzao warusi wana ndege nyingi mpya,mfano sukhoi 30,sukhoi 35,sukhoi-50,mig-30,mig-31,mig-35 etc.

Ukiangalia perfomance za ndege za mrusi kule syria utaona kuwa wameweza kufanya sorties au mashambulizi mengi sana kwa siku moja na kwa kutumia ndege chache kuliko wamarekani na washirika walizokuwa wanafanya kwa wiki,ni baada ya israel kugundua hilo ndo wakaona waanze pia kujielekeza russia,tatizo ndege za marekani ni mayai sana na ubishoo mwingi zile za russia NI KAZI TU
 
Kwanini hujafikiri kuwa hakuna marekani kama Israel ikikataa manpower yake kutumika kutengeneza technology za kimarekani
israel haina facilities wala tech ya kutengeza ndege,ila ni wazuri wa kutengeza software na mmarekani anatumia software zao kama kuwaboost kiuchumi na anawapa wao silaha mpya kama hizo ndege ili wazifanyie majaribio kwa wapalestina etc.
Unakumbuka hata drone marekani alianza kuwapa israel,wapalestina hasa gaza walikuwa wanastukia tu mtu yuko mtaani kwenye trafic,gari limeripulia na kombora bila kusikia hata mlio wa ndege wala kuona ndege juu,kuja kugundua baadae kumbe zilikuwa ni drone.
Hata ile iron dome bila tech ya wamarekani,muisrael hangeweza kuunda hiyo system
 
Kuna mambo mawili wanayo fanya.

1. Wanatengeneza ndege ambayo haionekani kwenyw radar yako

2. Wanaingilia system ya radar yako ili wakati wao wanapita na ndege zao wewe kwenye rada yako wanakuwekea movie ya kanumba uendelee kuenjoy
Hahaaaaaa
 
Ht nduguyo Elungata kaelekezea tayar km Hyo PAK-FA ni project ya pamoja kat ya India na urusi kudevelop fifth generation fighter jet....km huamin naona Google ni rafk yko embu nenda kamsalimie Mara moja
ni project ya mrusi pekee,ila baadae india alitoa order ya kununua kwa masharti kuwa hizo ndege zitengezewe kwao,lengo hasa ni india walitaka wagain technology ya kuitengeza hiyo ndege,huo huwa ni ujanja kuwa hata mkataba kuisha wahindi wanabaki na ujuzi yaani technology.
Sasa inawezekana mrusi kawapa export version tech ndo maana kuna mfutano wa india kutaka apewe technology yote iliyotumika kutengeneza sukhoi -50
 
Kwanini hujafikiri kuwa hakuna marekani kama Israel ikikataa manpower yake kutumika kutengeneza technology za kimarekani
sio kweli maana marekani ni mchanganyiko wa kila mtu kutoka kila taifa na kila mmoja amechangia.
nicola tesla,thomas edson,bill gate steve job fuatilia history of evolution of technology. hawa wa sasa wanaboresha vile vilivyofanyiwa kazi na kurahiswa. nyingi huwa ni story japo sikatai kuwa wako vzr
 
Mturuki hatengenezi chchote
cna hakika km turkey wana hio license but hata km ni hvyo still technology ya hapo itakuwa ni lockheed martin na si turkey......kwanza ni upuuz uliotukuka kusema israel iko behind turkey kwe medani za technology
 
Hiyo ni Nguvu yake mungu mwenyewe maana Aliapa kuilinda Israel yke hadi mwisho,,

Kila Aibarikie Israel atabarikiwa na kila Ailaanie Israe pia Atalaaniwa,,

Ni kiapo kikubwa sn hiki,, kwa Lugha rahisi unaweza kusema ,,kila Aipendae Israel naye Atapendwa na Mungu na kila atakaye thubutu kuipiga Israel basi Atachakazwa na Mungu mwenyewe kwa kutumia mkono ule ule wa mwanadamu,,

Shime tuipende sote Israel taifa letu la Tz nalo libarikiwe na Mungu wetu.

Kwa ushabiki wako wa dini za vitabu vya kuletwa utafurahi kutambua kwamba Israel ina wayahudi zaidi ya asilimia 90 huku wakifuatiwa na waislamu then wakristu wachache , mungu hana upendeleo wa kupendelea taifa moja
 
Ht nduguyo Elungata kaelekezea tayar km Hyo PAK-FA ni project ya pamoja kat ya India na urusi kudevelop fifth generation fighter jet....km huamin naona Google ni rafk yko embu nenda kamsalimie Mara moja
Kweli nyie vilaza.iyo project mnayoisema hata bado haijaanza na pia haijulikani itaanza lini maana fungu alijatolewa upande wa urusi na hata upande wa india.iyo ndege yenyew inaitwa Sukhoi/HAL FGFA.iyo sukhoi t-50 project ilishakamilika muda san na zipo 6 ambazo zilifanyiw majaribio na ikawa fresh kw iyo kilichobaki tu ni sukhoi kutimiz order za jeshi la urusi.iyo ya india na russia hata project yake bado
 
Vilevile nadhani utakuwa huna taarifa kuwa israel kishaanza kuelekea zaidi Russia baada ya wamarekani kuonekana kuanza kuchoka kuwapa hela,ndo maana Netanyau hazipiti wiki mbili yuko moscow na wanapanga kufanya mazoezi ya kijeshi na moscow hivi karibuni.

kwa hiyo na russia naye ameaungana israel kutandika waarabu!!
 
cna hakika km turkey wana hio license but hata km ni hvyo still technology ya hapo itakuwa ni lockheed martin na si turkey......kwanza ni upuuz uliotukuka kusema israel iko behind turkey kwe medani za technology
who care kama technology ni ya martin au ya zebedayo as long as hizo ndege zinaruka?,

kama hujui kuwa turkey iko advanced sana pole,turkey walianza kutengeza F-16 mwaka 1988
 
kwa hiyo na russia naye ameaungana israel kutandika waarabu!!
ha ha ha,yaani maswali kama mwanafunzi wa darasa la tano B..

Kwahiyo waisrael wanapigana na waarabu?
 
Back
Top Bottom