Kitu F-35 stealth ndani ya Israel

Kitu F-35 stealth ndani ya Israel

Fafanua zaidi.
Lugha iliyotumika kujenga F35 ilikuwa hasilimia arobaini C++ na hasilimia hamsini na tano C na Ada hasimia NNE tu. Lugha ya Ada ni nzuri katika ujengaji wa vifaa vya ulinzi kwasababu haiezi kuleta dosari lolote
 
Walifaa kutumia lugha ya Ada badala ya C++, ingesaidia kupungua bei ya ujenzi wa F35
Kuwa serious, ingepunguzaje? Coding kwenye C++ au ADA inapunguzaje ghrama maana hizo ni source codes na zina milion lines per block ? Programming language ungeongelea swala la robustness na efficiency kama vile speed. Usitegemee source codes za program mbalimbali za Stealt f-35 zinakuwa ni za language moja. Jf yenyewe server haitumii language moja. Na sijajua kuwa C++ ni wapi wamesema wameitumia, source yako? Na kuprogram software gani? ADA ni extension ya languages kadhaa.
 
Lugha iliyotumika kujenga F35 ilikuwa hasilimia arobaini C++ na hasilimia hamsini na tano C na Ada hasimia NNE tu. Lugha ya Ada ni nzuri katika ujengaji wa vifaa vya ulinzi kwasababu haiezi kuleta dosari lolote

Hivi code haiwezi leta dosari hata kama kuna bugs? Hivi dosari ni kwa sababu ya language au bugs - bad programing?
 
Nikisoma uzi kama huu huwa naishia kuhuzunika....maana wakati watu wanaunda hayo madubwana sisi bado hatujamuweza "mbu"
 
Lugha iliyotumika kujenga F35 ilikuwa hasilimia arobaini C++ na hasilimia hamsini na tano C na Ada hasimia NNE tu. Lugha ya Ada ni nzuri katika ujengaji wa vifaa vya ulinzi kwasababu haiezi kuleta dosari lolote
Hii comment yako ni obsolete, seriously dead. Hivi top programmers pamoja na experiences zao kwenye software industries wewe ukawaona wamebugi? Kutoka designing, kudevelop algorithms hadi kuziimplement; wao wakatumia lugha fulani wewe ukaona hawaelewi kitu! Hizo source codes interactions zake unazielewa? Na unajua kwa nini waliamua kutumia languages kwa uwiano huo? Watanzania hatujawahi kuwa serious.
 
Nimeamua kutafuta Mzee mmoja hapa nilipo, ambaye alipigana vita Kuu ya II ya dunia, ananiambia jeshi letu ni imara vibaya mno, hiyo Marikani pamoja na ndege na vifaa vyake, tukipigana haituwezi! Anasema tuna hazina ya uchawi wa kivita balaa tupu, kwamba Wamarikani watarusha ndege zao lakini zote zitapotea au inageuzwa kitu kingine. Mzee anaongea kwa bit na hana utani, kaniambia jeshi letu nilione tu hivihivi. Kanimind "Kijana, acha kabisa mchezo na jeshi letu, kila kitengi kimejizatiti". Nitamrudia kesho nione kama ana mawazo mbadala. Kaniambia hazina kubwa kwenye vita yoyote ile ni uchawi!
 
Mnaishadadia Iran kama vile ni nchi yenye nguvu za kijeshi kweli, mlifanya vilevile kwa Iraq ambayo ilikuwa inaonekana kuwa babe zaidi, sasa hivi iko wapi? USA kwa investment yake ya kijeshi na akili nyingi mtaona siku za usoni kitakachomtokea Iran. Itatafutiwa sababu halafu kichapo kinafuata. Unakumbuka jinsi watalaam wa nyuklia wa Iran walivyouawa? Na ikalalamika kuwa ni njama za Marekani?

Huo uwezo mnaoibambika Iran, haina. Imekuwa ikisupport magaidi yote yanayoshambulia Israel na kutisha kuwa itaifuta kwenye ramani ya dunia lakini ni mikwara tu kama yenu humu. Missiles za waarabu wakiwa na backup ya waajemi, Iran, zimekuwa hazifui dafu Gaza na miji ya Israel kwa kudakwa na Iron Dome. Sasa Iran kama ina uwezo huo, imeshindwaje kuifuta Israel kwa kuwasupport waarabu?

Kitu kingine kinachotokea ni aibu, kuna watu kama Elungata anaamini kila kilichoondikwa kwenye internet, utamsikia akisema, Google au anakuletea Google link. Google ni search engine inayo index chochote kilichopo kwenye internet hata blog ya Mambe Kimambi na kukuletea results. Lazima ujue kuwa siku hizi kila mtu ana uwezo wa kuandika chochote kwenye internet, kama vile kwenye forums, blogs, websites, wiki n.k. Habari zilizo nyingi ni biased. Sisi kwenye research huwa tunacalculate bias error na confidence interval na kutreat parameters zingine scientifically tunapopublish kitu ambacho ni intensively researched kwa kutumia reliable sources. Halafu kujifanya unajua habari ya tech ya kivita pia unadanganya. Tech ya kivita ni kati ya top secrets. Ili uone kuwa tech hiyo sio mchezo, Tanzania mkiletewa bila kuiteka Stealth F-35B na kuambiwa mfanye reverse engineering, kwa akili zenu itawachukua karne na hamtaweza kutoa hata copy.

Mtu yeyote asichukulie maelezo ya watu humu kama absolute truth au genuine, chukulia upo kwenye kijiwe cha kahawa na kila mtu anaeleza chai zake.
umewasifia wayahudi kwa kulipua wanasayansi wa iran,lakini kwa unafiki hukutaka kuwekwa wazi kuwa hao wanasayansi waliuawa kwa magari yao kutegwa mabomu,kitendo ambacho ni ugaidi,
tena nadhani hicho kitendo wewe unakishabikia kuwa mi muendelezo wa ile ahadi ya mungu wenu kwamba alimwambia yakobo,babu yenu kuwa atakamlaani atalaaniwa,

yet kitendo cha iran,kuwalipua karibu wanajeshi 300 wa marekani kule beirut,utakiita ugaidi.

Double standard at its best
 
Kwa kifupi marekani anafanya ugaidi kwa mauaji ya wanasayansi wa iran
 
umewasifia wayahudi kwa kulipua wanasayansi wa iran,lakini kwa unafiki hukutaka kuwekwa wazi kuwa hao wanasayansi waliuawa kwa magari yao kutegwa mabomu,kitendo ambacho ni ugaidi,
tena nadhani hicho kitendo wewe unakishabikia kuwa mi muendelezo wa ile ahadi ya mungu wenu kwamba alimwambia yakobo,babu yenu kuwa atakamlaani atalaaniwa,

yet kitendo cha iran,kuwalipua karibu wanajeshi 300 wa marekani kule beirut,utakiita ugaidi.

Double standard at its best

Waaarabu ni magaidi, lakini Marekani ni intelligent mission. Israel ndio nchi yenye mahasimu wengi zaidi lakini cha ajabu sijui inakuwaje wanashindwa kuipiga! Waraabu wakiuawa wanafurahi na kushangilia mitaani, tena kwa kutembeza waliouawa na casualties huku wakisema allahakbar allahakbar - sasa huo ni ugaidi.
 
Mlisema Iraq noma, haya iko wapi sasa! Mkaachana na hilo, mkasema Osama kidume, haya yuko wapi! Sasa mnaisifia Iran, itapigwa. Marekani hatumii tu nguvu, bali na akili. Nyani Ngabu
 
mbona hata hueleweki unaongelea nini?,
unakunywa hapo ulipo ?maana unachoongea hakileti maana
 
Mlisema Iraq noma, haya iko wapi sasa! Mkaachana na hilo, mkasema Osama kidume, haya yuko wapi! Sasa mnaisifia Iran, itapigwa. Marekani hatumii tu nguvu, bali na akili. Nyani Ngabu
askari wa saddamu kwani walipigana vita wale?,
walivua uniform na kuingia mtaani,
iran siyo iraq,

nambie kwanini marekani hajamshambulia iran?au bado anatafuta nchi za kumsaidia?
 
Wewe unaamini kabisa Iran ina uwezo wa kijeshi, kiuchumi, kiakili na kimbinu kuishinda Marekani kwenye vita? Wewe subiri, utaona muda si mwingi ujao. Kuwa mvumilivu tu.
 
iran ishambuliwe imefanyeje kwani? ila iran kama ina hamu ya kipigo iende ikachokoze telaviv nadhan hapo ndo itatambua kuwa zombi(USA)halishibi damu....hao kina russia wataufyata asione wanampa kichwa sasa hivi maana hata iraq ilipewa kichwa hivyohvyo
 
Wewe unaamini kabisa Iran ina uwezo wa kijeshi, kiuchumi, kiakili na kimbinu kuishinda Marekani kwenye vita? Wewe subiri, utaona muda si mwingi ujao. Kuwa mvumilivu tu.
hii iran hata kwa turkey inakaa tena mapema mnoo
 
Back
Top Bottom