Kitu F-35 stealth ndani ya Israel

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,185
18,513
1466693689177.jpg

Ndege ya kwanza ya kivita yenye technologia kubwa kuliko zote duniani F-35 Stealth kutua ndani ya IAF wiki hii na nyingine 30 kutua hadi ifukapo 2018

RADA ZA MASHARIKI YA KATI ZITAFUTE KAZI NYINGINE
 
Israel ndege yenye nguvu namna hiyo ya nini wakati wapalestina wanatumia mawe?
Hiyo ndege sifa yake mojawapo haionekani kwenye rada. Kumbuka iran inataka kuishambulia israel na kuifuta muda wowote, hiyo ndege sio kwa ajili ya palestina,

Wapelentina wametengenezewa mwavuli unao tungua kila kitu kinacjo rushwa toka gaza hasa missiles kabla hazija fikia makazi ya watu system inaitwa Iron Dome.
 
Hiyo ndege sifa yake mojawapo haionwkani kwenye rada. Kumbuka iran inataka kuishambulia israel na kuifuta muda wowote, hiyo ndege sio kwa ajili ya palestina,

Wapelentina wamwtengenezewa mwavuli unao tungua kila kitu kinacjo rushwa toka gaza hasa missiles kabla hazija fikia makazi ya watu system inaitwa Iron Dome.
Hiyo si stealth

Una maana iyo f-35 ni stealth fighter sio kama f-117 iliyoangushw serbia au ile aina ya B-2 iliyonekana kwenye rada maeneo ya nevada.hapo nimekuelewa mkuu kweli marekani wanatisha wanatengeneza mpaka stealth aircraft
 
Hiyo ni Nguvu yake mungu mwenyewe maana Aliapa kuilinda Israel yke hadi mwisho,,

Kila Aibarikie Israel atabarikiwa na kila Ailaanie Israe pia Atalaaniwa,,

Ni kiapo kikubwa sn hiki,, kwa Lugha rahisi unaweza kusema ,,kila Aipendae Israel naye Atapendwa na Mungu na kila atakaye thubutu kuipiga Israel basi Atachakazwa na Mungu mwenyewe kwa kutumia mkono ule ule wa mwanadamu,,

Shime tuipende sote Israel taifa letu la Tz nalo libarikiwe na Mungu wetu.
 
Hiyo ndege sifa yake mojawapo haionwkani kwenye rada. Kumbuka iran inataka kuishambulia israel na kuifuta muda wowote, hiyo ndege sio kwa ajili ya palestina,

Wapelentina wamwtengenezewa mwavuli unao tungua kila kitu kinacjo rushwa toka gaza hasa missiles kabla hazija fikia makazi ya watu system inaitwa Iron Dome.
Mkuu hizo ndege hazionekani kwenye rada za nchi kama zetu huku
 
Hiyo ni Nguvu yake mungu mwenyewe maana Aliapa kuilinda Israel yke hadi mwisho,,

Kila Aibarikie Israel atabarikiwa na kila Ailaanie Israe pia Atalaaniwa,,

Ni kiapo kikubwa sn hiki,, kwa Lugha rahisi unaweza kusema ,,kila Aipendae Israel naye Atapendwa na Mungu na kila atakaye thubutu kuipiga Israel basi Atachakazwa na Mungu mwenyewe kwa kutumia mkono ule ule wa mwanadamu,,

Shime tuipende sote Israel taifa letu la Tz nalo libarikiwe na Mungu wetu.

Mantiki ya ujumbe wako ni ipi? Totally confused
 
Israel ndege yenye nguvu namna hiyo ya nini wakati wapalestina wanatumia mawe?
WaIsrael lazima wajilinde Mkuu. Yaani wamezungukwa na maadui pande zote. Kuna Palestina, Jordan, Lebanoni, Syria hao wote ni maadui zake. Ndio maana wanajitahidi kuwekeza ktk kila technolojia. Ndo maana pamoja na kuzungukwa na adui kila kona lakini hawaguswi.
 
Hiyo ndege sifa yake mojawapo haionwkani kwenye rada. Kumbuka iran inataka kuishambulia israel na kuifuta muda wowote, hiyo ndege sio kwa ajili ya palestina,

Wapelentina wamwtengenezewa mwavuli unao tungua kila kitu kinacjo rushwa toka gaza hasa missiles kabla hazija fikia makazi ya watu system inaitwa Iron Dome.

Hata marekan alitengeneza ndege kama hiyo isio onekana na rada yyt kwa kipindi cha miaka miwili safar ya kwanza tu kwenda iran wakaishusha wacha tuone na hiyo
 
Mantiki ya ujumbe wako ni ipi? Totally confused

Inakubidi ukae chini na kufikiri sn ndo utajua mantic ya Comment hiyo,,

Kwa kukusaidia tu ni kwamba Mungu humsaidia mwanadamu kutengeneza ama kuvumbua kitu kwa lengo fulani alilo kusudia yeye mwenyewe,,

Hivyo kusudio kubwa la Mungu kufanikisha Ugunduzi wa ndege yenye uwezo mkubwa wa namna hiyo kwa taifa la Israel,, kusudio lake kubwa ni kulilinda taifa hilo kipenzi chake,,
maana aliahidi kulilinda daima.
 
Back
Top Bottom