Kitu F-35 stealth ndani ya Israel

Kitu F-35 stealth ndani ya Israel

hio kitu ni noma naona hata myahudi hakutaka impite.....ni f-35A au B mkuu?

Kijana una maswali mazuri sana

The Lockheed Martin F-35 Lightning II is a family of single-seat, single-engine, all-weather stealth multirole fighters undergoing final development and testing by the United States. The fifth generation combat aircraft is designed to perform ground attack and air defense missions. The F-35 has three main models: the F-35A conventional takeoff and landing (CTOL) variant, the F-35B short take-off and vertical-landing (STOVL) variant, and the F-35C carrier-based Catapult Assisted Take-Off But Arrested Recovery (CATOBAR) variant. On 31 July 2015, the first squadron was declared ready for deployment after intensive testing by the United States.
 
Wayahudi wana siri kubwa, wao wanampa tenda mmarekani ya kutengeneza ndege zao zote za kivita huku wakisimamia utengenezaji wake kwa kutumia watalaam wao.

Zikishwa tengenezwa wanazinunua, wanazipeleka kwenye workshop zao kwa ajili ya marekebisho ili hizo ndege zikidhi viwango vya mazingira yao kivita.

Mmarekani ametoa kibali cha marekebisho ya ndege zake kwa israel pekee yake na mkataba hauruhusu israel kuifanyia marekebisho ndege ya mmarekani nchi nyingine yoyote duniani.

Kwa maana hiyo F-22 ya mmerekani ni tofaufi sana na ndege hiyohiyo iliyo kwenye jeshi la anga la israel.

Wanaoukumbuka miaka ya nyuma ufaransa iliwahi kuisaidia iraq kutengeneza kinu cha nyuklia, hicho kinu kilikua kinalindwa usiku kucha na rada za kutosha. Cha ajabu wayahudi walikishambulia usiku bila ndege zao kuonekana kwenye radar .

Waarabu waliwahi kumjia juu mrusi wakidai anawauzia rada mbovu kwa sababu hazioni ndege za israel bila kujua kuwa stealth technology kwa myahudi ilianza kutumika miaka mingi sana.

Ukweli jamaa wana technologia ya anga ambayo hata marekani hana.

Ndege zao zinaumahiri wa hali ya juu, rubani wao wa kijeshi ni moja za ajira zinazoajiri vichwa matata vya nchi hiyo.

Kwa hiyo hiyo F-35 stealth fighter jet wanaenda kuitengeneza upya na kuweka makorokoro kibao ya kieletronics ya kufa mtu.

RADAR ZA MASHARIKI YA KATI ZITAFUTE KAZI NYINGINE
 
Hiyo si stealth

Una maana iyo f-35 ni stealth fighter sio kama f-117 iliyoangushw serbia au ile aina ya B-2 iliyonekana kwenye rada maeneo ya nevada.hapo nimekuelewa mkuu kweli marekani wanatisha wanatengeneza mpaka stealth aircraft
Hiyo ni funga kazi mrusi baada ya kuona f-35 imetoka naye yupo jikoni na Mig-30
 
Mkuu hizo ndege hazionekani kwenye rada za nchi kama zetu huku
Kuna mambo mawili wanayo fanya.

1. Wanatengeneza ndege ambayo haionekani kwenyw radar yako

2. Wanaingilia system ya radar yako ili wakati wao wanapita na ndege zao wewe kwenye rada yako wanakuwekea movie ya kanumba uendelee kuenjoy
 
Wayahudi wana siri kubwa, wao wanampa tenda mmarekani ya kutengeneza ndege zao zote za kivita huku wakisimamia utengenezaji wake kwa kutumia watalaam wao.

Zikishwa tengenezwa wanazinunua, wanazipeleka kwenye workshop zao kwa ajili ya marekebisho ili hizo ndege zikidhi viwango vya mazingira yao kivita.

Mmarekani ametoa kibali cha marekebisho ya ndege zake kwa israel pekee yake na mkataba hauruhusu israel kuifanyia marekebisho ndege ya mmarekani nchi nyingine yoyote duniani.

Kwa maana hiyo F-22 ya mmerekani ni tofaufi sana na ndege hiyohiyo iliyo kwenye jeshi la anga la israel.

Wanaoukumbuka miaka ya nyuma ufaransa iliwahi kuisaidia iraq kutengeneza kinu cha nyuklia, hicho kinu kilikua kinalindwa usiku kucha na rada za kutosha. Cha ajabu wayahudi walikishambulia usiku bila ndege zao kuonekana kwenye radar .

Waarabu waliwahi kumjia juu mrusi wakidai anawauzia rada mbovu kwa sababu hazioni ndege za israel bila kujua kuwa stealth technology kwa myahudi ilianza kutumika miaka mingi sana.

Ukweli jamaa wana technologia ya anga ambayo hata marekani hana.

Ndege zao zinaumahiri wa hali ya juu, rubani wao wa kijeshi ni moja za ajira zinazoajiri vichwa matata vya nchi hiyo.

Kwa hiyo hiyo F-35 stealth fighter jet wanaenda kuitengeneza upya na kuweka makorokoro kibao ya kieletronics ya kufa mtu.

RADAR ZA MASHARIKI YA KATI ZITAFUTE KAZI NYINGINE
kuna operation moja waliifanya syria kwe mwaka kma 2007(operation ochard) hivi pia walilipua suspected nuclear reactor sasa cha ajabu jamaa walitumia f-15 tu ambayo kimsing si stealth lakin walievade syrian air defense wakalipua kinu then wakarud israel wakipitia turkey airspace,jamaa wakinunua ndege huwa wanaomba na haki ya kuzimodify ili kufit mahitaj yao
 
Kuna mambo mawili wanayo fanya.

1. Wanatengeneza ndege ambayo haionekani kwenyw radar yako

2. Wanaingilia system ya radar yako ili wakati wao wanapita na ndege zao wewe kwenye rada yako wanakuwekea movie ya kanumba uendelee kuenjoy
yaan kama kwe ile vita na waarabu hakukuwa na stealth aircraft ila walihack air defense za misri kisha wakashusha chapo zuri tu kabla ya wenye dunia yao kuja kusuluhisha mambovita ikome
 
Inakubidi ukae chini na kufikiri sn ndo utajua mantic ya Comment hiyo,,

Kwa kukusaidia tu ni kwamba Mungu humsaidia mwanadamu kutengeneza ama kuvumbua kitu kwa lengo fulani alilo kusudia yeye mwenyewe,,

Hivyo kusudio kubwa la Mungu kufanikisha Ugunduzi wa ndege yenye uwezo mkubwa wa namna hiyo kwa taifa la Israel,, kusudio lake kubwa ni kulilinda taifa hilo kipenzi chake,,
maana aliahidi kulilinda daima.
Acha utani mzee sasa mungu gani ana upendeleo wakati anafundishe sisi tufanye tuwapende majirani zetu na pia tutende tunachopenda kutendewa
 
yaan kama kwe ile vita na waarabu hakukuwa na stealth aircraft ila walihack air defense za misri kisha wakashusha chapo zuri tu kabla ya wenye dunia yao kuja kusuluhisha mambovita ikome
Unanikumusha miaka ya nyuma, russia iligawa ndege Mig 22 kama njugu kwa waarabu nadhani ilikua kabla ya vita ya siku 6.

Wayahudi wakati huo walikua hawana technologia kubwa sana hasa baada ya ufaransa kuwagomea kuwauzia ndege za kivita.

Basi ikatolewa order no.0001 kwenda mossad kwamba taifa linahitaji ndege aina ya mig-22 kwa ajili ya kufanyia maziezi ya kivita, lakini swali wataipata wapi maana russia hawezi kuwauzia.

Mossada wakaja na wazo la kuiba ndege kama ilivyo na kuileta israel.

Wakafanya utafiti wa kijasusi basi wakagundua kuna pilot mmoja wa iraq hajarishika na kazi yake, wakaongea naye wakaset mipango yote pamoja na kuihamisha familia yake yote kisha jamaa alipo ruka na ndege akapotea nayo moja kwa moja hadi tel aviv

Story za hawa jamaa ni kama utani
 
Inakubidi ukae chini na kufikiri sn ndo utajua mantic ya Comment hiyo,,

Kwa kukusaidia tu ni kwamba Mungu humsaidia mwanadamu kutengeneza ama kuvumbua kitu kwa lengo fulani alilo kusudia yeye mwenyewe,,

Hivyo kusudio kubwa la Mungu kufanikisha Ugunduzi wa ndege yenye uwezo mkubwa wa namna hiyo kwa taifa la Israel,, kusudio lake kubwa ni kulilinda taifa hilo kipenzi chake,,
maana aliahidi kulilinda daima.

Kweli wadanganyika wako wengi eti taifa kipenzi
 
Izrael imepigwa na ka kikundi tu ka hezbulla hapa kwa mfano kama ukawa vile
Ukweli ni kuwa israel haikupigwa na hezbulla kama wengi wanavyo dhani japo ni moja ya vita kali ambayo israel ilikutana nayo.

Kama israel ingekua imepigwa basi hao hezbulla badala ya kupiga kelele kila siku kuwa wataifuta israel kwenye uso wa dunia wangekua fanya kweli kwa kulwta vita nyingine.

Malengo ya israel ktk vita ile ilikua ni kuiridisha nyuma lebanon miaka zaidi ya 30 nyuma kiuchumi ili badala ya kuitumia muda mwingi kijiimarisha kivita basi watumie muda mwingi kuijenga nchi yao maana ilifika wakati lebanon ikawa tishio.

Ukweli kuwa ktk vita ile lebanon ilipata hasara kubwa sana, pamoja na hezbolla ndio maana hadi leo hezbolla hayupo tayari kufanya vita na israel.

mara ngapi israel imeua makamanda wa hezbolla lakini hezbolla hawaja wahi kuanzisha vita. Wanafanya hivyo wakijua kuwa wanahitaji maandalizi la sivyo watakufa.

Sasa vita inayokuja kati ya israel na hezbolla ni ya kukata na shoka. Dunia itachafuka kwa misululu ya missile toka lebanon zitakazo tunguliwa hata kabla hazija vuka mpaka.
 
Hiyo ni Nguvu yake mungu mwenyewe maana Aliapa kuilinda Israel yke hadi mwisho,,

Kila Aibarikie Israel atabarikiwa na kila Ailaanie Israe pia Atalaaniwa,,

Ni kiapo kikubwa sn hiki,, kwa Lugha rahisi unaweza kusema ,,kila Aipendae Israel naye Atapendwa na Mungu na kila atakaye thubutu kuipiga Israel basi Atachakazwa na Mungu mwenyewe kwa kutumia mkono ule ule wa mwanadamu,,

Shime tuipende sote Israel taifa letu la Tz nalo libarikiwe na Mungu wetu.
pamoja na kuipenda kwako iziraeli una nini?
 
Back
Top Bottom