Kitu F-35 stealth ndani ya Israel

Kitu F-35 stealth ndani ya Israel

Kuna mambo mawili wanayo fanya.

1. Wanatengeneza ndege ambayo haionekani kwenyw radar yako

2. Wanaingilia system ya radar yako ili wakati wao wanapita na ndege zao wewe kwenye rada yako wanakuwekea movie ya kanumba uendelee kuenjoy [emoji28] [emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mamamamamamammae...dah mkuu sawa bhana..
 
View attachment 359336
Ndege ya kwanza ya kivita yenye technologia kubwa kuliko zote duniani F-35 Stealth kutua ndani ya IAF wiki hii na nyingine 30 kutua hadi ifukapo 2018

RADA ZA MASHARIKI YA KATI ZITAFUTE KAZI NYINGINE
Mkuu mbona hata China wamesha develop their own stealth fighter!Inaitwa Chengdou J-20.Sio technology mpya saana.
 
Badala ya kufagulia amani humu ndani.. Unatuletea ushabiki maandazi hapa...
 
Waambie waipitishe urusi uone, waliwahi iaminisha dunia kuwa F-117 haionekani kwenye radar ikaenda tia aibu tena Serbia ikashushwa kama embe dodo hivyo inategemea na nchi itakapopelekwa ila kama ni NK, RUSSIA, EASTERN EUROPE hakika itakuwa scraper ila kama ni msumbiji kweli
 
Unajua unaweza kua mpuuzi kwa kutopenda kusoma.?mtoa mada ni juha tu,unaweza kutuambia mtu wakwanza ktk hio tech ya stealth ni nani.?

Unajua kua izo zote zimefeli ktk dog fighting.?
Jiulize kwanini ao us wana hofu na s500,pamoja na ndege ya sukhoi.?
 
Mbona sehemu za kunyea makombora hazionekani? au kazi yake kunyoa nywele waarabu tu eenh?
 
Unajua unaweza kua mpuuzi kwa kutopenda kusoma.?mtoa mada ni **** tu,unaweza kutuambia mtu wakwanza ktk hio tech ya stealth ni nani.?

Unajua kua izo zote zimefeli ktk dog fighting.?
Jiulize kwanini ao us wana hofu na s500,pamoja na ndege ya sukhoi.?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] zimefeli wapi?!

Hyo Sukhoi anaeihofia nan?!
Labda Iraq nd waihofie...
 
Waambie waipitishe urusi uone, waliwahi iaminisha dunia kuwa F-117 haionekani kwenye radar ikaenda tia aibu tena Serbia ikashushwa kama embe dodo hivyo inategemea na nchi itakapopelekwa ila kama ni NK, RUSSIA, EASTERN EUROPE hakika itakuwa scraper ila kama ni msumbiji kweli
Unajua kwamba F117 iliruka zaid ya mara 850 ndan ya Serbia na moja tu ilitunguliwa... Tena wakt inatunguliwa nyingine bado zilikua zinaendelea kuangusha mabomu...

Hyo F117 iliangushwa kutokana na kuacha mlango wa mabomu jambo lililofanya kuongezeka kwa RCS yake nd maana ikaonekana na radar...

Na toka marekan aanze kutumia hzo stealth ni moja tu ndo imewah angushwa...

North korea mbona Marekan kashapeleka ndege mpk sebulen,nenda kaitafute SR-71 Blackbird utaona...
 
Israel it's American base ktk Mashariki ya kati... Almost kila kitu made in USA.. Hasa silaha... Ungesema ni mabigwa wa fitna dunia basi unge eleweka..
 
Back
Top Bottom