Kitu F-35 stealth ndani ya Israel

Kitu F-35 stealth ndani ya Israel

iran ishambuliwe imefanyeje kwani? ila iran kama ina hamu ya kipigo iende ikachokoze telaviv nadhan hapo ndo itatambua kuwa zombi(USA)halishibi damu....hao kina russia wataufyata asione wanampa kichwa sasa hivi maana hata iraq ilipewa kichwa hivyohvyo

Iran huwa inaishia tu kusema itaifuta Israel kwenye uso wa dunia. Sasa imewasaidia waarabu kwa kila namna ili waipige lakini cha ajabu wanakufa wao. Haiwezi kujitokeza moja kwa moja kwa sababu inafahamu kabisa haitasubirishwa.
 
Wewe unaamini kabisa Iran ina uwezo wa kijeshi, kiuchumi, kiakili na kimbinu kuishinda Marekani kwenye vita? Wewe subiri, utaona muda si mwingi ujao. Kuwa mvumilivu tu.
ha ha ha,wewe uliamini vietnam wangeipiga marekani?
 
ha ha ha,wewe uliamini vietnam wangeipika marekani?

Dogo punguza pombe, ilikuwa ni wakati gani na status ya Marekani ilikuwaje? Walivyopigwa na Vietnam, waulize Wajapan wlichofanyiwa. Maana yake walijiongeza vibaya mno. Kilichorushwa huko Japan, ni kitu cha hivi Energy = mc^2. Ilibidi vita isimame maana mahasimu hawakuelewa hiyo ilikuwa ni nini.
 
Iran huwa inaishia tu kusema itaifuta Israel kwenye uso wa dunia. Sasa imewasaidia waarabu kwa kila namna ili waipige lakini cha ajabu wanakufa wao. Haiwezi kujitokeza moja kwa moja kwa sababu inafahamu kabisa haitasubirishwa.
jamaa wana mikwara kinoma...
 
jamaa wana mikwara kinoma...

Sasa cheki moja ya video inayoonyesha interception ya missiles zinazorushwa na Hamasi, waliopo kwenye Iron Dome ni vijana, halafu matozi, ni wachache pia, hawafiki 7, wanahojiwa wanacheka as if hawako vitani, maana yake wanaona hamas ni mzaha tu.
 
aah sasa IDF kwa hamas si huwa wanafanya counter terrorism op tu..tena haipiti miez miwili miito ya msamaha inatolewa kutoka kila pande za dunia
 
ni kweli maana wengi hawakuamini kama russia angeufyata mkia baada ya waturuki kuwadungua kule syria..vita zina maajabu

Marekani njama zake nazikubali, waarabu wamefitinishwa sasa wanauana wenyewe tu. Waarabu wana akili kweli: Libya, Misri, Syria, ....
 
lakini usisahau kuwa nuclear weapons effects during explosion at any instant inakuwa affected na weather condition pamoja na climate which means Wenda hata Africa ikaangamia and eventually the entire world perishes and lives in history.
 
Marekani njama zake nazikubali, waarabu wamefitinishwa sasa wanauana wenyewe tu. Waarabu wana akili kweli: Libya, Misri, Syria, ....
hawajafitinishwa mkuu ni wenyew tu hawaelewan.....ugomvi mkubwa ni shia vs sunni na nafikiri ugomvi una historia ndefu sana......sema sasa wengine wanatumia kutoelewana kwao kwa msalah yao binafsi
 
we kufa alafu utaeleza kama mungu yupo ama LA! na kama yupo you won't have the second chance to correct this comment you posted not even a fraction of second that you shall ask will it be given to you when you will be dying hard kwenye mangojeo ya jehanamu ya moto waiting the ultimate goal of hell to be achieved and that is to mean the devil which gave you that idea of hakuna mungu akishakamatwa akatupwa in hell and you in the line on your way to tormenting fire utajua MUNGU unayemfanyia mazoea Leo ukiwa hai ni nani.[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
iran ishambuliwe imefanyeje kwani? ila iran kama ina hamu ya kipigo iende ikachokoze telaviv nadhan hapo ndo itatambua kuwa zombi(USA)halishibi damu....hao kina russia wataufyata asione wanampa kichwa sasa hivi maana hata iraq ilipewa kichwa hivyohvyo
Hizo vita alizopigana Marekani alichokozwa na nani??
 
we kufa alafu utaeleza kama mungu yupo ama LA! na kama yupo you won't have the second chance to correct this comment you posted not even a fraction of second that you shall ask will it be given to you when you will be dying hard kwenye mangojeo ya jehanamu ya moto waiting the ultimate goal of hell to be achieved and that is to mean the devil which gave you that idea of hakuna mungu akishakamatwa akatupwa in hell and you in the line on your way to tormenting fire utajua MUNGU unayemfanyia mazoea Leo ukiwa hai ni nani.[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Majitu ya hivi ni hopeless, unakuta mtu hana hata teknolojia ya kutengeneza uzi wa kushonea halafu anasema hakuna Mungu!
 
Dogo punguza pombe, ilikuwa ni wakati gani na status ya Marekani ilikuwaje? Walivyopigwa na Vietnam, waulize Wajapan wlichofanyiwa. Maana yake walijiongeza vibaya mno. Kilichorushwa huko Japan, ni kitu cha hivi Energy = mc^2. Ilibidi vita isimame maana mahasimu hawakuelewa hiyo ilikuwa ni nini.
sinywi pombe asee,ujue tunaongelea ubingwa wa kupigana sio uwezo wa kutumia silaha ya maangamizi na kuuwa mamilioni ya raia wasio na hatia pale unapozidiwa,japan alikuwa kishamzidia mmarekani akaona njia ya mkato aue raia kwa atomic,

iran imeshateka askari wa marekani mara ngapi?,
mbona marekani huwa anakuwa mpole kama kweli anaweza battle?
 
jamaa wana mikwara kinoma...
iran hana mkwara ukizengua anafanya kweli,mwaka 1979 hajateka ubalozi wa marekani na kushikilia wamarekani kwa miaka,marekani walijaribu kuwaokoa kwa kutumaa makomando,operation eagle craw,wakaangua pua,ikabidi wawe wapole na kuaamua kuwahonga silaha wairan ili wawaachie mateka,
miaka mitano iliyopita ndege ya marekani ikiwa imejaa wanajeshi wa marekani toka afaghnistan ilijichanga ikaingia anga la iran,wakasitukia wamezungukwa na ndege za iran na kuamuliwa kutua iran,mpaka walipotoa maelezo ya kutosha ndo wakaachiwa huru,
juzi hapa kama miaka miwili iliyopita askari wa uingereza walitaka kupenya iran,wakakamatwa na kuwekwa ndani na ilibidi tena waingereza kunyenyekea mno ndo wakaachiwa,juzi hapa tena askari wa marekani wakanaswa iran,
bado iran imezihijack drone za marekani mara 2.
Bila kusahau mwaka 1980,kule beiruti jeshi la hezbolah limeripua ambi ya jeshi la marekani na askari karibu 300 wa marekani walipoteza maisha.

Huko sio kutishia,ni kufanya maamuzi magumu
 
Hiyo ni Nguvu yake mungu mwenyewe maana Aliapa kuilinda Israel yke hadi mwisho,,

Kila Aibarikie Israel atabarikiwa na kila Ailaanie Israe pia Atalaaniwa,,

Ni kiapo kikubwa sn hiki,, kwa Lugha rahisi unaweza kusema ,,kila Aipendae Israel naye Atapendwa na Mungu na kila atakaye thubutu kuipiga Israel basi Atachakazwa na Mungu mwenyewe kwa kutumia mkono ule ule wa mwanadamu,,

Shime tuipende sote Israel taifa letu la Tz nalo libarikiwe na Mungu wetu.
Kalagabaho
 
iran hana mkwara ukizengua anafanya kweli,mwaka 1979 hajateka ubalozi wa marekani na kushikilia wamarekani kwa miaka,marekani walijaribu kuwaokoa kwa kutumaa makomando,operation eagle craw,wakaangua pua,ikabidi wawe wapole na kuaamua kuwahonga silaha wairan ili wawaachie mateka,
miaka mitano iliyopita ndege ya marekani ikiwa imejaa wanajeshi wa marekani toka afaghnistan ilijichanga ikaingia anga la iran,wakasitukia wamezungukwa na ndege za iran na kuamuliwa kutua iran,mpaka walipotoa maelezo ya kutosha ndo wakaachiwa huru,
juzi hapa kama miaka miwili iliyopita askari wa uingereza walitaka kupenya iran,wakakamatwa na kuwekwa ndani na ilibidi tena waingereza kunyenyekea mno ndo wakaachiwa,juzi hapa tena askari wa marekani wakanaswa iran,
bado iran imezihijack drone za marekani mara 2.
Bila kusahau mwaka 1980,kule beiruti jeshi la hezbolah limeripua ambi ya jeshi la marekani na askari karibu 300 wa marekani walipoteza maisha.

Huko sio kutishia,ni kufanya maamuzi magumu
Mbona israel wanamzingua kila siku na anabaki na vitisho vya meneno tuu, si ajaribu kurusha hata jiwe tel aviv aone moto wake?
 
Back
Top Bottom