Kitoto cha mbwa miezi mitatu

Kitoto cha mbwa miezi mitatu

Kanaendelea vizuri sana Leo hakika kanapona kama nilivyopromise Jana kuwa nitakapambania kapone

Kazi nzuri.
Asante sana kwa taarifa.

Nasubiri picha ukipata nafasi.
 

Attachments

  • IMG_20260816_104150_749.jpg
    IMG_20260816_104150_749.jpg
    180.7 KB · Views: 4
  • IMG_20260816_101845_361.jpg
    IMG_20260816_101845_361.jpg
    306.8 KB · Views: 4
  • IMG_20260816_084400_292.jpg
    IMG_20260816_084400_292.jpg
    1.3 MB · Views: 5
  • VID_20260816_084756.mp4
    12.7 MB
  • VID_20260816_105635.mp4
    12.8 MB
Habari ndugu wanajamii, Nina kitoto cha mbwa umri miezi mitatu toka juzi ni kagonjwa hakataki chakula, kamelegea, kanalala TU, kalitapika juzi usiku naomba ushauri dawa Gani nitumie
Parvo iyo ulitakiwa umchanje
 
Eeh mkuu, hii ni hatari sana, mbwa mdogo akikataa chakula na kulala tu ni dalili mbaya. Usisubiri, peleka kwa daktari wa mifugo haraka, dawa za binadamu zinaweza kumdhuru. Ukiwa na mtaalamu karibu, ndio suluhisho pekee..
 
Back
Top Bottom