Kitoto cha mbwa miezi mitatu

Kitoto cha mbwa miezi mitatu

Nimejaribu kupitia Google wanasema huo ugonjwa unaitwa canine parvovirus
Hakupata chanjo?
Mjaribu kuponda majani na mbegu za mwarobaini kisha loweka kwenye maji kidogo.
Mwekee hayo maji anger. fanya hivyo siku 3 hivi.
Kuna mbwa alikuwa na hizo dalili tulimpa hiyo dawa alipona.
 
Nimeshaujua Kuna vet mmoja nimemtafuta Yuko kibaha amenismbia ni canine parvovirus amenielekeza mahali pa kwenda kuchukua dawa huku karibu na ninapoishi mkoani mara
mkoani mara badala ufuge hata mbuzi unakuja na swag za kajibwa ka miez 3 ndugu yangu. Hako hata usisumbuke kukapa dawa hakatapona ndugu yangu you just say r.i.p manunu. Nowadays kuna outbreak ya ugonjwa wa mbwa hapo wewe tafuta mbwa mkubwa ununue au uombe kwa jirani usituletee mambo ya kizungu ati katoto mura. Cha kwanza katavimba mdomona tumbo ni kama kameshba na for sure hako hakatapona acha kuharibu pesa yako hapo na sio kwa ubaya.
 
Hakupata chanjo?
Mjaribu kuponda majani na mbegu za mwarobaini kisha loweka kwenye maji kidogo.
Mwekee hayo maji anger. fanya hivyo siku 3 hivi.
Kuna mbwa alikuwa na hizo dalili tulimpa hiyo dawa alipona.

Na za baba na mama yako usizisahau. Kiazi

Hawakupewa!
 
Na za baba na mama yako usizisahau. Kiazi
Tunapojadili mambo muhimu tafadhali sio lazima useme neno kama huna la kuchangia kwani kukaa kimya pia ni busara kama kwenu mmezoea kunyonyeshs mbwa it doesn't apply to me,jiheshimu.
 
Hakupata chanjo?
Mjaribu kuponda majani na mbegu za mwarobaini kisha loweka kwenye maji kidogo.
Mwekee hayo maji anger. fanya hivyo siku 3 hivi.
Kuna mbwa alikuwa na hizo dalili tulimpa hiyo dawa alipona.
Nashukuru sana. Mara ngapi kwa siku ktk hizo siku3?
 
mkoani mara badala ufuge hata mbuzi unakuja na swag za kajibwa ka miez 3 ndugu yangu. Hako hata usisumbuke kukapa dawa hakatapona ndugu yangu you just say r.i.p manunu. Nowadays kuna outbreak ya ugonjwa wa mbwa hapo wewe tafuta mbwa mkubwa ununue au uombe kwa jirani usituletee mambo ya kizungu ati katoto mura. Cha kwanza katavimba mdomona tumbo ni kama kameshba na for sure hako hakatapona acha kuharibu pesa yako hapo na sio kwa ubaya.
Mbwa wakubwa wapo, hivyo vitoto vina mama Yao hapa tuna mifugo mingi mbuzi, kondoo, ngo'mbe, hao mbwa wanasaidia kuikinga mifugo dhidi ya fisi pia wezi wa kuku pia tuna mabanda ya kuku wa kienyrji usipokua na mbwa wezi wanabomoa usiku, mkoa wa mara wizi ni jambo la kawaida so lazima ulinde mali zako kwa nguvu zote
 
sasa wewe unataka niandike nini na kama nani. Yaan katoto ka mbwa wewe unataka kunipangia cha kundika ndugu kweli. Jifunze kupita coments zingne plz hapa hakuna cha uandish bora wala nini
Ukiacha ujinga wa kuni-quote bila sababu utakuwa mlezi bora wa mbwa.
 
kama hutak kuquotiwa mbona wewe unaquote watu kwa ujinga. Mim na mbwa wapi na wapi au ili iweje dogo. Nisilee hata mbuzi au kuku niende kulea bobi kwa lipi. Acha ushamba wa kujifanya unajua tena jf. Amka unawe uso uende ukaombewe kijana.
 
Tunapojadili mambo muhimu tafadhali sio lazima useme neno kama huna la kuchangia kwani kukaa kimya pia ni busara kama kwenu mmezoea kunyonyeshs mbwa it doesn't apply to me,jiheshimu.
Kunitukana ndio busa?
Acha ujinga dogo hili ni jukwaa huru huwezi nipangi cha kujibu.
 
Usiku niliona utakua mrefu nikaamua kumchoms dawa tunazochoma mifugo pia nikampatia juice ya mwarobaini kama mjumbe mmoja alivyoshauri humu the good thing ni kwamba kameamka kamechangamka na kameanza kula so nataraji niendelee na hizi dawa kwanza huku nikichek progress yake.
 
Attachments

  • IMG_20260816_104150_749.jpg
    IMG_20260816_104150_749.jpg
    180.7 KB · Views: 1
  • IMG_20260816_101845_361.jpg
    IMG_20260816_101845_361.jpg
    306.8 KB · Views: 1
kavimba tumbo??kama anagoma kula tu na anatapika afu anapiga kama chafya it either anatoa meno (stage io) au minyoo(kama hukumpa chanjo ya awali 2.5months) mchome sindano ya minyoo na mpe vidonge vya pet force usisahau kinga ya kichaa
Asante sana
 
Back
Top Bottom