Vitaisha tu bro.. pole in advanceVilikua vitano viwili vimekufa
Juzi Kuna jirani yetu aliogeshs mbwa wake kwa dawa ya kuogeshea mifugo vikafa vyote baada ya kujilamba so toka Jana tunavipa maziwa ya ng'ombe tukidhania huenda vilicontact hiyo sumu but tulijiridhisha kuwa tokea juzi havikutoka nyumbani that's why nikajaribu kuingia Google kuangalia hizo dalili na nimeiona wanasema ni huo ugonjwa, so mjini usiku huu maduka ya mifugo yashafungwa na. ni almost lisaa limoja kwa pikipiki so nitaenda ssubuhiKwa nini usiende mjini saa hizi?Huoni mtoto atakufa?
Uho ugonjwa na ujua ulishawahi ku ua mbwa wangu sikumbuki unaitwaje lakini wahi haraka kumpa huduma la sivyo utamkosa uyoHabari ndugu wanajamii, Nina kitoto cha mbwa umri miezi mitatu toka juzi ni kagonjwa hakataki chakula, kamelegea, kanalala TU, kalitapika juzi usiku naomba ushauri dawa Gani nitumie
Dalili ni hizo hizo juzi kalijificha nyuma ya kochi sebuleni wakasshau kukatoa nje,asubuhi wife analslamiks mbwa wako ametspika sana sebuleni nikajua huenda kalikula sumu kumbe ni huo ugonjwaMimi nilizika vimbwa 6 sababu ya ugonjwa kama huo,walianza kutapika kila wanachokula kulegea mwili kuharisha damu,nikapeleka hospital dokta anataka kila mmoja alipiwe sh laki mbili na 70,kwa dozing ya siku tatu ,nikashndwa wakafa wote ,kama ni huo ugonjwa kupona ni nadra na kutopewa chanjo kwa wakati
Mkuu,Lisu bado ana safari ndefu kuiwapambania aiseee.....🤨
Mwaka Jana majirani zangu watatu mbwa wote walikufa cha ajabu mpaka Leo wanaamini kuwa waliuliwa na wachawi eti wachawi huonwa na mbwa usiku sijui kama Hilo linaukweli ktk huu mtaa wetu ni mbwa wetu mama wa Hawa ndo hakufa sasa Kuna bwana mdogo wangu anadai wetu hakufa kwa sababu alimlisha nyama ya popo iliyochomwa kwamba kwa kufanya hivyo ndo dawa ya mbwa kutouliwa na wachawi ajabu sana vijijini Kuna Imani potofu sana na dogo ni bachelor holder kabisaMimi nilizika vimbwa 6 sababu ya ugonjwa kama huo,walianza kutapika kila wanachokula kulegea mwili kuharisha damu,nikapeleka hospital dokta anataka kila mmoja alipiwe sh laki mbili na 70,kwa dozing ya siku tatu ,nikashndwa wakafa wote ,kama ni huo ugonjwa kupona ni nadra na kutopewa chanjo kwa wakati
Nimeshaujua Kuna vet mmoja nimemtafuta Yuko kibaha amenismbia ni canine parvovirus amenielekeza mahali pa kwenda kuchukua dawa huku karibu na ninapoishi mkoani maraMkuu,
Tukiacha suala la empathy kukahurumia katoto ka mbwa tu, huoni kuwa ni muhimu kuelewa ugonjwa tusije kuwa na mfumukonwa ugonjwa tusioujua?
Umefanya vizuri sana mkuu.Nimeshaujua Kuna vet mmoja nimemtafuta Yuko kibaha amenismbia ni canine parvovirus amenielekeza mahali pa kwenda kuchukua dawa huku karibu na ninapoishi mkoani mara
Mchome sindano ya pafo huyu mdq si mrefu ukichelewa unamkosaHabari ndugu wanajamii, Nina kitoto cha mbwa umri miezi mitatu toka juzi ni kagonjwa hakataki chakula, kamelegea, kanalala TU, kalitapika juzi usiku naomba ushauri dawa Gani nitumie
achana nayo na afu uwe unaandika vizur na wewe sasa hata wew ulichoandika sikielewi "umeamdika"Yani ameeleza kisa vizuri kabisa halafu mwisho umeamdika "kwa nini"?
Very minor mistake hiyo.Sirekebishi.achana nayo na afu uwe unaandika vizur na wewe sasa hata wew ulichoandika sikielewi "umeamdika"
sasa wewe unataka niandike nini na kama nani. Yaan katoto ka mbwa wewe unataka kunipangia cha kundika ndugu kweli. Jifunze kupita coments zingne plz hapa hakuna cha uandish bora wala niniVery minor mistake hiyo.Sirekebishi.