Mh!rekebisha kwanzausemi wako kuweka kumbukumbu sawa, ili tuendelee na mjadala,je ni mwaka 1995 au mwaka 2005!!
Ndiyo maana mnasema 9/12/1961 ilikuwa siku ya uhuru wa Tanzania bara,badala ya Tanganyika.Tumewazoea kwa kuelezea mambo kinyumenyume!mnaweza mkawa mnasema Mrema kumbe mnamaanisha Dr.Slaa!!
TUKUTUKU samahani nilikosea mimi katika kuandika mwaka ni 1995.Nimesharekebisha kwenye post yangu juu
Last edited by a moderator: