Kitisho cha Dr. Slaa si zaidi ya Mrema - Kinana

Kitisho cha Dr. Slaa si zaidi ya Mrema - Kinana

Jina la Dr. slaa linajadiliwa sana kwa sababu zifuatazo:-
1. Ni kiongozi makini na mwenye busara, hekima na utashi mkubwa
2. Ni mtu muadilifu katika maisha yake
3. Ni mtu mwenye msimamo anayeweza kusimamia jambo analoamini kuwa ni jema kwa utashi mkubwa
4. Ni kiongozi mwenye nidhamu ya hali ya juu sana ktk taifa sasa hivi
5. Ni mtu mwenye moyo wa kuthubutu kufanya lolote wakati wowote ambalo anadhani litakuwa na manufaa kwa wanaomzunguka
6. Ni kiongozi pekee ktk siasa za mageuzi aliyeweza kuwataja kwa majina bila uoga watu alioamini kuwa wala rushwa wakubwa katika nchi hii
na sababu nyinginezo nyingi ambazo zimemfanya awe akiandamwa ktk nyanja zote za maisha yake. Ongeza unazozifahamu
Big up mkuu, kwa hakika Dr. Slaa ni mwiba mchungu mno CCM. Ndiyo maana wanatumia kila fursa kumbomoa. CCM wote, kuanzia Mwenyekiti hadi vilaza wa mitaani wanatamani Dr. Slaa asiwe mgombea 2015, wanahaha kumnyamazisha kwa kutumia mbinu wanazopewa na TISS lakIni ni mfupa mgumu, hawamuwezi.
Na utabiri wa yule Bwana mwenye sura ya kutisha ulitegemea mipango iliyosukwa Kijitonyama, lakini imefeli na karibu itawarudia wenyewe. Wanapata uharo kila siku zinavyosonga kuelekea 2015 na sintashangàa wakimzulia mengi mengine ili mradi apoteze muda kwenye kujibu hoja zao muflisi.
Walianzia udini, wakaja uzinzi, wizi na sasa eti ni kibaraka wao!
La ajabu zaidi ni kwamba kama ni kibaraka wao kwa nini wanapiga kelele, si wamwache awafanyie kazi yao?
 
Jina la Dr. slaa linajadiliwa sana kwa sababu zifuatazo:-
1. Ni kiongozi makini na mwenye busara, hekima na utashi mkubwa
2. Ni mtu muadilifu katika maisha yake
3. Ni mtu mwenye msimamo anayeweza kusimamia jambo analoamini kuwa ni jema kwa utashi mkubwa
4. Ni kiongozi mwenye nidhamu ya hali ya juu sana ktk taifa sasa hivi
5. Ni mtu mwenye moyo wa kuthubutu kufanya lolote wakati wowote ambalo anadhani litakuwa na manufaa kwa wanaomzunguka
6. Ni kiongozi pekee ktk siasa za mageuzi aliyeweza kuwataja kwa majina bila uoga watu alioamini kuwa wala rushwa wakubwa katika nchi hii
na sababu nyinginezo nyingi ambazo zimemfanya awe akiandamwa ktk nyanja zote za maisha yake. Ongeza unazozifahamu

Kumbuka kwamba "Mti wenye matunda mengi ndio hupigwa mawe sana"
 
mWENYE NIDHAMU ANAKAMATWA NA WAKE ZA WATU?
ANAMILIKI KADI MBILI?
ANAASI DINI YAKE?
 
To be honest, Dr Slaa anahofiwa na kuogopwa na CCM
 
Usilete thrid ya Dr Slaa kama hii coz Mwigulu,Kinana na Nape hujifungia chooni kwa miharo.Dr Willy Anawanyanyasa.
 
Kivuli cha Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa kinazidi kukiyumbisha chama tawala CCM.

Baada ya Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kuanzisha kampeni za kila aina ya vituko dhidi ya Dr Slaa na kuonekana kugonga mwamba sasa kampeni hizi zimechukua sura mpya baada ya Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana kujitosa.

Akizungumza na gazeti la Dira Tanzania Kinana amezungumzia kishindo cha Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Slaa na kusema hakimnyimi usingizi.

Kinana amesema pamoja na nguvu za kisiasa alizo nazo Dr Slaa kwa sasa lakini anaamini CCM ilikuwa na wakati mgumu zaidi mwaka 1995 kwani nguvu za Augustine Mrema wa wakati huo zilikuwa kubwa kuliko za Dr Wilbroad Slaa wa sasa.

Source:
DIRA TANZANIA.
 
fmpiganaji Nimeamini Slaa ni hatari.CNN hawajakosea.Naona Kinana ameingia mwenyewe baada ya Nape kugonga mwamba
 
Last edited by a moderator:
Katu asingeweza kukiri kuwa dr slaa anamnyima usingizi ila ANAKUBALI KIMOYOMOYO KUWA DR NI TISHIO LA MAGAMBA
 
nape kagonga mwamba kwenye nini?kinana kaingia mwenyewe kwenye nini?katibu wa chadema kaonyesha kishindo kwenye nini?
mkuu jana ilikuwa week end bado una mninginio?shitua kongoro kwa mama muuza na maji baridi kisha urudi
 
CCM baada ya kutoa single nyingi sana dhidi ya Dr.Slaa ambazo zimeshindwa kuvuma ni bora wakatoa Album kabisa.

Kama JK, Kinana, Wassira, Pinda, Sitta wamekuwa hawapati usingizi kabisa kila wakisikia jina la Dr. Slaa, sijui nani mwingine atawasaidia?
 
Kivuli cha Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa kinazidi kukiyumbisha chama tawala CCM.

Baada ya Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kuanzisha kampeni za kila aina ya vituko dhidi ya Dr Slaa na kuonekana kugonga mwamba sasa kampeni hizi zimechukua sura mpya baada ya Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana kujitosa.

Akizungumza na gazeti la Dira Tanzania Kinana amezungumzia kishindo cha Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Slaa na kusema hakimnyimi usingizi.

Kinana amesema pamoja na nguvu za kisiasa alizo nazo Dr Slaa kwa sasa lakini anaamini CCM ilikuwa na wakati mgumu zaidi mwaka 2005 kwani nguvu za Augustine Mrema wa wakati huo zilikuwa kubwa kuliko za Dr Wilbroad Slaa wa sasa.

Source:
DIRA TANZANIA.
Mh!rekebisha kwanzausemi wako kuweka kumbukumbu sawa, ili tuendelee na mjadala,je ni mwaka 1995 au mwaka 2005!!
Ndiyo maana mnasema 9/12/1961 ilikuwa siku ya uhuru wa Tanzania bara,badala ya Tanganyika.Tumewazoea kwa kuelezea mambo kinyumenyume!mnaweza mkawa mnasema Mrema kumbe mnamaanisha Dr.Slaa!!
 
Mkuu betlehem naona na wewe unaingia sasa, umeguswa hutaki Kinana asemwe au Nape???? Nape kaja na cheap politics za kadi ya chama, mara hoo mkee wa mtu sasa single zoote zime bounce, Mhe Kinana kashituka moto wa Dr. Slaa anadai eti hawezi kufikia Mhe Mrema, kwa taarifa yako enzi zile hakukua na mtandao wa mawasiliano kama sasa!

Watu vijijini wanapata taarifa live kama mijini kwa hiyo uelewa wa watu ni mkubwa kuliko ilivyo kuwa wakati ule, majibu utayapata karibuni!!!
 
Last edited by a moderator:
Mtumishi Wetu

kwani Dr. Slaa kawasha moto gani tena? kwani Slaa alisharudisha ile kadi au bado yuko nayo?

Kwani ni jambo la siri kwemba Slaa ni mtu maarufu! Je ulitaka Kinana aukatae ukweli huu uliowazi kama ninyi CHADEMA mnavyojitahidi kukataa hata vile vizuri wanavyofanya CM japo viko wazi?
 
Back
Top Bottom