Kitisho cha Dr. Slaa si zaidi ya Mrema - Kinana

Kitisho cha Dr. Slaa si zaidi ya Mrema - Kinana

hawa jamaa hata wakiwa kwenye mambo flani na my wife zao wakifika kwenye peak lazima wamtaje Dr Slaa!
 
Wakati wa uchaguzi mkuu 2010, ndugu Kinana - ambaye alikuwa ni meneja wa campaign za mgombea wa M - alisema wangeshinda kwa asilimia 80! Nini kilitokea?

Mapema mwaka huu ndugu Kinana alijiuzulu nafasi zote ndani ya chama chake, na akautangazia umma kuwa baada ya 25 ameona inafaa sasa awaachie watu wengine. Ilichukuwa muga gani kabla ya ndugu Kinana kurudi kwenye siasa?
 
Kinana hana jipia anawapotezea CCM, mwenyewe anaujua mziki wa CHADEMA hadi home kwake a-town....
Wana wameuzingira mji wote kama M23..wanasubirri 2015 wamalize kazi.

Enzi za Mrema na sasa tofauti watu wana mwanga wa kutosha kwa sasa..Mungu ibariki CHADEMA, Mungu iaibishe CCM kila chaguzi zitakazotoka tuwapige chini .amini
 
nape kagonga mwamba kwenye nini?kinana kaingia mwenyewe kwenye nini?katibu wa chadema kaonyesha kishindo kwenye nini?

sasa unaebishana nae ni kinana au nani make ndio kasema dk anakishindi ila co km cha mrema
 
Huo ni uongo mbona wakati wa kampeni walikonda mpaka wana anguka kwenye majukwaa wameanza kunenepa juzi Dr aliwakondesha
 
Hivi Mrema alikuwa na nguvu gani 2005? Si bora angesema Lipumba maana ndiye aliyekuwa mshindi wa 2 akifuatiwa na Mbowe.

Mrema ni 1995 bhana.
msomali tangia lini akajua historia ya Tz ,msamehe bure ana hang over ya dr slaa
 
Katibu wetu mkuu anza ziara mikoani tumekumiss mbaya hasa hapa kwetu sumbawanga nape alizomewa wewe utashangiliwa
Habari za Nape kuzomewa home zilinikuna sana. Niliondoka nyumbani miaka ile wakati magamba wanaimbiwa CCM pambalama pokelela CCM eeh! yaani CCM iko juu ipokee CCM.

Watu wa home wamegutuka mweeeh what a comforting news, keep it up my parents, my brothers and my sisters!
 
Dr Slaa kama wanadhani sio tishio wajue nyuma yake kuna wananchi wenye hasira na maisha duni wakati wachache wanatumbua nchi vilivyo!sasa hao wananchi ndio tishio ambao wako nyuma ya Dr Slaa

Kamanda Lambardi! Wewe Wanena!!!

Tatizo la MAGAMBA hawaoni wala kufikiria zaidi ya urefu wa pua zao. Yaani wao wameng'ang'ana na Dr. Slaa kila uchwao. Wanashindwa kuona kwamba ipo nguvu kubwa sana ya UMMA iliyo nyuma ya CHADEMA. Watatoka na single nyingi na zote hatabamba soko. CHADEMA single moja ya UFISADI hadi leo inatesa MAGAMBA na imekamata soko ki aina. Nasikia kuna single mpya ipo jikoni na Ma-composers wanaipangilia tunes/lyrings huku wakifiatilia na kupata ushahidi wa kila kitu. Na bahati nzuri Intekijensia inasema wanapata ushirikiano wa hali ya juu kila ofisi husika.

mambo yakikamilika ni kusubiri tu wakati na mazingira muafaka kuibwaga sokoni hiyo single, halafu uone kama MAGAMBANI kutakalika. Hapo hakuna cha huyo WEKA MBALI NA TEMBO wala cha kijana wa MKOROGO.

Na kwa kimywa chake atakiri kwamba Dr. kumbe sie wa kumlinganisha na Mzee wa Kiraracha ama Mzee wa siku 7.
 
wale wanaolipwa ili kukesha jamii forum usiku na mchana jukwaa la siasa utawajua tu
hawana point.wao wanapinga kila kitu ili kutetea chama chetu hata penye uozo
njaa mbaya.sina haja kuwataja wanajijua.
hata mtoto wa darasa la Kwanza anajua Dr Slaa sio mchezo
ndio tegemeo la ukombozi,
watu wa chama chetu acheni ubiishiiiiii kulinda matumbo yenu
 
Habari za NEPI kuzomewa home zilinikuna sana.Niliondoka nyumbani miaka ile wakati magamba wanaimbiwa CCM pambalama pokelela ccm eeh!yaani ccm iko juu ipokee ccm. Watu wa home wamegutuka mweeeh what a comforting news, keep it up my parents, my brothers and my sisters!

mwendo uliopo sasahivi ni CHADEM pambalama pokelela chadema pambalama.
 
Kinana hajui alisemalo, angeona tofauti hizi angejua huu mziki wa Dr.Slaa ni mkubwa sana kwa sasa, kwa mfano


  1. 1/Dr.Slaa anajenga mfumo wa chama imara na sio jina lake binafsi.
  2. Dr.Slaa amesimamia hoja zake na wala sio upepo wa kisiasa unaopita tu.(Agenda ya Mrema ilikuwa ni kwenda Ikulu tu)
  3. Dr. Slaa yupo kwenye Chama imara cha CHADEMA na yeye sio wa kipekee katika CHADEMA (Tofauti na Mrema ambaye alikuwa ndio kila kitu ndani ya NCCR)
  4. Kwa sasa Technologia ya mawasiliano imekuwa kubwa sana ikiwemo JF (Nguvu ya propaganda za CCM imepunguzwa sana)
  5. Upeo wa wananchi kisiasa umekuwa mkubwa sana (Mfano Zomeazomea aliyokutana nayo Kinana juzi juzi huko Rukwa, Mtwara nk)
  6. CCM ya sasa ni dhaifu sana kupambana na CHADEMA yenye watu kama Dr.Slaa, Mbowe, Lissu, Mnyika nk (Wakati ule wa Mrema, CCM ilikuwa na Mtu kama Nyerere, mtu aliyeshimika, aminika na kupendwa na watanzania wengi sana lakini kwa sasa CCM inawategemea mafisadi na wahuni kama JK, Kinana, Lowassa, Nape, Lusinde, Mwigulu nk ili kupambana na CHADEMA)
 
Magamba wanahangaika kutumia media, kushurutisha serikali kutoa takwimu za kisiasa ili kuiokoa ccm 2015. Wasipate shida watwambie pembe za ndovu, twiga, madini yanayotoroshwa wahusika wamechukuliwa hatua gani?
 
Kivuli cha Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa kinazidi kukiyumbisha chama tawala CCM.

Baada ya Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kuanzisha kampeni za kila aina ya vituko dhidi ya Dr Slaa na kuonekana kugonga mwamba sasa kampeni hizi zimechukua sura mpya baada ya Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana kujitosa.

Akizungumza na gazeti la Dira Tanzania Kinana amezungumzia kishindo cha Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Slaa na kusema hakimnyimi usingizi.

Kinana amesema pamoja na nguvu za kisiasa alizo nazo Dr Slaa kwa sasa lakini anaamini CCM ilikuwa na wakati mgumu zaidi mwaka 1995 kwani nguvu za Augustine Mrema wa wakati huo zilikuwa kubwa kuliko za Dr Wilbroad Slaa wa sasa.

Source:
DIRA TANZANIA.

Na huyu msomi wa Havard naye kajingiza katika tope la kumpa ujiko Dr? Kweli CCM wapo hoi.

Kinana kabanwa, tunasubiri aachie kama wenzake.
 
Kinana amesema pamoja na nguvu za kisiasa alizo nazo Dr Slaa kwa sasa lakini anaamini CCM ilikuwa na wakati mgumu zaidi mwaka 1995 kwani nguvu za Augustine Mrema wa wakati huo zilikuwa kubwa kuliko za Dr Wilbroad Slaa wa sasa.

Source:
DIRA TANZANIA.
ya mwembeyanga,bungeni na uchaguzi mkuu 2010 nayo ni sasa
 
MH. kinana amechemka Mrema kumlinganisha na Dr. Slaa. Hawa ni watu wawili tofauti wenye strategy tofauti .
 
Ndio yeye huyo na serikali imekaa kimyaa. Ingekuwa wewe sasa ndo chombo chako kimekamatwa na nyara za serikali kama hizo hahaha, mbona jera unaiona ile pale mbele yako

mabondia wetu walikamatwa nchi fulani wakiwa na madawa ya kulevya wakapelekwa mahakamani hukohuko.nchini kwetu kiongozi wao akakamatwa na kupelekwa mahakamani.au ndio kumwonea mbuzi na kumwogopa ng'ombe?.
 
Kinana hajui alisemalo, angeona tofauti hizi angejua huu mziki wa Dr.Slaa ni mkubwa sana kwa sasa, kwa mfano

1/Dr.Slaa anajenga mfumo wa chama imara na sio jina lake binafsi.

2/Dr.Slaa amesimamia hoja zake na wala sio upepo wa kisiasa unaopita tu.(Agenda ya Mrema ilikuwa ni kwenda Ikulu tu)

3/Dr. Slaa yupo kwenye Chama imara cha Chadema na yeye sio wa kipekee katika Chadema(Tofauti na Mrema ambaye alikuwa ndio kila kitu ndani ya NCCR)

4/Kwa sasa Technologia ya mawasiliano imekuwa kubwa sana ikiwemo JF(Nguvu ya propaganda za CCM imepunguzwa sana)

5/Upeo wa wananchi kisiasa umekuwa mkubwa sana(Mfano Zomeazomea aliyokutana nayo Kinana juzi juzi huko Rukwa, Mtwara nk)

6/CCM ya sasa ni dhaifu sana kupambana na CHADEMA yenye watu kama Dr.Slaa, Mbowe, Lissu, Mnyika nk
(Wakati ule wa Mrema, CCM ilikuwa na Mtu kama Nyerere, mtu aliyeshimika, aminika na kupendwa na watanzania wengi sana lakini kwa sasa CCM inawategemea mafisadi na wahuni kama JK, Kinana, Lowassa, Nape, Lusinde, Mwigulu nk ili kupambana na CHADEMA)

Mkuu Concrete Asante sana kwa hoja zako.mujarab.
 
Last edited by a moderator:
Alisema kampuni ni yake ila cargo siyo yake Marire.
Ndiyo hayo hayo, nisawa na kusema hujaiba ila kitu cha wizi kimekutwa kwako. Kisheria wewe ni mwizi tu unless utuambie sasa umekipatapataje. Kinana hajafanya hivyo hadi sasa, nilitegemea polisi ingemkamata Kinana na kumweka ndani ili aeleze huo mzigo wa meno aliupokea kutoka kwa nani, ila kwa vile polisi inajua mzigo huo ni wa mwenye kampuni, hadi leo hawajajigusa.
 
Back
Top Bottom