Wingu
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,318
- 409
Labda for josefina 2015
Edo na ndugu zako hao, your days are numberd. Slaa for presidence 2015
Edo na ndugu zako hao, your days are numberd. Slaa for presidence 2015
The fact is DR ameshachafuliwa kiasi cha kutosha. Maneno yote yanayozagaa mitaani huwa yanaacha taathira kwa mtu mwenye kufikiri. Hebu angalia;
1) Walianza kumpakazia kwamba amepora mke wa mtu, yakawekwa stoo na watu mpaka leo wanayaamini
2) Wakampakazia kuwa alikuwa na ajenda ya kanisa 2010, watu wakaweka stoo
3) Wakampakazia ana kadi ya CCN, akthibitisha mwenyewe na ndio propaganda kwa sasa.
Watu wana upeo tofauti wa kuchanganua mambo lakini amini usiamini haya maneno yamemharibia kwa kiasi kikubwa tu. Utapimaje impact, subiri miaka mitatu ijayo.
Hakuna lolote mwana wane saana sana wanazidi kumpatia umaarufu, juzi mkubwa mmoja wa CCM kaulizwa swali la fedha za Uswiss huko Musoma, kaamuru watu wakamatwe wawekwe ndani!!! Watu wanasomeshwa na Dr wa ukweli na somo sasa linaeleweka, 2015 matokeo ya somo utayaona!!!The fact is DR ameshachafuliwa kiasi cha kutosha. Maneno yote yanayozagaa mitaani huwa yanaacha taathira kwa mtu mwenye kufikiri. Hebu angalia;
1) Walianza kumpakazia kwamba amepora mke wa mtu, yakawekwa stoo na watu mpaka leo wanayaamini
2) Wakampakazia kuwa alikuwa na ajenda ya kanisa 2010, watu wakaweka stoo
3) Wakampakazia ana kadi ya CCN, akthibitisha mwenyewe na ndio propaganda kwa sasa.
Watu wana upeo tofauti wa kuchanganua mambo lakini amini usiamini haya maneno yamemharibia kwa kiasi kikubwa tu. Utapimaje impact, subiri miaka mitatu ijayo.
Wachawi huwajuwa wachawi wnzake, Wewe umelipwa shilingi ngapi kujidhalilisha na uharo huu hapa??? Kwanini msimshauri arudishe tu kadi ya magamba!?????yaishhe jamani? Ukivuliwa taulo chutama babu!!
Watu wanasomeshwa na Dr wa ukweli na somo sasa linaeleweka, 2015 matokeo ya somo utayaona!!!
Hapo umenena mkuu! haya mambo ya kuhangaika na kadi wakati wananchi wana njaa sio ishu! safii sana au sio!Maslahi ya nchi ni zaidi ya karatasi chafu ya ccm. DR. Slaa kurudisha kadi ya walaaniwa ccm siyo mada kwangu mimi. Kwanza ccm waturudishie fedha zote zilizoporwa na waturudishie maeneo yaliyoachwa mashimo, waturudishie fedha za Uswis, meno ya tembo, magogo ya misitu, fedha anazosafiri nazo kikwete as if ni mfalme, waturudishie..... kadi ya ccm kitu gani bwana? Hii biashara ya kuhangaika na karatasi ya ccm ni upuuzi.
Kwanini na wewe usiwe umepewa Hela ili umchafue Membe na wenzake uliowataja?kwa ni unafikiri maaadui wa Slaa ni hao tu ?,What about the Guy aliyeporwa Mke na Slaa hivi na a deserve kuwa Adui wa Slaa?.
Nimkuomba ushahidi hebu toa humu ndani kwa ababy tayari yeye Zitto ameshakana,toa ushahidi ili usionekane wewe umetumwa na wabaya wa zitto.halafu kuwa makini na mwangalifu kwenye maandiko yko.
Sijakuuliza wewe acha umbea!!!na kama umembeeka basi ungejibu kwanza kisha ukauliza swali lako usitake kuniondoa kwenye hoja yangu Concrete!!!!!!
Haya ni mapambano na hakuna kumdharau adui. Lazima tupambane nao kwa silaha stahiki. Tunavitaka vyombo vya chama vinavyohusika kuchukua hatua mara moja kukomesha upuuzi huo.
Si lazima kujibishana nao, lakini ikiwa katiba ya chama inazuia uasi wa namna hiyo, basi tusichelewe kuwafungia kazi hawa jamaa. Tuwakatae mara moja kwamba si wenzetu katika safari hii ya mageuzi. Let us deprive them of the ground on which they are standing. Let us refuse them our identity and make them swim in the air.
UFANYIKE UCHUNGUZI NA SEKRETARIATE YA BAVICHA AU YA CHAMA ITANGAZE KUTOWATAMBUA WATU HAWA MARA MOJA.
Change is always painful and expensive, but he who accepts to pay its price is awarded endlessly.
Nimetoka kupigwa BAN juzi!! ila kila nikusoma JiNA NAPE ninasikia kutapika tu!!Nimesikitishwa sana na vijana wenzangu kutumika kisiasa kiasi cha kuudhalilisha utu wao. Kijana aiitwaye EDO MWAMA LALA, aliyekuwa katibu wa BAVICHA mkoa wa Mbeya na Adam CHEGULANI (diwani wa jiji la mwanza aliyenyang'anywa kadi),wote hawa walifukuzwa Chadema kwa kutokuwa waadilifu. Wapo kwenye kibarua haramu cha kuhakikisha wanawashawishi vijana (hasa BAVICHA)kutoa matamko ya kumhujumu Dr. Slaa kisiasa kupitia vyombo vya habari.
Na wameanza mpango wao na kwa kiasi kikubwa wameanza kufanikiwa, kwani wamefanikiwa kumshawishi katibu wa BAVICHA mkoa wa MWANZA, ndugu SALVATORY SHUKURU MAGAFU kutoa tamko kwenye vyombo vya habari kuomba chama kimfukuze Dr. Slaa chamani. Pia leo hii tayari wanaye kijana mwingine maarufu wa chadema, atakae toa tamko muda wowote kuanzia sasa, kijana huyu wamemlipia hoteli moja maarufu iliyopo hapa jijini na kumpa fedha za kutosha ili atoe tamko kali la kumlaani Dr. Slaa.
Kwa huu mpango (walioupa jina la MWISHO WA SLAA) ulivyo watajitokeza vijana wengi sana watakaotoa matamko kumlaani Dr. Slaa kwa kutumia mwavuli wa BAVICHA imesema. Kwa akili zao zilivyofupi kama maisha ya funza wanadai wanadhamiria kumuua kabisa Dr. Slaa kisiasa. Na vijana wengi wamekuwa wakishawishika na upumbavu huu wa EDO na ADAM kwasababu ya fedha nyingi wanazopewa baada ya kukamilisha kazi hiyo.
Mpango huu unaofanywa na EDO MWAMALALA na CHAGULANI nyuma yake unafadhiliwa na BERNARD MEMBE, MWIGULU NCHEMBA, NAPE NNAUYE, kwa taarifa nilizo nazo na za kuaminika vijana hawa wanalipwa fedha nyingi sana na viongozi hao waandamizi wa CCM na SERIKALI ambao wamekosa sera na kuamua kuingia kwenye siasa za taarabu.
Kwa Binafsi yangu napenda nitoa tamko rasmi la kulaani kwa nguvu zote vijana wote wa BAVICHA wanaoendekeza njaa mbele na kuweka masilahi ya chama kando kuacha mara moja mchezo huu mchafu. Waache kuwa na akili za Samaki na hatimaye wajitegemee kisiasa. Na niwaombe viongozi hawa wa CCM waache kutumia tatizo la umasikini wa vijana hawa kuwarubuni na kuwatumia wenzao kama mipira ya mapenzi.
Ili kuepuka siasa hizi zisizo na tija kwa jamii niwaombe viongozi wenzangu wa BAVICHA kuachana na kujibizana na hawa wapumbavu, kwani ukijibizana na mpumbavu na wewe pia utakuwa mpumbavu, dhumuni lao tutumie muda mwingi kujibizana nao na tupuuze kujadiliana mambo ya msingi kwa mustakabali wa TAIFA.
CHADEMA tutaendelea kuwa na nguvu na kamwe hatuwezi kupunguzwa nguvu na siasa laini kama hizi. Kinachoshangaza ni kuona anayefadhili ushenzi huu ana ndoto za kuwania Uraisi katika nchi yetu, kweli kwa siasa laini hivi uraisi atauweza?
Imekuwa ni kama tabia yake ya kuwatumia vijana kutimiza malengo yake, kwani ni wazi katika mkutano mkuu wa CCM uliofanyika mkoani Dodoma alituhumiwa na wajumbe wenzie kutumia vijana kusambaza vipeperushii vilivyokuwa vikiwaomba wajumbe wa mkutano huo kumkataa Mwenyekiti wao kwa kisingizio cha kumpunguzia majukumu.
Sasa kashindwa huko anakuja kuingilia siasa za CHADEMA kwa kuwatumia vijana wetu wasiokuwa waadilifu; nimwambie kwa upendo tu kwamba CHADEMA TUKO IMARA KAMA CHUMA.
Na. Alex Nicholaus Thomas MUSHI,
Mjumbe wa Baraza kuu la CHDEMA-Taifa,
Mjumbe wa kamati tendaji BAVICHA-Taifa.
Siyo vibaya hata kidogo. Kinachogomba hapa ni kuingia tena kwenye makundi kama ilivyo CCM. Unakumbuka jinsi Salimu Ahmed Salim alivyoshughulikiwa kwa majungu. Na hii laana ya makundi inaila CCM hadi kesho.Hebu ngoja,kwani ni vibaya Zitto kuwa Rais??!!!