Kitendo cha Misri kujenga ukuta mwengine upande wake kina maana gani. Wana njama na Israel au ni huruma kwa wapalestina

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,200
10,945
Hivi karibuni Benjamin Netanyahu alisikika akisema anataka jeshi lake liingie Rafah na kufanikisha mpango wake wa kuwamaliza Hamas kabla mwezi mtukufu wa Ramadhani haujaingia hapo Machi 10.

Baada ya kitisho hicho Misri imekuwa ikitishia kuvunja mkataba wa camp david baina yake na Israel.Hata hivyo kitendo cha kupeleka Jeshi kujenga ukuta mwengine ndani ya upande wake pembezoni mwa jangwa la Sinai kunaweza kukazusha wasi wasi juu ya nia yake hasa.

Jee ujenzi huo ni kambi nyengine kwa ajili ya watu wa Gaza au ni kwa ajili ya kambi ya jeshi lake kulinda mpaka huo.

Na jee kitendo cha Israel kusitisha kwa muda zoezi la kuingia Gaza kwa kutumia vikosi vya ardhini wamesikia nasaha za walimwengu kwamba kutasababisha madhara makubwa bila kutoa tija au ni kusubiri ujenzi huo unaofanywa na Misri ukamilike.

Wasi wasi huo umekuja baada ya picha za satelite kuona ukuta mkubwa ukijengwa takriban maili mbili upande wa Misri kutoka ukuta mwengine iliyojenga hapo awali wenye seng'enge juu yake.

Gaza si eneo la Israel na linakaliwa na watu wenye uhusiano mkubwa na Misri.Kilichotarajiwa kufanywa na Misri ili kuwalinda na kuwasaidia watu wa Gaza na kuingiza jeshi lake upande wa pili ndani ya Gaza ili kuzuia israel isifike hapo katika kuwawinda kwao Hamas.
 
Yaani misri aingize jeshi lake gaza?

Unachekesha sahau iyo kitu kwa taarifa yako Hakuna nchi inawataka hao watu Wenye msimamo mkali kwenye ardhi yao misri sio mjinga kukalibisha vita kwenye ardhi yao kwa kuwaalika magaidi sebureni kwao

Ndio Kwanza anajenga ukuta nobody in nobody out
 
Hivi karibuni Benjamin Netanyahu alisikika akisema anataka jeshi lake liingie Rafah na kufanikisha mpango wake wa kuwamaliza Hamas kabla mwezi mktukufu wa Ramadhani haujaingia hapo Machi 10.
Baada ya kitisho hicho Misri imekuwa ikitishia kuvunja mkataba wa camp david baina yake na Israel.Hata hivyo kitendo cha kupeleka jeshi kujenga ukuta mwengine ndani ya upande wake pembezoni mwa jangwa la Sinai kunaweza kukazusha wasi wasi juu ya nia yake hasa.

Makubwaaa!
 
Sahihi kabsa! Wasije wakaanzisha tena mambo ya Muslim brotherhood. Ikawa kero kwa jamii ya wastarabu ndani ya Misri
 
Tulikwambia ujifunze vizuri hayo mambo ya mashariki ya kati wewe ukaona kuwa tunakuonea kisa bado mdogo na wewe eti umesimuliwa tu!
 
Ila ustadhi mlituhabarisha kwamba wanaupinde wanapelekewa moto na Hamas Hadi wanakimbia.
Hilo si uongo .Kwani huu ni mwezi wa ngapi.Katika historia ya Israel haijawahi kupigana vita virefu kama hivi.
Na wanapigana na nani sasa?.Kikundi kilichozingirwa kwa miaka kadhaa na kisichokuwa na silaha za kisasa na zaidi wamewazuilia chakula na kila kitu.
Historia mwaka huu itaandikwa kinyume nyume.
 
Israel akiwahuruia mnasema anawaogopa hamas, akitoa kipigo kwa hamasa na human shield wa hamas mnasema anaua watoto, wanawake na wazee, hao Israel inaua hao watoto, wazee na wanawake hamasi wako wapi ili wazuie huo uovu wa Israel? Wanaume wa kipalestina wamefanyiwa udhalilishaji wa kuvuliwa nguo hadharani na kupakiwa kwenye mafuso ya Israel hamas walikuwa wapi? Kwanini hawajajitokeza ili kuwalinda wapalestina? Hiyo biashara ya hamas ni mbaya sana ya kuvamia Israel na kukimbia kujificha majumbani, hata huku Tanzania watu wakifanya uharifu na kwenda kujificha kwenye raia wema na raia wema wanawaficha, mara nyingi polisi huwa inazoa zoa hata innocent people itajulikana mbele kwa mbele.
 
Inachofanya Israel kwa namna yoyote hailingani na ukweli kuhusu Hamas na haizingatiji uovu inaofanya kwa wapalestina maeneo yote.
Hamas kwa vile si jeshi kama la IDF hawana sababu ya kujitokeza kupigana ana kwa ana na Israel.Wanachofanya kupiga na kujificha kwenye mahandaki ni sahihi kabisa.
 
Misri ya al sisi sio yakuiamini hata sekunde tatu yaani
Hawa Usikute yeye na israhell lao moja hawa wajinga
Hamas kamatieni hapo hapo mpaka magaidi waondoke ukanda wa ghaza kinguvu yaaani maana ndio lugha pekee wanayo ielewa magaidi ya kizayuni
 
Hivi karibuni Benjamin Netanyahu alisikika akisema anataka jeshi lake liingie Rafah na kufanikisha mpango wake wa kuwamaliza Hamas kabla mwezi mktukufu wa Ramadhani haujaingia hapo Machi 10.
Baada ya kitisho hicho Misri imekuwa ikitishia kuvunja mkataba wa camp david baina yake na Israel.Hata hivyo kitendo cha kupeleka jeshi kujenga ukuta mwengine ndani ya upande wake pembezoni mwa jangwa la Sinai kunaweza kukazusha wasi wasi juu ya nia yake hasa.
Jee ujenzi huo ni kambi nyengine kwa ajili ya watu wa Gaza au ni kwa ajili ya kambi ya jeshi lake kulinda mpaka huo.
Na jee kitendo cha Israel kusitisha kwa muda zoezi la kuingia Gaza kwa kutumia vikosi vya ardhini wamesikia nasaha za walimwengu kwamba kutasababisha madhara makubwa bila kutoa tija au ni kusubiri ujenzi huo unaofanywa na Misri ukamilike.
Wasi wasi huo umekuja baada ya picha za satelite kuona ukuta mkubwa ukijengwa takriban maili mbili upande wa Misri kutoka ukuta mwengine iliyojenga hapo awali wenye seng'enge juu yake.
Gaza si eneo la Israel na linakaliwa na watu wenye uhusiano mkubwa na Misri.Kilichotarajiwa kufanywa na Misri ili kuwalinda na kuwasaidia watu wa Gaza na kuingiza jeshi lake upande wa pili ndani ya Gaza ili kuzuia israel isifike hapo katika kuwawinda kwao Hamas.
mlipoanzisha ugomvi mlitarajia Misri ishiriki km ule mwaka 1967 , wanaijua hiyooo .....
 
Hilo si uongo .Kwani huu ni mwezi wa ngapi.Katika historia ya Israel haijawahi kupigana vita virefu kama hivi.
Na wanapigana na nani sasa?.Kikundi kilichozingirwa kwa miaka kadhaa na kisichokuwa na silaha za kisasa na zaidi wamewazuilia chakula na kila kitu.
Historia mwaka huu itaandikwa kinyume nyume.
kwan israel wabafikaj rafah kama hawajamaliza huku katikati ?
 
Misri ya al sisi sio yakuiamini hata sekunde tatu yaani
Hawa Usikute yeye na israhell lao moja hawa wajinga
Hamas kamatieni hapo hapo mpaka magaidi waondoke ukanda wa ghaza kinguvu yaaani maana ndio lugha pekee wanayo ielewa magaidi ya kizayuni
mlisema hawawez ingia Gaza
 
kwan israel wabafikaj rafah kama hawajamaliza huku katikati ?
Wanaharakisha mambo kama kampeni ya kuwaliwaza waisrael ambao wamechoka vita na umaskini unawanyemelea
Ni kweli huku katikati shida yao ni chakula tu lakini Hamas wapo pale pale na Gaza City inaanza kupata uhai wake.
Sasa hivi ni mapigo ya kujionesha tu na sio ya kutafuta ushindi kwani wameshaukosa.
 
Back
Top Bottom