Kitendawili Kisa Cha Rais Biden wa USA kuondolewa na Chama chake Cha Democrats na Sarakasi ya CCM na Samia Dodoma. Yajayo yanafurahisha.

Mikael Aweda

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
3,129
Reaction score
4,285
Muda wa kampeni ukafika. Kampeni ilianza kati ya Trump na Rais Joe Biden. Mdahalo wa kwanza ukaandaliwa kati ya Trump na Biden. Biden akafanya vibaya pamoja na kuibiwa maswali ya mdahalo kabla.

Ikumbukwe Establishment ya Democrats akina Obama, Schumer na vigogo wengi hawakumtaka Biden Toka Mwanzo lakini walishindwa kumwambia kwa kuwa Yuko madarakani.

Baada ya mdahalo wakajilipua kumtoa kwa nguvu.
Biden akamind sana. Alijua Makamu wake Haris Kamala naye anampinga kwa Siri huku anajua uwezo wake ni Mdogo.
Biden bila kufuata utaratibu Wala kuandaa Chama chake akajiuzulu na kumtangaza Makamu wake kuwa Mgombea wa Democrats kwa ghafla. Muda wa kurudi kwenye mchakato ulikuwa umeshaisha. Rais Biden hakumuunga mkono Makamu wake. Akaanza kutoa kauli tata za kuharibu kampeni za Chama chake kilichomtoa yeye. Trump akashinda kwa kishindo movie ikaishia hapo.

Wakati ikiwa jioni CCM wanataka Mgombea urais mwingine. Rais Samia akikaa pembeni na kusimamia haki bin haki Kama Biden alivyofanya itakuwaje?

Kwa Maoni yako ni Chama gani kitashinda?
Kitendawili ......Tega........
 
Uchafu
 
Ni muktadha tofauti kidogo. Huku tuna chama Dola! Lazima CCM itashinda hata wakimweka Bashite.

Ngoja tusubiri hii muvi
 
Muda wa kampeni ukafika. Kampeni ilianza kati ya Trump na Rais Joe Biden. Mdahalo wa kwanza ukaandaliwa kati ya Trump na Biden. Biden akafanya vibaya pamoja na kuibiwa maswali ya mdahalo kabla.

Ikumbukwe Establishment ya Democrats akina Obama, Schumer na vigogo wengi hawakumtaka Biden Toka Mwanzo lakini walishindwa kumwambia kwa kuwa Yuko madarakani.

Baada ya mdahalo wakajilipua kumtoa kwa nguvu.
Biden akamind sana. Alijua Makamu wake Haris Kamala naye anampinga kwa Siri huku anajua uwezo wake ni Mdogo.
Biden bila kufuata utaratibu Wala kuandaa Chama chake akajiuzulu na kumtangaza Makamu wake kuwa Mgombea wa Democrats kwa ghafla. Muda wa kurudi kwenye mchakato ulikuwa umeshaisha. Rais Biden hakumuunga mkono Makamu wake. Akaanza kutoa kauli tata za kuharibu kampeni za Chama chake kilichomtoa yeye. Trump akashinda kwa kishindo movie ikaishia hapo.
Wakati ikiwa jioni CCM wanataka Mgombea urais mwingine. Rais Samia akikaa pembeni na kusimamia haki bin haki Kama Biden alivyofanya itakuwaje?
Kwa Maoni yako ni Chama gani kitashinda?
Kitendawili ......Tega........
ccm hawa watagombana wenyewe kwa wenyewe ila kuruhusu madaraka yaende upinzani ntakua wa mwisho kuamini hilo.

hata jana polepole swali la wagombea wa vyama kutokuwa na sifa / kuchaguliwa aliliruka kimkakati

huku kwetu ballot ni ceremonial
 
Muda wa kampeni ukafika. Kampeni ilianza kati ya Trump na Rais Joe Biden. Mdahalo wa kwanza ukaandaliwa kati ya Trump na Biden. Biden akafanya vibaya pamoja na kuibiwa maswali ya mdahalo kabla.

Ikumbukwe Establishment ya Democrats akina Obama, Schumer na vigogo wengi hawakumtaka Biden Toka Mwanzo lakini walishindwa kumwambia kwa kuwa Yuko madarakani.

Baada ya mdahalo wakajilipua kumtoa kwa nguvu.
Biden akamind sana. Alijua Makamu wake Haris Kamala naye anampinga kwa Siri huku anajua uwezo wake ni Mdogo.
Biden bila kufuata utaratibu Wala kuandaa Chama chake akajiuzulu na kumtangaza Makamu wake kuwa Mgombea wa Democrats kwa ghafla. Muda wa kurudi kwenye mchakato ulikuwa umeshaisha. Rais Biden hakumuunga mkono Makamu wake. Akaanza kutoa kauli tata za kuharibu kampeni za Chama chake kilichomtoa yeye. Trump akashinda kwa kishindo movie ikaishia hapo.
Wakati ikiwa jioni CCM wanataka Mgombea urais mwingine. Rais Samia akikaa pembeni na kusimamia haki bin haki Kama Biden alivyofanya itakuwaje?
Kwa Maoni yako ni Chama gani kitashinda?
Kitendawili ......Tega........
Mama Samia Na Jakaya kikwete Forever!

Join the movement NOW!
 
CCM inaangaika kulibeba zigo la mavi badala ya kubeba taifa
 
Sio kwa nchi hii.
Kwa Magufuli mlilewa na kunywa sana, matokeo yake tukaletewa Aliyemzaa Shetani kabisa
Nakumbuka mme wangu anarudi saa sita usiku ananambia unalala nini taifa lina msiba 😮, kwa shangwe na vigere gere nikaenda kwa mangi kunnua safari kubwa? Kumbe Mungu anasema ntawanyoosha anaekuja ni afadhali ya alietoka 😭😭😭😭😭
 
Back
Top Bottom