Kitabu cha mwanzo na sayansi kuhusu umbo la dunia

Ule Mwanzo Kifungu cha 9 mstari8------ utakutana na Msemo wa Mungu kuwa hataleta tena mafuriko hadi milele, kitu ambacho si kweli,mafuriko yanaendelea kuja kila mwaka na yanaua watu na kuharibu mali.

Au ule upinde wa mvua nao eti ni alama ya agano hilo, wakati ki sayansi upinde unatokana na refraction of light wakati wa mvua au mawingu.Lakini inasemwa eti ndio alama ya kumkumbusha Mungu asilete tena mafuriko.

Mbona upinde unatoka na Mungu huyo hakumbuki ,mafuriko kila mwaka?
Kitabu hiki kinatia shaka sana 'Authenticity' yake

Lengo la biblia ni kumtawala mtu basi

Ukiiangalia biblia na qoran zimejaa hadithi na visa vya kubuni ili waendelee kutawala watu
 
Wangap leo wanafanya mamb kwa njia hasi hata kupelekea vifo vyao lakin mungu hawahamishi njia hiyo? kwann babel tower ikamuuma sana? ange acha mainjinia tu wapige kazi.
Kwani hata shetani alimuhakikishia Bina damu kuwa ule mti akila utampa manuufaa ya kujifahamu, Mungu alimuachia tuu bila ya kuingilia kati,halafu baadae akajamlaumu Adamu kwa kula mti aliokatazwa.

Kufanya kwake vile iliokuwa sababu ya Bina Damu atolewe Eden ili aanze maisha yake Ardhini kama alivyokusudiwa
 
Lengo la biblia ni kumtawala mtu basi

Ukiiangalia biblia na qoran zimejaa hadithi na visa vya kubuni ili waendelee kutawala watu
Tofautisha visa vya kubuni na vile vya kweli. Visa vy qur-an vyote vimekuwa proved kwenda na ukweli mtupu ,tena wala havipingani na sayansi.

Labda wewe unitolee kimoja kwenye Qur-an unadhani ni cha kubuni ili kuthibitisha kauli yako.
Mimi nimetowa hapo juu kwenye Biblia tayari. pls
 
Tofautisha visa vya kubuni na vile vya kweli,
Visa vy qur-an vyote vimekuwa proved kwenda na ukweli mtupu ,tena wala havipingani na sayansi.
Labda wewe unitolee kimoja kwenye Qur-an unadhani ni cha kubuni ili kuthibitisha kauli yako.
Mimi nimetowa hapo juu kwenye Biblia tayari.pls

Kwa mujibu ya Quran mtu wa kwanza ni Adam

Je ww mpk karne hii unakubali mtu wa kwanza alikuwa ni Adam?
 
Kwani hata shetani alimuhakikishia Bina damu kuwa ule mti akila utampa manuufaa ya kujifahamu, Mungu alimuachia tuu bila ya kuingilia kati,halafu baadae akajamlaumu Adamu kwa kula mti aliokatazwa.
Kufanya kwake vile iliokuwa sababu ya Bina Damu atolewe Eden ili aanze maisha yake Ardhini kama alivyokusudiwa
Hakuna shetani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vipi na wewe sio binadamu wa kubuni?

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"

Ujinga ni hali inayomkuta mtu pindi akikosa elimu

"Sema je wanaweza kuwa sawa wale wanaojua na wasiojua? Wanaotanabahi ni wale wenye akili tu wala sio wajinga " Quran 39:9
 
Kitabu cha mwanzo ni story za kubuni hakina uhalisia wowote kuhusu uumbaji
Ukitaka kujua kiundani labda nikuulize kitabu cha mwanzo kiliandikwa na nani na mwaka gani?

Na hao waliondika walikuwa watu wa taifa gani?

Maswali mazuri. Ngoja tusubiri majibu toka kwa wajuzi.
 
Lengo la biblia ni kumtawala mtu basi

Ukiiangalia biblia na qoran zimejaa hadithi na visa vya kubuni ili waendelee kutawala watu

Unaweza kuthibitisha ni kisa gani kilichobuniwa kwenye Qur'aan na kimebuniwa na nani na umejuaje hilo ?

Ahsante.
 
Ujinga ni hali inayomkuta mtu pindi akikosa elimu

"Sema je wanaweza kuwa sawa wale wanaojua na wasiojua? Wanaotanabahi ni wale wenye akili tu wala sio wajinga " Quran 39:9

Safi kabisa, naona umeinukuu Qur'aan vipi unaiamini au kinyume chake ?
 
Safi kabisa, naona umeinukuu Qur'aan vipi unaiamini au kinyume chake ?

Sio kama naipinga wala siiamini ijapokuwa ina maneno mazuri
Sasa mtu hana elimu ni mjinga anaweza kuilewa Quran wakati yeye ni mjinga

Hukikosa elimu unakuwa umekosa vitu vingi sana
 
Na maendeleleo yoote ya unajimu ina Hata picha za satellite hatuzioni kwa macho?
 
Siku hizi hakuna mass hallucinations kama ile ya babeli.. Iliwahi kutokea tu Sodoma na Gomora.. Na siku hizi hatufanyi mambo kwa imani moja kama ilivyokuwa Babeli
wang

wangap leo wanafanya mamb kwa njia hasi hata kupelekea vifo vyao lakin mungu hawahamishi njia hiyo? kwann babel tower ikamuuma sana? ange acha mainjinia tu wapige kazi

Jr
 
Back
Top Bottom