Kitabu cha mwanzo na sayansi kuhusu umbo la dunia

Sasa si ukaulize darasani wakati unasoma?
kama kuna kitu kinakukwaza ,wakati uko na mwalimu muulize.Na kama mwalimu kakufungia mlango ruka dirishani katafute mwalimu mwingine.
Kama Ukiristo unakuzuia kuuliza maswalai ,jaribu kwenye Uislamu, sisi huku huwaga hatuachagi kutowa majibu hata yaweje na utata kiasi gani.
kuran inasema
''Waulize wenye kujua ikiwa kuna kitu hukijuwi''
lizaga tuu
Sasa mbona hueleweki. Mara huwezi kuhoji kuhusu mungu maana ni kazi bure, mara katika uislamu hamuachi kuuliza maswali. You are just all over the map with your flip-flop utterances.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani sisi wanadamu tunajidanganya Sana kumfanyia utafiti Mungu kwa kutumia sayansi yetu ili kumfahamu, kujua alichokifanya alikifanyaje, kujua alipo pakoje, kujua Kama yupo alitoka wapi n.k

Dunia hii na ulimwengu kiujumla havipo kwa bahati nasibu, Ni mpangilio wa kanuni kuu Sana zilizo nje ya muafaka wa kisayansi, sayansi hii ni kanuni ndogo Sana ya kutusaidia tuishi na siyo kutusaidia kumchambua Mungu kwa uwezo wa sayansi hii.

Mungu alikuwepo, yupo na atakuwepo milele, ujuaji wetu Wala hauwezi kuleta badiliko lolote la kanuni za Mungu.

Kwa akili za darasani na za kudanganywa na wazungu dunia Ni duara, lakini kiimani dunia Ni tambarare na Ni fumbo kuu Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii point ni amaizing sana

《Caprichar o teu sorriso》
 
Back
Top Bottom