rakims

  1. sychellis

    Nimepotelewa na vyeti vyangu vya shule pamoja na cha kuzaliwa

    Habari, Naitwa MGOLE MWITA CHACHA Nimepotelewa na vyeti vyangu vya shule pamoja na kuzaliwa vyenye jina tajwa hapo juu. CHETI CHA FORM FOUR-MAJANI YA CHAI SEC SCHOOL CHETI CHA FORM SIX-UWEMBA SEC SCHOOL CHETI CHA CHUO-NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT(NIT) CHETI CHA KUZALIWA Iwapo ukibahatika...
  2. Rakims

    Jicho la tatu na Jinsi ya kulifungua (The third Eye)

    JICHO LA TATU Watu wengi huamini kwamba Jicho la tatu ndio mwisho wa maelezo katika Meditation ama ndio moja kati ya mafanikio makubwa katika Meditation lakini kuhusu hili jibu ni HAPANA. Safari ya Mikao ya Meditation ni kubwa kuliko vile mtu anavyofikiria kwa haraka. Kuna vituo vingi sana...
  3. Poa 2

    Jinsi hofu inavyochakaza mwili na roho

    Wana jf wote ninawasalimu. Moja kwa moja kwenye mada, siku za hivi karibuni baada ya kuzuka kwa tetesi zilizohusisha afya ya raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. JPM na HABARI nyingi kuandikwa mitandaoni na watu wengi kuchangia kwenye mada hizo nikiwemo na Mimi pia. Watu...
  4. Poa 2

    Mabeberu kazi kwisha, Rais Magufuli ni kiboko yenu

    Habari wana jf katika miaka yangu yote ya uhai hapa duniani na uzoefu nilio nao kuhusu awamu mbalimbali za serikali hapa tz yaani kuanzia awamu ya kwanza hadi hii awamu ya ajabu kabisa ya tano, awamu hii ndio imeongoza kwa kuwapuuza, kuwataja sana na hata kuwatukana sana mabeberu kuliko awamu...
  5. Waterbender

    In 3D there is no future no present only past

    Nafikiri kwenye 3d hakuna future Wala present ni past tu so ni lazima tufe coz tulishakufagaa. to see the future is like to remember how it was. To see the future and you living straight to no where is impossible (tafakari)otherwize you knew it. Buddah said we are all here because we know...
  6. Waterbender

    Kitabu cha mwanzo na sayansi kuhusu umbo la dunia

    Mwanzo 11 mstari wa 4 Usitake kuniambieni wajenzi wa Babel tower ni wajinga kiasi icho kwamba tujenge mnara ufike mbinguni ambapo ni juu sasa kama dunia ni duara sasa juu wapi 'lakin ukiniambia walitaka waifikie ile dome (filament) wavunje waingine mbinguni kitu kina tiki na kina sound sana...
  7. sychellis

    Mchumba kakataa kuongea na mimi kwenye simu aliyopelekewa na mama yangu

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nasoma Chuo Degree Mwaka wa Pili, kuna binti mmoja mama yangu alinambia ni mzuri ana tabia nzuri, sema mimi nikawa napotezea sikuwa na haja hiyo. Siku moja nilienda kumsalimia mama nikamuona huyo binti, jamani ni mzuri balaa. Yeye baba ni Mzanzibar na mama...
  8. Waterbender

    Hapa mkuu Lifecode alikuwa anamaanisha nini?

    Habari zetu wana JF, Naomba mnisaidie kudadavua au kutolea maelezo kidogo au kwa upana kuhusu hiyo short notes ya mkuu lifecode nimejaribu kuchokoza mara kwa mara lakin holaa. Natanguliza shukuran. Trained bender (Lifecode) Language that the universe speaks is through symbols asigned into...
  9. palangana

    Ushoga Chini ya Zuria....!!!!!

    Salam wanajamvi; Natumai kuna waliotazama mechi za weekend hii iliyoisha jana. Je, kuna walioelewa maana ya rangi zilizowekwa kwenye vitambaa vya nahodha(Captains), kamba za viatu na mipira iliyotumika? Nimesoma mahali kuwa ni rangi za bendera ya LGBT, ila kampeni ya weekend ilikuwa "Games for...
  10. Frustration

    Sielewi na naomba mnitofautishie

    Katika kutolewa tongotongo juu ya meditation nikawa very eager and interested to practice, lakini nikakutana na vitu viwili ,AP na Lucid dreamer. katika fuatilia threads nikagundua AP ni advanced and sometime is danger ila Lucid ni safe and tranquil to practice. Sasa how naona process ni same...
  11. kabon14

    Nini maana ya ndoto hii?

    Habar wakuu.. Naomba wenye uelewa na haya mambo wanijuze. Ni zaidi ya maramoja imenitokea hii hali. Mara ya mwisho ambayo ni jana ilikuwa hivi.! Nilishtuka kutoka usingizini mida ninayo amka kila siku, lakin kutokana na kuwa jana ilikuwa siku yang ya kupumzika sikuona ulazima wa kuiacha shuka...
Back
Top Bottom