KISUTU, DAR: Maxence Melo akutwa bila hatia shtaka la Kikoa. Apewa 'Conditional Discharge' kwenye shtaka la kutotoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi

Mkuu PTER usinikufurishe....

Yaani nimuache MUUMBA MBINGU NA NCHI anayenipa pumzi nimuabudu KIUMBE?!!!

Kama yuko anayeabudu BINADAMU MWENZAKE basi si Mimi....
Siku hizi mna 'mungu' wenu muumba ubunge na vyeo.

Andika chochote atakulinda ni muweza wa yote
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Hahaha mnashangilia conditional discharge?!

Ngoja polisi wakianza kutumia hizo huo mlango wa kutaka Max ashirikuane na majolica ndio mtajua nini maana ya conditional discharge.

Alipaswa kuachiwa free from any condition whatsoever.
 
Anasema bila yeye wengi wenu hata kula yenu isingekuwepo na Oxygen msingepata.

Huoni kuwa nyinyi ni daraja tofauti na sisi wengine ambao mpakwa mafuta huwa anatumia wale mbwa wake wakali walau tusichume hata maembe pori ?
Rizki yangu ninapewa na MUUMBA....

Kula yangu ya "halali" iko toka UTAWALA WA Mh.Jakaya Kikwete....

Mimi ni muumini wa CCM toka utawala ULIOPITA na sijaanza "jana" ama leo....

Itikadi ya CHAMA ninaijua na ndio maana humu ndani mimi si MSHABIKI KOKO na situkani watu walio na mawazo na misimamo kinyume nami......I am not a NATIONALIST but a patriotic fella!!

Amani kwako mkuu wangu
 
Nitakuwaje na amani wakati 'mungu' wenu kaniweka kwenye orodha ya extinction ?

mimi ni miongoni mwa endangered species wa wa ufalme wa mlima mrefu hili
 
'mungu' wenu anapata Faraja wanae mnaponenepeana kwa kufurahia mateso anayowapa endangered species.
 
Rizki yangu ninapewa na MUUMBA....

Kula yangu ya "halali" iko toka UTAWALA WA Mh.Jakaya Kikwete....

Mimi ni muumini wa CCM toka utawala ULIOPITA na sijaanza "jana" ama leo....

Itikadi ya CHAMA ninaijua na ndio maana humu ndani mimi si MSHABIKI KOKO na situkani watu walio na mawazo na misimamo kinyume nami......I am not a NATIONALIST but a patriotic fella!!

Amani kwako mkuu wangu
Nasikia mlifurahia sana kitoweo alichowaletea kutoka kisiwa cha karafuu.

Mlikula mishikaki hadi mkawagawia watoto wa jirani yule asiyenenepa japo anaishi kwenye mtungi wa mafuta
 
Nitakuwaje na amani wakati 'mungu' wenu kaniweka kwenye orodha ya extinction ?

mimi ni miongoni mwa endangered species wa wa ufalme wa mlima mrefu hili
Endangered species nearly extinct?!!

Fafanua....
 
Endangered species ni kitu obvious sana.

Walau wewe huwa unaletewa nyama tu kutoka kwenye mawindo ya baba yumkini huwezi kutambua maana ya endangered species
Unajikoroga mkuu PTER....

Nimeshakueleza kuwa mimi "ninajitafutia" kwa jasho langu....nawe pia unajitafutia kwa jasho lako.....sasa HATARI HIYO IKO WAPI?!!!

Kwani "unajitafutia" kwa KUVUNJA MAJUMBA YA WATU NA KUKABA?!!!
 
Siku hizi 'mungu' kaweka Sharti ili uishi au kula lazima damu yako iwe ya kijani kwani kabadili uumbaji sasa anaumba damu ya kijani tu.
 
Back
Top Bottom