Kisiwa cha Ukara (Ukara Island)

Kisiwa cha Ukara (Ukara Island)

Huyo mtalii akifika Ukara, ajaribu kufanya utafiti kuhusu kabila hili na akiweza ayalinganishe maisha yao na Wahadzabe wanaoishi maisha ya Ujima, ya kutafuta asali, wadudu na kuwinda wanyama wadogo wadogo, na pia maisha ya kuhamahama.
Kiongozi tutake radhi kutufananisha na hao wengine bwana wakara tuko vizuri sana
 
Kabila la wakara waishio ukara ni kabila linalodharauliwa kuliko makabila yote Tanzania

Sidhani kama kuna kiongozi wa nchi hii aliwahi kutoka huko...hata kama ametoka huko hatajitambulisha kama Mkara.
Kuna utani ulikuwepo kipindi cha nyuma kwamba Wakara walikuja Dar walipoona basi la kampuni ya "Wakala wa Meli "wakamfuata dereva wakamwambia "Chili anu Mwamba! "wakiwa na maana tuko hapa Mzee.
 
Nimefika kwenye hilo jiwe, ni usanii mtupu, hakuna kitu kinachoitwa miujiza. Jiwe hilo linacheza kwa sababu za kisanyansi na sio miujiza. Kwa ufipa wangu nilitaka niwachallenge kwa sayansi ya ufipa, nikakuta watupu mnoooo!
Position ya hilo jiwe ni sababu kuu ya lenyewe kucheza...
Jiwe lenyewe lazima lisukumwe ndipo licheze!
Sijui kwa nini watu wanaaminishwa tofauti na wanakubali!
 
du, basi usanii upo kila kona
 
Kwa ujumla Ukerewe kama Wilaya ina visiwa jumuishi 11...kutia ndani kisiwa cha Ukara. Wenyeji wa ukara hudhaniwa kuwa washirikina sana kuliko wakaazi wengineo wa Ukerewe.. Pengine ndio sababu kubwa ya kusema kuna jiwe linacheza.
Hata hivyo, yapo mambo flani ambayo yakitangazwa vizuri yanaweza kuwa kivutio cha watalii, tofauti na hilo jiwe ambalo limehodhiwa na ukoo mmoja kwa madai kwamba ndio wenye nguvu za asili za kulichezesha hilo jiwe.
 
Kwa Wakara huku sie tunawatambua sana kwa uchawi wa kutumia MAMBA hutemi mate chini mamba kaishakubeba.
 
Back
Top Bottom