Kisinia kisicholeta ugonjwa wa Kisukari

Kisinia kisicholeta ugonjwa wa Kisukari

Ukipunguza sukari chumvi na mafuta unene huondoka automatic
Unene ni lazima kuupunguza ili kuondoa uwezekano wa pressure na diabetes
Nataka kuachana na sukari kwenye chai....huko katika vinywaji kitambo sana nishaachana nazo, ugali na wali kwa wiki mara moja kaposheni kadogo...wik end napiga tizi kimtindo.
 
Ugali na wali una shida gani? Mbona mimi kwa miaka karibu 50 sasa nakula ugali au wali na niko poa?
Kama diet iko vizuri havina shida.

Ila ni hulka ya kaya nyingi kula wanga (carbohydrates) nyingi kuliko aina nyingine ya chakula.

Mfano wa mlo wa mchana w kijana:

Wali wa buku jero maharage ya kuhesabu, nyama kipande kimoja au viwili, mboga majani kijiko kimoja afu nashushia na chupa la soft drink ya jero.

Na mfano huo ndiyo janga linapoanzia.
 
Ugonjwa wa kishenzi sana sukari, laiti tungejua tusingefanya masihara na diet na life style .

Kuna dada ameolewa 2019 mpaka leo hawajapata mtoto, Mume kisukari kimemkula hadi mzee!
Sedentary lifestyle na junky food ni vitu vya kuviepuka sana, magonjwa haya yasiyoambukiza huja kwa njia hizi, na ni janga kwa kweli
 
Nina wiki 2 sijagusa ugali, wali mweupe na ngano imenifannya nijue hivi vyakula ni sumu.
Choo kinatoka kilaini hadi naenjoy aisee.!
Screenshot_20261003-084427~2 (1).jpg
 
Back
Top Bottom