binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,788
- 46,861
Umejuaje?Ivi kwanini wenye vitambi hukata pumzi kunako 6×6?
Umejuaje?Ivi kwanini wenye vitambi hukata pumzi kunako 6×6?
Kwa schedule hiyo wewe uko well-off, ila wale wa kipato kidogo hawana namna.
Maboga sikumbuki hata nimekuli lini mara ya mwisho.
Wiki iliyopita nilikuwa uswazi nikakumbuka home inahitajika nazi, huwezi amini magenge yote hayana nazi,nimekuja kupata nazi mtaa wa nne zinauzwa 1,300/1,500/1,800, Nilichogundua ni kwamba kina mama wa uswazi wengi wamehamia kwenye nazi za
pakti
Nimeota kitambi cha kufutia smart ila kwa bed nakata pumziUmejuaje?
Jitahidi .Nimeota kitambi cha kufutia smart ila kwa bed nakata pumzi
Kula chakula kingi kuna madhara makubwa kuliko kula chakula kichache kisicho na Afya.
Mimi kabisa huyu bila pepsi sijiskii kabisaKama diet iko vizuri havina shida.
Ila ni hulka ya kaya nyingi kula wanga (carbohydrates) nyingi kuliko aina nyingine ya chakula.
Mfano wa mlo wa mchana w kijana:
Wali wa buku jero maharage ya kuhesabu, nyama kipande kimoja au viwili, mboga majani kijiko kimoja afu nashushia na chupa la soft drink ya jero.
Na mfano huo ndiyo janga linapoanzia.
Ajalibu kutumia TADALAFILHamu anasikia ila mashine haisimami?
Dr am 4 real PhD
Ukiwa na kisujari unapata hamu?Ajalibu kutumia TADALAFIL
Kina athiri sana kwenye hio sekta inasimama legelege ndio ile kimoja ChaliUkiwa na kisujari unapata hamu?