Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,170
- 111,092
Choo kinatoka kilaini hadi naenjoy aisee.!
Hapo kabla ulikuwa unakata gogo umejishikilia ama?
Choo kinatoka kilaini hadi naenjoy aisee.!
Bila kusahau ugali na wali.Kuna taarifa kwamba Tanzania kwa sasa kwenye kisukari tuko juu sana. Visinia, Chips mayai, juice artificial na energy drink vitawamaliza watu.
Na hayo pia tutaambiwa yana madhara.Yaan itafikia hatua, watu itabidi watafune majani km wanyama. Lol
Watu wanapenda sana kujipa pressure! Kula chochote kwa kiasi. Sio unakaa kwenye kiti asubuhi hadi jioni halafu unakula wali nusu kilo kwa siku.Tunatishana Sana Sana 😢 😞 😔 Ndugu Zangu
Hayo madudu hata wenye viwanda wenyewe hawanywienergy drink vitawamaliza watu.
Nimeshika ukuta huku na hukuHapo kabla ulikuwa unakata gogo umejishikilia ama?
Kwani ugali na wali una shida gani? Mwili unahitaji wanga. Tatizo mnakula ugali au wali mwingi halafu mnakaa kwenye viti hadi jioni. Sasa mmachingq kama mimi nazurula mchana kutwa nikila ugali au wali unafikiri utaniletea shida?Sina uchumi napambana na hali yangu.
Uchumi mdogo unaowazungumzia wewe tuchukulie mtu ana ugali na dagaa, hela ya kununua unga unanunua viazi au mihogo unakula na dagaa.
Ni vile wabongo tumekalili ugali, wali.
Nilisikia pia ukiona sisimizi weupe wanapakimbilia hapo ujue tayariNjia nyingine rahis ni unapokojoa chini ardhini lakini mapovu ya mkojo yanachelewa kukauka.hii ni njia ya kugundua hatua za mwazo kuwa kisukari kinapiga hodi na unaweza kuchukua hatua kukizuia
Ugali na wali una shida gani? Mbona mimi kwa miaka karibu 50 sasa nakula ugali au wali na niko poa?Bila kusahau ugali na wali.
acheni wafu wazikaneKisinia cha bongo sasa, hasa Dar, kimejaa magonjwa teleee
Unainjoi🧐 @#$&$#@!??Nina wiki 2 sijagusa ugali, wali mweupe na ngano imenifannya nijue hivi vyakula ni sumu.
Choo kinatoka kilaini hadi naenjoy aisee.!
Jiandae kwa carbohydrates deficiency.Nina wiki 2 sijagusa ugali, wali mweupe na ngano imenifannya nijue hivi vyakula ni sumu.
Choo kinatoka kilaini hadi naenjoy aisee.!
Shem kwa nini hapana?
Halafu ukienda mahospitalini unakutana wa watoa misaada wengi wamejaza kilikuu za juisi wanagawa kwa wagonjwaKuna baadhi ya familia Kila siku mtoto akienda shule lazima ampe juice aendenayo
Kumbe na ww unaendaga chooni.Nina wiki 2 sijagusa ugali, wali mweupe na ngano imenifannya nijue hivi vyakula ni sumu.
Choo kinatoka kilaini hadi naenjoy aisee.!
Hahahaa. Daah.Nimeshika ukuta huku na huku
Ugali mkubwa, mboga kidunchu no matunda no maji mengi chakula hakina nyuzinyuzi shida lazima iwepo isipokua magonjwa utaambulia hata choo kigumuKwani ugali na wali una shida gani? Mwili unahitaji wanga. Tatizo mnakula ugali au wali mwingi halafu mnakaa kwenye viti hadi jioni. Sasa mmachingq kama mimi nazurula mchana kutwa nikila ugali au wali unafikiri utaniletea shida?
Sababu, propaganda ni nyingi sana, almost kila kitu duniani unaambiwa ni kibaya...Shem kwa nini hapana?
Wanga ni ugali pekee? Ongeza elimuJiandae kwa carbohydrates deficiency.
Hakika yaani mpaka saa ingine unachanganyikiwa ule kipi na kipi uache.Sababu, propaganda ni nyingi sana, almost kila kitu duniani unaambiwa ni kibaya...