Kisinia kisicholeta ugonjwa wa Kisukari

Kisinia kisicholeta ugonjwa wa Kisukari

Viazi vitamu vinachanganywa na maharage na nazi, ndizi kwa mapishi mbalimbali, maboga kwa mapishi mbalimbali, mchemsho wa samaki, nyama, matunda mazito parachichi, ndizi.
Asubuhi najishindilia uji wa lishe au maziwa.
Kwa schedule hiyo wewe uko well-off, ila wale wa kipato kidogo hawana namna.

Maboga sikumbuki hata nimekula lini mara ya mwisho.
 
Kwa schedule hiyo wewe uko well-off, ila wale wa kipato kidogo hawana namna.

Maboga sikumbuki hata nimekuli lini mara ya mwisho.
Sina uchumi napambana na hali yangu.

Uchumi mdogo unaowazungumzia wewe tuchukulie mtu ana ugali na dagaa, hela ya kununua unga unanunua viazi au mihogo unakula na dagaa.

Ni vile wabongo tumekalili ugali, wali.
 
Kwa waafrika wengi kisukari kinatokana na unywaji vinywaji vya viwandani, hizi juice sio nzuri Kwa afya zetu,kizazi cha Sasa tongu wakiwa wadogo ni mwendo wa juice na bei yake ni rahisi, hapo unaenda kwenye chips napo ni hatari.
Hebu tujiulize mbona soda za Pepsi na coca zipo miaka mingi na hazikuwa na madhara makubwa kama sasa.
Ushauri tuachane au tupunguze kutumia juice za viwandani hasa Kwa watoto ,Kuna baadhi ya familia Kila siku mtoto akienda shule lazima ampe juice aendenayo
Uja kuta mzazi kajaza ndani majuice top
 
Sina uchumi napambana na hali yangu.

Uchumi mdogo unaowazungumzia wewe tuchukulie mtu ana ugali na dagaa, hela ya kununua unga unanunua viazi au mihogo unakula na dagaa.

Ni vile wabongo tumekalili ugali, wali.
Hivi vitu wala havihitaji uchumi mkubwa.Kuna kipindi ofisini watu kama Saba tulikua kwenye challenge ya diet.Tulikua tunaweza nunua ndizi mzuzu za 6000,mbogamboga za 3000 na mayai Kila mtu moja.Tunakula tunashiba siku nzima mpk jioni.
 
Nina wiki 2 sijagusa ugali, wali mweupe na ngano imenifannya nijue hivi vyakula ni sumu.
Choo kinatoka kilaini hadi naenjoy aisee.!
Ugali, wali, ngano plus chips, soda, juices vikiendana na maisha ubwete ni 100% probability utapata kisukari especially if you're 40+. Hilo halina ubishi!
 
Kila Mtu Ale Anachopenda Maana Ukweli Haya Mambo Ni Magumu Sana
Nilikwenda Kyerwa Sehemu Inaitwa Ibamba
Kule Chakula Cha Heshma Ni Ndizi Zimesongwa Zimekuwa Ugali Unapewa Na Kuku
Piga Picture Ukiwa Too Selective Huli
Hakuna Mama/Baba Ntilie 😂🤣😅😆😁😄😃😀
 
Watanzania kinachotukwamisha ni uvivu.
Jumapili nenda sokoni kuna kila kitu unajaza ndani msosi wa wiki nzima
Sahihi, pamoja na umasikini ni uvivu wa mwili na akili ndio unasumbua wengi.
 
Back
Top Bottom