Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,483
- 20,278
Per Capita income ya Egypt? Sio Zanzibar Ile mzee, labda kama unamaanisha ForodhaniEgypt sio kama first World Class, ni Zanzibar iliyochangamka.
Per Capita income ya Egypt? Sio Zanzibar Ile mzee, labda kama unamaanisha ForodhaniEgypt sio kama first World Class, ni Zanzibar iliyochangamka.
Walahi namuapia yule dada masikini.Hachepuki?
OyaweeOyaa
Namaanisha mtindo wao wa maisha, hata hivyo Misri ina masikini wengi sana, uchafu ni mwingi mitaani, pengo la masikini na matajiri ni kubwa sana. Viongozi wa siasa, jeshi na wafanyabiashara wachache ndio wanafaidi nchi.Per Capita income ya Egypt? Sio Zanzibar Ile mzee, labda kama unamaanisha Forodhani
Ni kweli, unakuta vina Low calories, ila high fibers na nutrients(minerals, vitamins,) zinakuwa nyingiIla kuna vyakula ni vigumu kula kupitiliza na vyakula vingine ni rahisi kubugia kupitiliza kama processed food na vyakula vya kukaanga.
Inaonekana mume wake alikua innocent, anamthamini sana huyo dada kabla hajaanza kuumwa kisukari hivyo rafiki yako anarudisha fadhila.Walahi namuapia yule dada masikini.
Kuna kipindi alikuja kwangu Dom nimpeleke kwa gyno (prof) Kipindi hiko hatujajua kama shida ni ya mumewe, katika mizunguko tukakutana na kaka yangu mmoja hivi, Boss kubwa. Jioni huyo kaka kanitext kuwa nimemuelewa rafiki yako. Mie tena kuwadi chawa nikamwambia limeisha hilo tajiri.
Jioni nikamuweka kitako rafiki angu nikamwambia jaribu mpango kando, halafu atakukatia ticket ya flight kurudi kwako maana ni mikoa karibu 8 mbele safari ya masaa 12, Nikaona kama kanikubalia baadae katafakari kanigeuka. Kafungasha virago vyake huyoooo kwake.
Gari yake haipandi mlima kilichobakia ni kufaurisha abiria yeye anapeleka gari gereji, mwanaume akishakua na kisukari kile chenyewe kumgonga manzi ni issue kwa hio anabakia tu hivyo yaan ndio hapo kasema kisukari kimkula mpaka Mzee maana yake ushaelewaKisukari kimesababisha mwanaume kakatwa uume?
Au labda pia dada muoga, kuchepuka sio kwa kila mtu😁Inaonekana mume wake alikua innocent, anamthamini sana huyo dada kabla hajaanza kuumwa kisukari hivyo rafiki yako anarudisha fadhila.
Ingekua alikua anamtesa full michepuko huyo baba hakuna rangi angeacha kuona
Anampenda huyo jamaa na naamini huuo jamaa alimtendea wema ambao bidada hawezi kuusahauAu labda pia dada muoga, kuchepuka sio kwa kila mtu😁
Hua hawateswiInaonekana mume wake alikua innocent, anamthamini sana huyo dada kabla hajaanza kuumwa kisukari hivyo rafiki yako anarudisha fadhila.
Ingekua alikua anamtesa full michepuko huyo baba hakuna rangi angeacha kuona
Ila kuna vyakula ni vigumu kula kupitiliza na vyakula vingine ni rahisi kubugia kupitiliza kama processed food na vyakula vya kukaanga.
IlaHua hawateswi
Yaani nadhani before 2019 nilikuwa siwajui, nadhani alikuwa mtu mzuri.Inaonekana mume wake alikua innocent, anamthamini sana huyo dada kabla hajaanza kuumwa kisukari hivyo rafiki yako anarudisha fadhila.
Ingekua alikua anamtesa full michepuko huyo baba hakuna rangi angeacha kuona
Formula simple ni hii, kula vitu ambavyo wazazi wako walikuwa wanakula pia upende kutembea basi... Ambavyo basically ni ugali, nyama, wali, ndizi, viazi maharage, samaki, mayai vinywaji ni chai, maziwa, maji, samaki na pia upendeleeHakika yaani mpaka saa ingine unachanganyikiwa ule kipi na kipi uache.
Mi kwangu natembea na hii ya kula kwa kiasi. Sichagui chochote nakula ila sili ileee.
Nimeshika ukuta huku na huku
Ugali Dona, sio Sembe.Formula simple ni hii, kula vitu ambavyo wazazi wako walikuwa wanakula pia upende kutembea basi... Ambavyo basically ni ugali, nyama, wali, ndizi, viazi maharage, samaki, mayai vinywaji ni chai, maziwa, maji, samaki na pia upendelee
Biscuit, soda, energy, chips, nyama za kukaanga, vyakula vya kwenye makopo, achana navyo
Yeah, formula ni ku stick kwenye old school tu, unanunua mahindi unaenda kusaga mwenyewe sio kununua dukaniUgali Dona, sio Sembe.
Unakula nini au ndizi mshale ☺️😁😄Nina wiki 2 sijagusa ugali, wali mweupe na ngano imenifannya nijue hivi vyakula ni sumu.
Choo kinatoka kilaini hadi naenjoy aisee.!
Tunatishana Sana Sana 😢 😞 😔 Ndugu Zangu
Huo ndio ukweli, haijalishi umeupenda au laa