ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 20,877
- 77,122
Utelezi unakuepo au hamu tu?Hata wanawake wenye sukari libido inapotea !
Utelezi unakuepo au hamu tu?Hata wanawake wenye sukari libido inapotea !
Wa kwanza Egypt wa pili Tanzania wa tatu ni South AfricaKuna taarifa kwamba Tanzania kwa sasa kwenye kisukari tuko juu sana. Visinia, Chips mayai, juice artificial na energy drink vitawamaliza watu.
Hata najua? Akiniambiaga nakaa kimya nashindwa hata kuuliza maswali 😎Hamu anasikia ila mashine haisimami?
Dr am 4 real PhD
Watu wanashinda Bar pia, wananenepeana vibaya sana, ni hatari sana.Na pia asilimia kubwa ya watz ni vavivu wa mazoezi licha ya kupenda kula sana.
Mtu unakuta hata umbali wa mita 300 ,anaagiza boda impeleke badala ya kutembea ili apige mazoezi.
Siku za wikeend ni kushinda ndani umelala hapo sukari utaikwepaje?
Binafsi namshukuru Mungu sana napenda sana kutembea kwa miguu yangu ... Mimi sio mtu wa kupenda kupewa au kuombaomba lift hivyo njianiNa pia asilimia kubwa ya watz ni vavivu wa mazoezi licha ya kupenda kula sana.
Mtu unakuta hata umbali wa mita 300 ,anaagiza boda impeleke badala ya kutembea ili apige mazoezi.
Siku za wikeend ni kushinda ndani umelala hapo sukari utaikwepaje?
Noma sanaWatu wanashinda Bar pia, wananenepeana vibaya sana, ni hatari sana.
🫵🫵 Fuata codesMnaongea kama mlishawahi kuumwa visukari vile.
Umweni kwanza ndio mje kushuhudia.
Biology kabla ya vitabu ndiyo maisha nayoishi.🫵🫵 Fuata codes
SawaBiology kabla ya vitabu ndiyo maisha nayoishi.
Hachepuki?Hata najua? Akiniambiaga nakaa kimya nashindwa hata kuuliza maswali 😎
Ila kuna vyakula ni vigumu kula kupitiliza na vyakula vingine ni rahisi kubugia kupitiliza kama processed food na vyakula vya kukaanga.Unaweza kula healthy lakini ukala kupita kiasi bado usipungue uzito na ukaongeza hatari ya kupata maradhi. Muhimu sio unakula nini tu, bali pia unakula kiasi gani!
Yote ni ugonjwa wa watu wanene...ila having uhusiano wa Moja kwa mojaKuna uhusiano gani kati ya kisukari na blood pressure.. maana naona ni vitu vinapendana sana