tuambie kwa sasa unakula chakula gani?Nina wiki 2 sijagusa ugali, wali mweupe na ngano imenifannya nijue hivi vyakula ni sumu.
Choo kinatoka kilaini hadi naenjoy aisee.!
Bado huzijui vizuri dalili za kisukari, vidonda kutopona hiyo steji ya juu jifunze zile za mwanzo harafu chukua hatuaNjia mojawapo rahisi ya kugundua kuwa una kisukari ni pale unakunywa maji mengi lakini baada ya kukaa mda mchache unapata haja ndogo kwa wingi na kiu kinakukaba haraka sana ukiona hivyo pamoja na kupata vidonda ambavyo haviponi kwa muda mrefu hiyo ni dalili mojawapo ya kuwa una ugonjwa wa kisukari
Sawa mkuu.Bado huzijui vizuri dalili za kisukari, vidonda kutopona hiyo steji ya juu jifunze zile za mwanzo harafu chukua hatua
Viazi vitamu vinachanganywa na maharage na nazi, ndizi kwa mapishi mbalimbali, maboga kwa mapishi mbalimbali, mchemsho wa samaki, nyama, matunda mazito parachichi, ndizi.tuambie kwa sasa unakula chakula gani?
Yaan itafikia hatua, watu itabidi watafune majani km wanyama. LolTunatishana Sana Sana 😢 😞 😔 Ndugu Zangu
Vipi kuhusu kupungua kilo? Hujaoungua sana?Viazi vitamu vinachanganywa na maharage na nazi, ndizi kwa mapishi mbalimbali, maboga kwa mapishi mbalimbali, mchemsho wa samaki, nyama, matunda mazito parachichi, ndizi.
Asubuhi najishindilia uji wa lishe au maziwa.
Mbadala wake unakula nn nami nifuate huu mpangilio angalau kwa wiki MojaNina wiki 2 sijagusa ugali, wali mweupe na ngano imenifannya nijue hivi vyakula ni sumu.
Choo kinatoka kilaini hadi naenjoy aisee.!
Sijapungua! Nakula sanaVipi kuhusu kupungua kilo? Hujaoungua sana?
Viazi vitamu vinachanganywa na maharage na nazi, ndizi kwa mapishi mbalimbali, maboga kwa mapishi mbalimbali, mchemsho wa samaki, nyama, matunda mazito parachichi, ndizi.Mbadala wake unakula nn nami nifuate huu mpangilio angalau kwa wiki Moja
Hadi natamani ungekuwa mke wa pili😁Viazi vitamu vinachanganywa na maharage na nazi, ndizi kwa mapishi mbalimbali, maboga kwa mapishi mbalimbali, mchemsho wa samaki, nyama, matunda mazito parachichi, ndizi.
Asubuhi najishindilia uji wa lishe au maziwa.
Misosi ndo sekta yakoHadi natamani ungekuwa mke wa pili😁
Ok ni rahisi kupata nadhani umeondoa na mafuta ya kupika au umepunguza nitajaribu hii nione matokeoViazi vitamu vinachanganywa na maharage na nazi, ndizi kwa mapishi mbalimbali, maboga kwa mapishi mbalimbali, mchemsho wa samaki, nyama, matunda mazito parachichi, ndizi.
Asubuhi najishindilia uji wa lishe au maziwa.
Upo sahihi! Ila haiondoi unene labda kitambi, kuzuia magonjwa kisukari, moyoOk ni rahisi kupata nadhani umeondoa na mafuta ya kupika au umepunguza nitajaribu hii nione matokeo

Sasa unakula nini mwanetu?Nina wiki 2 sijagusa ugali, wali mweupe na ngano imenifannya nijue hivi vyakula ni sumu.
Choo kinatoka kilaini hadi naenjoy aisee.!
Viazi vitamu vinachanganywa na maharage na nazi, ndizi kwa mapishi mbalimbali, maboga kwa mapishi mbalimbali, mchemsho wa samaki, nyama, matunda mazito parachichi, ndizi.Sasa unakula nini mwanetu?
Ukipunguza sukari chumvi na mafuta unene huondoka automaticUpo sahihi! Ila haiondoi unene labda kitambi, kuzuia magonjwa kisukari, moyo