Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

hahahaha subiri tu itakapoanza kupaa kama hujashukia Singida..

Ila likipiga msinga nitakuja kucharaza viboko abiria wooote humo..
 
Omba Mungu awafikishe salama achana na mwendo..unawezatamani ufike mapema na usifike ukaishia njiani... Mwendokasi unaua..
 
Mkuu kama utasikia mabasi yote ya nwanza yamelala Moro isipokuwa gari moja, basi hiyo gari moja itakuwa Kisbo. Wewe tulia mtoke shinyanga hakuna uchwara itawaona hapo
Kisbo kwa mama mjamzito mimba inaweza kutoka kamwe siwezi kupanda gari ambayo inakimbia hadi mkanda wa sidiria yangu unakatika mxxxxxiiiuuu!!
 
Mkuu kwa hili umetupiga kamba aisee! Unless unafanya advertisements kiaina ya FASTJET!
kwanza kabisa nauli Mwanza to dar inaanzia 40k, 45k na mwisho kabisa ni 50k hiyo ni full luxury na nadhani ni DAR LUX peke yake ile mpya kabisa!
expenses utakazotumia njiani haitazidi 15k kama uko mwenyewe.
Mpaka unashuka ubungo utakua umetumia almost total exp. Zitakua zina range kwenye 60k. Kama ni mwenyeji au hata mgeni mkiingia dar hiyo SAA 00:30 usiku.
huna haja ya kuchukua tax daladala zimejaa ubungo mataa za kila mahali hata za g/mboto, mbagala, tegeta etc. Na hizo gharama za kumlipa mtu aliyekuja kukupokea kama usumbufu ni za nin? Wakati anaweza kuwa ndugu yako au hata rafiki lakini hakuna gharama zozote utakazomlipa.
Ukija kwenye upande wa ndege ukifanya booking three or two weeks before departure day hapo gharama zitakua less ukilinganisha na ukifanya booking one day or hours before journey hii ni gharama kubwa sana, mda na masaa pia hufanya kuwe na price variation.
Road transport is very cheap hata ukipata emergency ya kulala njiani unless uwe na urgent appointment.
 
Watu mko machooooo,,, Mm nimetoka na premier hapa nyegezi naelekea mbeya Duuuhh linapitwa tuuuuuuuu na vibas vya ajabu najutaaaaa
Kuna basi inaitwa BEDUI EXPRESS inaenda Tabora, ni hizi Eicher kama za UDA. Ili yuchezeaha sana mziki nilkua kwenye Premier hyo.
 
Mkuu kama vipi piga chini hilo subiri Mohamed Trans au Hood kama lipo! Hapo Dar kufika ni keshokutwa kwa raha zako yaani hata rushwa hawatoi wale jamaa na ujiandae kufaulishwa muda wowote kabla ya kufika sekenke. Bon voyage
Mwenye haya bila shaka Ni mzee hawanaga haraka

Wazee wanayapenda sana
 
Mkuu tulia usiwe na wasiwasi, hizo gari zote zinazowapita baadae zote mtazipita njiani.Mkishaanza kutoka Dodoma ndo utaamini maneno yangu.
 

JF haiishi vituko hii, achana na kujua basi gani linakimbia au la, cha msingi omba Mungu ufike salama mpendwa
Binafsi niliwahi kusafiri na Kibo safari, huko njiani tulipitwa sana na mabasi lakini tulikuwa wakwanza kuingia ubungo saa 11:40 tukiwa tumefutwa na kisbo na kidia one
 
Kifo kinakunyemelea kwa ushabiki, mwambie dereva aongeze mafuta, halafu mpenyezee konyagi ya kupima kwenye maji ya kilimanjaro

nani kakwambia kifo kinatokana na speed ya gari!
 
utatupa majibu baadae huyo anawatangulishaga tu.subiri kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…