Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

Nakumbuka nasoma tosamaganga lyalamo p/s.tukipata nafasi kuja iringa mjini,njia panda ya tosa tunakaa kwanza tunashangaa mabasi.Basi kila mmoja anajipa jina la basi mojawapo.mara mimi tawaqal,sijui mimi kiswele mara upete,mwanahapa,scandnavia,matema beach.hiyo iringa anasumbua comfort.longtime sana.
 
Watu mko machooooo,,, Mm nimetoka na premier hapa nyegezi naelekea mbeya Duuuhh linapitwa tuuuuuuuu na vibas vya ajabu najutaaaaa
Hahahaa pole sana mkuu mwezi uliopita nilipanda Premier kwenda Mbeya bahati mbaya nikapata siti ya 3 toka mwisho nilifika nimevimba mdomo kwa kurushwa siji ipanda tena....Mbeya to Mwanza panda Super Sami hutajuta kabisa

Kisbo niliipanda mwaka jana kutoka Dar kuja Mwanza nilifika nimechafuka sana kama nimetembea kwa mguu safari nzima[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Umemaliza mwaka gani Lyalamo primary?Mimi nimemaliza hapo 2005
 
Kisbo noma aisee. Hongera Mkuu kwa kulala kwako na sio Morogoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…